Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halipo kwenye hutuba ila lipo kwenye ajenda [emoji23][emoji23][emoji23] dunia iko open sasa hakuna siri tena... Mkurugenzi wa CIA. Toka 2020. Jamaa anaezungumziwa hapo upande wa Russia yupo Jera sa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo ulikuwa mpango wao toka kitambo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Zamani mlisema Russia hawezi kushinda special military operations dalili zote zinaonyesha kwa zaidi ya 70% ameshinda sasa mnaanza kusema asithubutu kuvamia mshirika wa NATO. Nikukumbushe Tu mahesabu ya Vladimir Putin yapo Ukraine kwa sasa na kama NATO wataingilia yeye ameshajihami. Angalia jinsi wanajeshi wa Ukraine wanavyotekwa au kujisalimisha kwa usalama wao.
 
Na tutakaa hapo kwa miaka 40 mpaka manazi waishe
 
Piga mashoga hawa saivi ni kusafisha sehemu tulizoteka huku tunamsogelea NATO na comedian wao
 
Huyu ndie atafuata
 
Utasikia Russia wameishiwa chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…