Huu ujinga huwa mnaupata wapi?US inataka dollar itumike kila mahala hasa kwa nchi zenye petroleum, hii itafanya dollar iwe kwenye demand kubwa na wataprint za kutosha.
Kuikataa dollar ndicho kilimponza Gaddadi na Sadam, Russia kwa kufanya hivi itafanya ruble kuwa kwenye demand kubwa na kui strength.
Wawe na reserve ama wafanye exchange kama Gazprom itapokea ruble kwenye mauzo ya gas, basi US Federal Reserve itakuwa imepigwa biiiig MF cause ruble itakuwa kwenye demand.
Inawezekana kutumia ruble, issue sio kuwa stable, issue ni sanctions.
China yenyewe huwa inanunua gas Iran kwa yuan.
Hata Euro haipo stable kama dollar, Sadam alitaka ku switch toka kwenye $ kwendaa kwwnye euro, you know what happened na mwenzake gaddadi alitaka gold.
Wafanya biashara wengi wakubwa sana kwenye industry hivi sasa huko Asia wanatumia bitcoin.
Hata Ukraine hajajiunga NATO Ila ni unafiki na wa NATO na USAKuna kitu ambacho nashindwa kuelewa, Urusi wanafanya nini Ukraine wakati bado hawajajiunga na NATO?
Mnadanganywa na nani?
GDP ya China ni kiasi gani? GDP ya US ni kiasi gani huko ambako hamjadanganywa?
Shida kichwani umejaza propaganda za West lazima tutaenda tofauti. Endelea kuamin unachoamini ila huo ndo ukweli, kinachompa US dominancy ni USD kwenye transactions tukija na currency nyingine ndo mtajua ukweli halisi.
US inataka dollar itumike kila mahala hasa kwa nchi zenye petroleum, hii itafanya dollar iwe kwenye demand kubwa na wataprint za kutosha.
Kuikataa dollar ndicho kilimponza Gaddadi na Sadam, Russia kwa kufanya hivi itafanya ruble kuwa kwenye demand kubwa na kui strength.
Wawe na reserve ama wafanye exchange kama Gazprom itapokea ruble kwenye mauzo ya gas, basi US Federal Reserve itakuwa imepigwa biiiig MF cause ruble itakuwa kwenye demand.
Inawezekana kutumia ruble, issue sio kuwa stable, issue ni sanctions.
China yenyewe huwa inanunua gas Iran kwa yuan.
Hata Euro haipo stable kama dollar, Sadam alitaka ku switch toka kwenye $ kwendaa kwwnye euro, you know what happened na mwenzake gaddadi alitaka gold.
Wafanya biashara wengi wakubwa sana kwenye industry hivi sasa huko Asia wanatumia bitcoin.
Upupu mtupu, matangopori tu ya vijiweni mnalishana.Gaddafi alitaka kuswich kwenda gold wakamfsnyia fitina. Nilikuaga naikubali sana US ila kuja kujua hawa ndo Mashetani wavunja amani duniani nikachange upepo.
Hizi habari za hali kuwa mbaya wewe umezipata wapi kama hazipatikani kwenye media zao?
Qatar asipowauzia gas Marekani na Ulaya atawauzia nani wenye uwezo wa kumpa pesa anazozitaka?
Waasi wa Yemen kulipua kisima cha mafuta Saudi Arabia ni sawa na kuchota maji kwenye bahari na pipa ukafikiri yamepungua.
Ukiwa mjinga jiupeshe kubwatuka sana, utaaibisha ukoo wenu.
Acha kubwabwaja, weka takwimu hapa.Ziwe kutoka West, North, South au East, wewe weka tu takwimu hapa tuzijadili.
Kwani mapigano yameisha huko Ukraine?! Hapo nilipo namsikiliza Biden kwenye hotuba yake huko Poland....namfuatilia kwa makini Kama atasema Russia imeshindwa...sijasikia...West wamekaa mkao wa tahadhari hawajui what is coming next from Russia...Mbabe wapi siku 30 hana pumzi mimi nilikiwa namwamni kumbe Zelensky anamtoa jasho hivyo duu kumbe Russia ni kaput akajipqnge upya
Upupu mtupu, matangopori tu ya vijiweni mnalishana.
mkataba wa minsk unahusianaje na sarafu itayoumika kununua gas? tuelimishe
Hawa watoto Poland wanawashwa. Watapata kubwa moja hawataamini.
Unasumbuka na zumbukuku.Usipaniki Qatar anakwambia hakuna replacement ya gas ya Russia sasa wewe unakuja kubisha hapa. Shida mnaamin west ndo kila kitu hapa duniani, wakeup [emoji41]
Unasumbuka na zumbukuku.
Achana naye hata gase haijui