Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Hawa jamaa hawana mpinzani kwenye masuala ya millitary teknology. Ndomana NATO wanaogopa wewe unahaha kutest hypersonic mwenzako tyr ana airdefense aiseee RUSSIA sion watu wazuri[emoji119][emoji119]
 
Nimeamini huwezi pigana vita kama huna pesa kinachomsumbua Putin mpaka Leo kuishindwa Ukraine ni ukata na sio kwamba Hana silaha🤔
 
kuingilia vita vita kama vile zelensky alivyo omba marekani izuie ndege za urusi ndani ya ukraine. Marekani na poland kwa kuiogopa urusi walirushiana mpira kuipa ndege ukraine
 
Tech ipi ambayo UCHINA hana?

Tech ipi ambayo UCHINA hana?
Nyingi sana bro. Technologia ya kutengeneza semiconductors patent nyingi inashikiliwa Na marekani. Pia technologies ya kutengeneza ndege bado China hajamaster. Artificial inteligence bado China hajafika kwa marekani. Ndio maana unaona ZTE ilivyowekewa vikwazo ilikufa maana kuna vitu walikua wanavi outsource. Pia Huawei baada ya sanctions za marekani kaporomoka kwenye soko la handsets kabakiwa Na mifumo ya uendeshaji Wa simu. Simu kama I phone design inafanyika marekani lakini production ni China. Bado kwenye technologia marekani wapo mnele Na ndio maana kila mwaka kuna wachina milioni moja wanasoma marekani.
 

Hizi ni comments za wadau huko insta








 
Natamani siku ulaya igeuzwe jivu wapuuzi wameitesa Sana Africa kwa miaka mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nikasema kuuliza Sio Ujinga, Sasa napata majibu ya maswali yangu
 
Wakati huo huo Zelensky anaomba suluhu na kusema Yuko tayari kufika mutual agreement!
Hapo anamaana Kuna vitu Yuko tayari kucompromise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…