Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tokea ilipoanza hii operation warusi wanawatandika ukraine kwa siku 5 hadi 7 mfululizo, baadae ukraine wanapata nafuu kwa siku 2, kinachofuata hapo ni kutolewa kwa takwimu uchwara za kuuliwa kwa wanajeshi 3000 wa russia, kutekwa kwa vifaru na wakulima wa ukraine. Ikifika siku ya 3 warusi wanawatandika tena ukraine kwa siku 5 hadi 6 mfululizo. Hilo ndilo kubwa nililoligundua na tokea ianze hii operation sijawahi kukosa kutembelea hii thread.
 
Vyombo vya magharibi viliripoti taarifa ya majeshi ya russia kuishiwa chakula ndani ya siku 3, cha ajabu ilipofika hiyo ya 3 kiongozi wa russia alitangaza kukamilika kwa phase 1. Huenda majasusi wa kimagharibi walipewa taarifa potofu au wao ndio wameamua kutupa taarifa potofu huku wakifahamu fika kinachofuata. Hii operation inanifunza mambo mengi sana, kubwa zaidi usichukulie serious movies na series za hollywood mpaka ukafikia hatua ya kuzirelate na uhalisia.
 
Kama ulivoziona hizo porojo vivo hivo tunapishana na mawazo ya wapi tunataka kuishi.

So ka vile unaishi maisha ako ukiamin Newyork ndio pepo unayodream kuishi kwa kuyaona yale maghorofa kwenye picha. Huna tofauti na Muha wa kigoma anayeyaona maghorofa ya Posta kwenye TV akiamini yale ndio maisha ya Dar.

Ukue walau uwaze kidogo tu uwaze ka mtoto wa darasa 3 sio kindergarten tena ambae anajua Posta kumejaa maghorofa ndio ila most zikiwa ni Commercial buildings kama Corporate offices, Hotels, Shopping Malls n.k ilhal Wengi wakazi wa pale wanaishi buguruni [emoji23][emoji23][emoji23] mbagala kule tandika uko na kwingineko ambapo hakuna tofauti kimwonekano na sehem walipo.

Umekuja na ka hoja ka mtoto aliyeanza kuota meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mpaka mbavu zimeniuma. "eti ukiambiwa ukaishi wapi kati ya hapa na kule utachagua wapi" jinga kweli ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo maswali jaribu kuulizana na watoto wenzio nyumban mnaosubiri kuletewa pampasi na pipi za kijiti mnyonye mkue.
 
Media gani ilitoa ripoti hiyo na tarehe gani? naomba nitajie.
 
asante sana Binti Putin .
Ila nakukaribisha nko hapa jiji la Kiev nakula bata na kitimoto .
Tuko na Zelensky anauliza mnafika lini huku maana ni mwezi sasa . au mko kwa miguu ?.
 
Hii operation inanifunza mambo mengi sana, kubwa zaidi usichukulie serious movies na series za hollywood mpaka ukafikia hatua ya kuzirelate na uhalisia.
Umejifunza hili mwezi huu wa pili kupitia hii operation ukimaaniaha January 2022 series za hollywood na movies ulikuwa unazirelate na uhalisia.
 
Ikulu ya Marekani yajitenga na kauli ya Rais wao Biden, kuhusu kutaka uongozi wa Russia ubadilishwe...

Sijui kwa nini hawa watu wanamuogopa Putin (Russia) hivi!

Ingekuwa ni kiongozi wa nchi dhaifu dhaifu ndio katangaziwa kubadilishwa wangepiga kimyaaa...ila eti leo wanadai Marekani haina sera ya kutaka watawala wa nchi nyinginezo wabadilishwe!



 
Unfriendly countries wamegoma kutumia pesa za kijinga wamemuambia akae nazo yeye mwenyewe... mbwai mbwai tu kwa katiri
 

Taasisi yake mwenyewe ya urais pale Ikulu inamwogopa putin na kutoa maneno yanayoweza kumuuzi putin ni kama kusema blaza putin huyo mzee ndo kakutusi sisi tunakuheshimu Sana hatuwezi fanya hvyo lakin babu hasikii alienda kula pizza poland pia labda alienda kuwatoa waswas Poland akajua field Marshall putin ataogopa matokeo yake akabomb Lviv about 100 km from babu mla pwizza
 
CAG wa Nato unaupiga mwingi, ufisadi tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…