Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Tena sanaYa zamani hii...
Ila kufreeze Mali za Russia wanaona zinacomply na contract.Heheheee wanaanza kuteseka eeeh Noo RUBO noo NIISHAATIII
Stela ndo nini....??Makombora Stela yame wasili Ukraine.View attachment 2164782
Kwi kwi kwi super power kabadili strategy anataka kuishika kwanza DonbasSuper power wa mchongo mafuta/gesi yake abakinayo mwenyewe, USA na Nchi zingine zitajaza pengo.
Hapo tayari Putin Kapigwa bao
Foreign reserves zimeshikwa kapigwa bao
Demilitarisation/ Denazification hajafaulu, bao kapigwa hapo
Timu za russia za raga na mpira zimeondolewa mchezoni, kapigwa bao
Uchumi wake unashuka, kapigwa bao
😁😁😁😁😁
So...?[emoji849][emoji849][emoji849]what do yaa want say .....DUDE...??Russia has only 1 aircraft carrier admiral kuznetsov which in 2019 caught fire. USA has 24 in service and 3 under construction View attachment 2164770View attachment 2164771
yeah but wamesema phase 1 imeshakamilika sasa hivi wanajikita kwe MAIN goal ambayo ni kukomboa Donbass, sasa km main goal ilikuwa donbass kwann walipeleka resources nyingi sn wakati wanatishia kiev? ndio maana watu wanahisi either wanaretreat au wamebadili kipaumbele, soma last press yaobado urusi haijaanza uruban war ndani kiev ndo maana umewekwa mzingiro huku vikiso vya ukraine vikilegezwa taratibu kama juzi wamepata matanki makubwa ya oil na kupelekea uhaba w mafuta kwa vikosi vya ukraine vilivyo ndani ya kiev
Hatubishani kwanza MKUU ila binafsi sikua na muda maalumkwani shida nn mkuu? km una mtazamo tofauti ni sawa tu kila watu watu wana dhana tofauti kulingana na vile wanavyofahamu mambo, kwan ww ulikua na mtazamo upi kwe upande wa muda ambao russia angechukua udhibiti kamili wa ukraine au ht donbass tu?
Super power wa makaratasi ana aircraft carrier moja tena chakavu. Ilijichomekea lenyewe likauwa wanajeshi wake.So...?[emoji849][emoji849][emoji849]what do yaa want say .....DUDE...??
ofcoz in long run ukraine atashindwa coz russia is more powerful by farHatubishani kwanza MKUU ila binafsi sikua na muda maalum
Ila nlikua naju na najua kwamba KYIV watakalishwa tu nisuala la muda tuuu
Hujajibu swali. Achana na avata yangu sio hojaAvatar yako tu inaonesha wewe mwenyewe unajustify mauaji ...ebu angalia avata .