Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waziri wa mambo ya nje wa Turky Mevlut Cavusoglu ameyatolea nje maombi ya kuitaka Turkey kuchagua upande kati ya Ukraine na Russia...Amesema kwa kuwa Turkey ni msuluhishi, haitakuwa na maana yoyote ikichagua kuwa upande mmoja.

Mataifa ya magharibi yameiomba Turkey impe Ukraine mfumo wake wa Ulinzi wa anga namba mbili (baada ya S-500) kwa ubora duniani, S-400 air-defense systems. Turkey imesema hilo ni ombi la kipuuzi. Wao wenyewe (Turkey) wanahitaji pia ulizi wa anga pia.

Mwambieni Marekani + NATO wapeleke mavyuma vyuma yao chakavu ya THAAD au Patriot PAC-3 Ukraine, waache kumendea mendea mfumo bora wa Ulinzi Duniani toka Russia

=====





 
Wanajeshi elfu 10 ni wa kwako wewe ila warusi wametangaza ni wanajeshi elfu 1 na mia 4.
 
Tanzania sisi ni wanafiki, US tunashirikiana nae hata hao Russia na China tunashirikiana nao pia
 
Objective ya Urusi ni nini? Naomba ihusishe na hizo goli tano na ushindi unaouzungumzia. Huenda objective unazozijua si ninazozijua. Sasa tusipokubaliana kwenye hizo objective hatutafika mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…