Michael Andrew Jr
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 219
- 665
Hahaha unawapangia wakupige kutokea wapi? Yaani unapigana na mtu unalia asikupige mateke ila ngumi tu, una akili?Mkuu haya maneno Zelensky toka siku ya kwanza anayahubiri lakin kama unakumbuka mpaka mazungumzo pande 2 yanaendelea lakin solution bado., kumbuka sasa ni mwezi wakati russia speed ya mashambulizi aliyoanza nayo leo si wa kusikia yuko baharini uko anarusha missiles Ukraine,
Ni wazi vita imemshinda na kukimbia kwenye ground na kujificha baharini huko, tulitegemea majeshi ya russia yaingie Kiyv na kupachua bendera za ukraine na kupachika ya kwao., lakini kama wamerudi hadi baharini uko na kurusha vikombora ni bora atangaze kushindwa, Kiev imemshinda
Kwa uwezo huu wa kidhaifu walioonyesha Russia sasa ni mwezi mzima tena naamini Zelensky ata kesho asubuhi anaweza kusign hayo makaratasi ya kujiunga na NATO wala hakuna chochote kutoka russia, Putini kumbe ni makeke tu ata masilaha yake ni ya kizamani, jana amefurushwa 100km kurudi alikotokaHahaha unawapangia wakupige kutokea wapi? Yaani unapigana na mtu unalia asikupige mateke ila ngumi tu, una akili?
Tunarudia tena, lengo si kuteka kiev, lengo ni demilitarization, Not to join Nato, and freedom of donbase
ikinyukwa itapendeza mnoooooWakuu kuna uwekekano poland ikapigwa na urusi naona dalili
kulikua na dhanayeah ila in long run russia atashinda tu coz kiuhalisia ana nguvu kuliko ukraine labda swali litakuwa huo ushindi utakuwa worth kiuchumi,kisiasa na kijamii? ndio maana kulikuwa na dhana kuwa urusi ilidhani itatumia wiki mbili maana ikichukua mda mrefu sana itakua ni hasara kwa upande wao
Biden wala hatuna shida nae, tulishaonya kua kuingiza askari directly na kutungua ndege zetu tutajibu mapigo kwa ukali ambao dunia haijawahi kushihudia.Ziara ya Biden nchini Poland ni ishara kwamba vikwazo havitoweza kuipunguza kasi Russia kupeleka mashambulizi na hatimae kuichukua Ukraine.
Kuna hatua zInachukuliwa, time will tell, kwa kipindi hiki ambapo Putin mwenyewe ulinzI umeimarishwa nashangaa Biden anapita sehemu kama hizo.
mbna kidogo nlijua walau watu laki moja hvKaburi lenye miili ya watu zaidi ya 200 lagunduliwa huko Mariupol, Ukraine
View attachment 2164134
Umoja wa Mataifa umegundua kaburi la pamoja kusini mwa mji wa Mariupol, Ukraine ambalo unasema linaweza kuwa na miili ya watu 200.
Matilda Bogner, mkuu wa ujumbe wa ufuatiliaji wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine, amesema timu yake inajaribu kutathmini kiwango halisi cha vifo vya raia.
"Kuna kaburi moja tumeweza kupata taarifa zake kwa satelaiti, na tunakadiria kuwa moja ya makaburi hayo ya pamoja yana watu 200," alisema.
Lakini "hiyo haimaanishi kuwa watu hao wote ni waliokufa ni raia", aliongeza - kwa kuwa idadi hiyo ya Umoja wa Mataifa haijumuishi vifo vya wanajeshi au wale wanaokufa kwa sababu nyingine wakati wa vita.
Takriban raia 1,035 wameuawa, alisema - ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukisema mara kwa mara kuwa unaamini idadi ya vifo ni kubwa zaidi kuliko idadi rasmi inayotajwa, kutokana na ugumu wa kuthibitisha ripoti na kupata taarifa kutoka maeneo yaliyoathiriwa na vita.
Mapema wiki hii, makamanda wa eneo hilo walisema wanadhani idadi ya vifo vya Mariupol pekee inaweza kuwa zaidi ya watu 3,000. Miili mara nyingi huachwa mitaani kwa sababu ya hatari kuiokoa, na wengi wao baadaye huishia kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Huelewi mchezo. Lengo ni siasa: wakati nchi za Ulaya zinategemea gesi ya Urusi wana matatizo kusimama dhidi yake. Wasipopata nishati mbadala, umoja dhidi Putin uko hatarini. Hapo Biden anajitahidi kuwapa njia mbadala.Lengo la USA ndio lilikuwa hili la kufanya biashara
Ulitaka kusema: helikopta hizo za Urusi zinapigwa sana . . . .?Hizi helicopter za kirusi zinaupiga mwingi sana huko ukraine,uwanja wa mapambano,zinapiga hadi target ya 7km,na hazikosei target.