Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Huyo mtoto mdogo achana nae,yeye anajua NATO imeundwa kwa ajili ya kupigana na Urusi tuu bila principle na sheria. Ndio maana nimemwambia akikua ataacha.
Hizi taarab tushazizoea walisema Assad alitumia silaha hizo respond yao ilikuaje seuze RUSSIA!!?Update baada ya mkutano wa jana wa NATO, G7 na US.
Biden told world leaders in Brussels the US would "respond" if Russia uses chemical or biological weapons in Ukraine
Ni vile jirani hachaguliwi,Kuna majirani wengine kuishi nao ni kazi sana atakukeraa we mpaka ujute kununua kiwanja pembeni yake.sasa Ukraine anatabu sana kuwa jirani wa mbabu mjinga na anayejistukiastukia kama yule.Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.
Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.
Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.
Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
Niliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rublesSarafu ya Ruble ya Russia yapanda thamani ghafla kufuaria tangazo la Russia la kutumika sarafu hiyo ktk mauzo ya gesi kwa nchi za EU na nyinginezo ambazo ni mahasimu wa Russia.
Kabla sarafu hiyo ilikuwa imeporomoka kutokana na vikwazo vya mabepari.
Putin akili kubwa
====
View attachment 2163753
Kwanza Ukraine haikupokelewa katika NATO. NATO haiko Ukraine (menginevyo Putin asingevamia).Kwanini Ukraine walikiuka makubaliano na kupiga kura ya kujiunga NATO?
Bora zako wewe mswahili wa Tanzania una akili zaidi ya Colonel Macgregor wa Marekani, kiasi kwamba waona Ukraine inashambuliwa kijeshi pasi na kumchokonoa/chokoza jirani yake Russia...Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.
Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.
Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.
Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
In your dreams,mnawapa raia silaha na kiwapeleka front halafu wakishushiwa kichapo mnasema ni watu wasio na hatia!Mnapeleka majeshi kujifucha kwenye majengo ya raia na Shule halafu mnafanya mashambulizi ya kushtukiza,mkijibiwa mnalialia kuwa yanashambuliwa makazi na Shule!Shwain,Russia harudi nyuma!Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.
Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.
Kumbe tuone kama Urusi itaendelea muda mrefu kuwa na manowari zinazofaa kurusha roketi katika Bahari Nyeusi.....The Russian Armed Forces destroyed the largest of the fuel bases remaining in the Kiev regime with a strike of "calibers".
On the evening of March 24, high-precision sea-based cruise missiles attacked a fuel base in the village of Kalinovka near Kiev, the Russian Defense Ministry reports.
From this base fuel was supplied to military units in the central part of Ukraine.
Basi waambie wananchi wa Ukraine warudi toka mafichoniRussia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.
Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.
Povu la nini mkuu?Niliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rubles
~Poland's state energy company on Thursday said it would not pay for Russian gas in rubles, becoming the latest to reject Kremlin demands amid unprecedented sanctions on Moscow over its war in Ukraine