Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vietnam haikua jirani na Marekani, Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana kushndwa kuteka Kiev na tayari ameanza mikakati ya kutotoroka, useless kabisa.
Nyinyi Wakenya subilini uchaguzi muuawane kama mlivyo zoea haya mambo mengine yako nje ya uwezo wenu.

Nyinyi na Somalia si mpo jirani?
Vip alishababu mmesha ianamiza?

Sasa ni miaka kumi tangu mmeingia Somalia mmeshindwa kuliangamiza kundi la wahuni wasio zidi 30,000 kila siku linawahenyesha limesha uwa maelfu ya wanajeshi wenu.
 
Wale Pro NATO na propaganda zao kuhusu RUSSIA,
1. Gari zimeishiwa mafuta
2. Russia hawana chakula
3. Russia imeishiwa silaha imeomba china
4. Russia wanaua raia wasio na hatia
5. Russia hawana uwezo wa kukaa ukraine wiki uchumi wao mdogo
6. Majeshi ya Russia hayana morareee

Haya mtuambie sasa hizo propaganda zenu zimefikia wapi?? Mimi nilijua hamrudi tena kwenye huu uzi manake mmejaaa propaganda tu hamna hoja, mnaishia kutukana tu shenzi sana.

Pro NATO naombeni majibu yenu tafadhari sana manake ndo ulikua wimbo wenu humu ndani, bila shaka mmejifunza Russia sio Africa anajua anafanya nini.

Pro NATO nawapa ushauri bure kabisa
“Western media wants you to believe in a lot of lies. Don't be a fool. Do some research before believing anything you read”.
Russia is on the good side of thing.
#IStandWithPutin #istandwithrussia
 

Hizo taarifa zote ni ukweli japo hamtaki kuuskia Warusi wa Gongo la Mboto, operation iliyokusudiwa siku chache imebuma, Kiev imeshindikana, Urusi wameanza mkakati mpya wa kutafuta pakutokea, useless kabisa, na njaa inawauma balaa maana malori ya supplies yalipigwa mabomu yote, majenerali wameuawa, wanajeshi wengi wanaumwa Frostbites, waziri wa ulinzi hoi, Putin ana hamaki hajui ashike lipi, uchumi wa nchi unaangukia pua.
 
Na ndo maana us ..uk hawamsogelei wanajua jamaa ana nguvu za kuharibu dunia nzima .......
.[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
.wew unafkir urusi ni kenya .....hapo.nairobi tu ....alshabbabu tu wanawatoa jasho
WABONGO: NATO wanamuogopa Russia .

RUSSIA : Sitaki Ukraine ajiunge na NATO kwa usalama wa nchi yangu.

wataalam hebu tudadavulieni hapo. Nani anamwogopa mwenzie
 
Dollar share DROPS in global transactions


The share of the US dollar in global financial settlements dropped in February, according to the SWIFT interbank transaction system.


The use of the greenback fell 1.07%, down to 38.85% of all global transactions conducted via SWIFT. However, on a yearly basis, the dollar's share was still up by 0.42%.


The share of settlements in euro, on the other hand, rose in February by 1.23%, to 37.79%. The euro has increased the most among the top 5 global currencies year on year.
 
“There were shelling every day, but now it’s all over – Russia has entered. Everything is normal now."

Images from Mariupol, which show how difficult the humanitarian situation is in the city. People live without light and heat, and food is cooked right on the street near their houses. Saves only humanitarian aid from the Russian military.

“We saw shelling from the other side. You see the result yourself. There was one injured person… [AFU] moved further away, and everything is more or less normal. It's just this genocide, no help... hungry people have been sitting here for a month and a half. And they just pull out of what they have,” said one of the residents who remained in Mariupol.
Galip SV Liwagu
Your browser is not able to display this video.
 
The Ministry of Defense showed the Buk-M3 crew, which, during a special operation in Ukraine, destroys air targets, including Bayraktar.

Deputy battery commander Vladimir said that now the main goals of his air defense system are enemy UAVs:

“You take up [combat duty] with the idea that you have to give everything as much as possible, 100%. So that those who are waiting for us at home can sleep peacefully, and in the future no one will disturb their sleep.”

The department noted that the young officer had already proved himself and was awarded the medal "For Military Valor".

Your browser is not able to display this video.
 
A new round of negotiations is ahead, because we are looking for peace. Our priorities in the negotiations are known. Ukraine's sovereignty and territorial integrity are beyond doubt. Effective security guarantees for our state are mandatory. Our goal is obvious - peace and the restoration of normal life in our native state as soon as possible.
Galip SV Liwagu
 
Jamaa upo mweupe sana
 
Hizi zilikuwa bunduki za msaada majasusi wa urusi walifanikiwa kuzitorosha kutoka mpaka wa poland na ukraine mpaka khersan hawa majasusi walijifanya wanajeshi wa ukraini. Hii picha moja tu ila bunduki zimebebwa nyingi
View attachment 2166417
Ila wee mwanangu kusema la ukweli ni kwamba hunaga akili kabisa yaani empty set maana vitu unqvyopostig ninvya kipuuzi mno ni bora ata Pro Russia wenzio ila wewe duuuh
 
Bro umesoma ulichokiandika lakini mzee wangu au umepuyanga tu
 
Top news for the day:

- European Council President Charles Michel called on the international community to maintain a dialogue with Vladimir Putin;

- German Chancellor Olaf Scholz said that already in 2022, Germany will try to become independent from the import of coal and oil from Russia;

- Joe Biden, after a recent speech in Poland, assured that he did not call for a change of power in Russia;

- Kim Jong-un said that the DPRK will continue to develop offensive weapons.
Galip SV Liwagu
 

Kuhusu muda: kwa maoni yangu, Urusi amechelewa kumaliza hii operation sababu ya USA na NATO, wao ndo hawataki imalizike haraka si Urusi. Ingekuwa imeshaisha. Fuatilia alichokisema Puttin wakati anatangaza operation yake uniambie kama ilikuwa ni jambo la zaidi ya mwezi.

Kuhusu Ukraine kusaidiwa: Ukifanya jinai kwa tajiri mkubwa ukashtakiwa kisha ukashindwa kupata mwanasheria wa kukuwakilisha akatokea tajiri mwingine akakulipia mwanasheria ukashinda kesi utapongezwa hatakama hukuwa na uwezo wa kushinda bila mwanasheria.
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…