Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mtu mwenye akili nyingi
Huko kwao wanamwita VVP.
Yaani Vladimir Vladimilovic Putin
View attachment 2165777Tunahama gym .... Tukafanye mazoezi nchi za mbali kidogo....
Propaganda hizi mara the bear kaishiwa hadi mabomu ya mkono ,mara magari hayana mafuta majeshi ya moscow yanatumia baskeli kubwa kuliko sasa wakasema jamaa hawana chakula wanashindia mihogo ya kukaanga [emoji23][emoji23][emoji23] haya washakula huko
Roho mnayo???Tuanze na Poland
VIFARU VYA KWENYE MEDIA ZA MAGASHOAta hayana bei sana tofaut na vile vifaru vya super power wa mchongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi inayoongoza kwa viwanda vya silaha duniani kuishiwa silaha kwa operation ya siku 30!Kaka hivi Russia wakuishiwa silaha? Unaona inaingia akilini? Vijana wa US nimewambia jana ukiwa mtu wa kuamin propaganda ni kama umelogwa.
SASA HII NI KALI YA MWAKAWhat you don't know haya ni fire and forget... Hayatumiki mara mbili
Sasa unafikiri urusi hawezi kuuza au kuchimba gesi?Je unaelewa tofauti kati ya akiba na uzalishaji?? Mwenye kuzalisha anaweza kuuza. Mzalishaji mkubwa wa gesi ni Marekani si Urusi, inayofuata hapo kwenye nafasi ya pili..
Kwani urusi hawezi kuuza au kuchimba gesi?Tofautisha reverse na production, unaweza kuwa na misitu mingi ila ukashindwa ivuna yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni "compound idiot", angalia umaku alioandika kabla mimi sijamjibu hicho unachokilalamikia.Wakati mwenzio anasema 'umwache marehemu apumzike' wewe kwa ufedhuli na uhuni na hata ushenzi wa kiwango cha juu kabisa umeandika 'utakuwa unawashwa taqo'....Mtu yeyote mwenye akili timamu ataelewa kabisa maana na ushenzi wa maneno yako hayo....
NATO wanacheka wanasema si ajichanganye tu hata kombora moja liingie humu.View attachment 2165777Tunahama gym .... Tukafanye mazoezi nchi za mbali kidogo....
We mzeee waoneee huruma NATO...Tuanze na Poland
Waziri wa mambo ya nje wa Turky Mevlut Cavusoglu ameyatolea nje maombi ya kuitaka Turkey kuchagua upande kati ya Ukraine na Russia...Amesema kwa kuwa Turkey ni msuluhishi, haitakuwa na maana yoyote ikichagua kuwa upande mmoja.
Mataifa ya magharibi yameiomba Turkey impe Ukraine mfumo wake wa Ulinzi wa anga namba mbili (baada ya S-500) kwa ubora duniani, S-400 air-defense systems. Turkey imesema hilo ni ombi la kipuuzi. Wao wenyewe (Turkey) wanahitaji pia ulizi wa anga pia.
Mwambieni Marekani + NATO wapeleke mavyuma vyuma yao chakavu ya THAAD au Patriot PAC-3 Ukraine, waache kumendea mendea mfumo bora wa Ulinzi Duniani toka Russia
=====
View attachment 2165806View attachment 2165804View attachment 2165805
View attachment 2165824
View attachment 2165828
View attachment 2165825
Hata wenye matatizo ya akili husumbua wengi..Huyu jamaa ni genius mataifa 30 yanasumbuka na kichwa kimoja [emoji28]. Tukipata VVP 5 tu dunia itanyooka.
Ya kazi gani kwao??..Urusi imeendelea kujibebe makombora ya javlin
View attachment 2165811View attachment 2165812View attachment 2165813View attachment 2165814View attachment 2165810
Nchi inayoongoza kwa viwanda vya silaha duniani kuishiwa silaha kwa operation ya siku 30!
Propaganda nyingine ni kujimaliza wenyewe.
Aisee hapo ni zaidi ya kulogwa....yaani watu hawashangai wala kujiuliza kuwa hivi inakuwaje media kama BBC, Aljazeera, Skynews, na CNN hawazungumzi lolote kuhusu operations za kijeshi za Russia? Yaani kutwa wanazxungumzia kubomolewa kwa majengo na kinachodaiwa kuwa ni hospitali na theatre na vifo vya watoto na wazee...hawazungumzii kabisa madhara ambayo jeshi la Ukraine wanapata...ninachofahamu mimi hivi sasa jeshi la Ukraine liliokuwa huko Donebass limezingirwa yaani mbele yao kuna majeshi ya majimbo yale yaliyojitenga halafu nyuma yao kuna majeshi ya Russia yanatokea Mariupol na Kharkiv....Jeshi kubwa la Ukraine linakaribia kuzingirwa huko...Lakini hizi habari mbaya kwa ukraine huwezi kuzipata..media za ajabu kabisa...hakuna objective reporting kwa vyombo vya habari vya magharibi'Kaka hivi Russia wakuishiwa silaha? Unaona inaingia akilini? Vijana wa US nimewambia jana ukiwa mtu wa kuamin propaganda ni kama umelogwa.