ofcoz kiev haiwez kuwa independent imeshasaidiwa sn na ht vta ikiisha lazima isaidiwe kwe reconstructions, huwez kuwa huru kwe mazingira hayoKyiv's position on the Ukrainian settlement is unstable, Zelensky does not show independence, Matviyenko said.
Galip SV Liwagu View attachment 2168144
Kipi kilichojiri na ni mji ganNUpepo unazidi kubadilika, Putin ameitia Urusi aibu kubwa sana maana ndio taifa lililokua linategemewa kama mbabe wa Marekani, sasa dunia tunabaki bila balance of power.....
Na we una moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unamwelekeza Mwanamkiwi kinyume na mapambio ya kumsifia marekan na wakoloni wake akuelewe kweli [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]...Ngoja nikuache,you are not worth arguing with me,maana hata kufundishika hufundishiki.Ungekuwa unajua ungejua kwamba Rothschild au Rockefeller sio Wayahudi.Hivi seriously huoni kwamba Zelensky ni impostor wa NWO.Hivi kweli ni assume kwamba hujui Nazism or it's present day analogy of Nazism ni evil ideologies.You are too ignorant.
Ila wajukuu wa Putin hamuwezagi kuongea lugha njema,mnapenda lugha za mikimiki tu yaani!
Hiyo territory inaitwaje?
Hakuna lucrative market kama la ulaya Na marekani. Ukipigwa sanctions ujue hayo masoko lazima uyasahau. Huawei atabaki ndani ya China tu maana ulaya tayari wamepigwa marufuku. Nchi nyingi haziwataki maana wanakipengele kinachomruhusu Serikali ya China kuingilia mawasiliano yao. Hii no hatari siku ukigombana Na chinaZTE yupo japo sio kama mwanzo na Huawei tayari washatengeneza case maalum zinazoipa simu uwezo wa 5G pia watarudi na Kirin chipset miezi michache ijayo
Kazi imebumaa🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️Uyo ndugu yako umeona ameongea nini? Ukiwa mstaarabu na mimi ntakua mstaarabu, ukiwa mbishi na mimi hivo hvo ukijifanya kichaa na mimi nakua hivohvo, ukitukana na mimi nakutukana sitakagi masikhara kabisa. Kama moto acha uwake.
Nakusalimu kwa jina la S-550[emoji28]
Nakuelewa,to him logic ni very elusive,kinachomtala ni ushabiki.Na we una moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unamwelekeza Mwanamkiwi kinyume na mapambio ya kumsifia marekan na wakoloni wake akuelewe kweli [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]...
Aseee kama hutoweza kusifia Umagharibi kisha kuibeza na kuidharau Russia na mataifa mengine ya Mashariki bora uachane nae tu utajichosha...[emoji849][emoji849][emoji849]
Maiahq
Ndani ya mioyo yenu mnaumia sana kuona ulaya ikiteketea huku mlengwa anadunda.Sasa ni zamu ya ulaya kuchangamka kwa maandamano yasiyo na mwisho kutokana na Mass Unemployment.
Nasikia Siberia kuna reserve ya mafuta na gesi ambayo inaweza kumfanya Russia kuwa mzalishaji na msambazaji pekee duniani kwa karne kadhaa.
Tehtetetetet!! Urussi atangaze nini??? yeye ni mzee wa kimya kimya tu! na anajua anacho kifanya!!.....ili azalishe wakimizi wengi sana huko Nchi za NATO!.....Na hao si wakimbizi kitu ni Magent wa KGB! wanajaa huko!! NATO Itakuwa uchi soon!ajabu gani tena hiyo nyuklia kwi kwi kwi
huyo kichaa anatafutiwa dawa atulie sasa
tangu atangaze ataichukua kyiv ndani ya masaa 72 na yamepita , mwezi umepita tangu afanye uvamizi kwi kwi
Tatizo ni wengi hawajui historia. Huyu jamaa anachota kwenye mafundisho ya "new world order" ambayo ni nadharia ya njama (conspiration theory) bila msingi. Inadai eti kuna kundi la siri la watu wenye mamlaka kubwa ambao wanataka kutawala Dinia na kuunda serikali itakayotawala badala ya zile zilizopo. Kundi hili la watu wa siri linatajwa mara kama Wayahudi, mara kama Freemasons, mara matajiri, mara wafuasi wa Shetani, mara Wakatoliki, (zamani Wakomunisti waliweza kutajwa pia) ....safi mkuu lazima tujenge hoja zinazojisapoti zenyew km hvyo, ndio maana watu wamejikita kwe hoja za kishabiki ambazo hazithibitishiki kwa namna yeyote, ila hoja za msngi kuhusu pande husika znakwepwa sababu ni ngumu kudanganya sababu watu wanajua historia
Biden's "tough on Putin" script. The questions are prepared before hand. That's how his handlers manage the White Houee Press Corps.
View attachment 2167705
[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2167704
Mzee kachoka sana huyu anaandaliwa maswali na majibu yake mbele ya Press asije sahau akaropoka ropoka ka afanyavyo.
Na namna VP anavomnyima usingizi na utulivu sasa ishakuwa kila akilala akiamka ni PUTIN, social media na Press ni Putin.
Mpendwa huna historia wala mafundisho. Unarudia tu yale uliyosikia kuhusu nadharia ya njama ambayo haina mantiki wala ukweli wowote.Ngoja nikuache,you are not worth arguing with me,maana hata kufundishika hufundishiki.Ungekuwa unajua ungejua kwamba Rothschild au Rockefeller sio Wayahudi.Hivi seriously huoni kwamba Zelensky ni impostor wa NWO.Hivi kweli ni assume kwamba hujui Nazism or it's present day analogy of Zionism ni evil ideologies.You are too ignorant.
Sisi Afrika tukae mkao wa kula. Maana mafuta yaliyokuwa yakienda ulaya yayaletwa huku kwa bei chee.
Sawa,amini utopolo ulioaminishwa.🙏Mpendwa huna historia wala mafundisho. Unarudia tu yale uliyosikia kuhusu nadharia ya njama ambayo haina mantiki wala ukweli wowote.
Rothschild ni familia ya Kiyahudi kabisa (ujinga kupita kiasi kuikana), na Rockefeller alichukia Wayahudi. Jinsi unavyowakoroga pamoja katika supu yako ya fujo - basi supu hii baki nayo.
Inaonekana kuhusu Wanazi katika Urusi hujui kitu.
Itoshe
TNaomba oridhesha moja moja MKUU halaf kuna tofauti yakutokua nayo nakuzidiwa cjui unanielewa
Naomba orodhesha moja moja
Na wala sio ushabiki pekee... na ile Availability of resources kutoka Google. Na Weakness kubwa ni kua data zipo ila kuzi'analyze hawezi. Na akizichambua basi anafanya kimhemko. So kinachokuja kuonekana nje ni **** uliopo kwenye fikra zake.Nakuelewa,to him logic ni very elusive,kinachomtala ni ushabiki.
NATO walimkamata Sadam huseini wakamnyonga.VVP anajua kuwanyoosha sana marais wa Marekani. VVP anazidi kukubalika duniani ushawishi wake unazid kukua kila siku. VIVA PUTIN tupo nyuma yako mzee baba piga wala pizza hao[emoji28]