matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
It was warning poison not destined to kill.Abramovich alishangazwa na sababu za "mazingira", sio sumu - maafisa wa Amerika Saa chache tu baada ya madai ya kuzuka kwa mmiliki wa zamani wa Klabu ya Soka ya Chelsea Roman Abramovich kulishwa sumu kwenye mazungumzo mjini Kiev mwezi uliopita, maafisa wa serikali ya Marekani tayari wamekanusha nadharia hiyo. "Ujasusi unaonyesha kuwa hii ilikuwa mazingira, sio sumu," chanzo kinachodaiwa kiliiambia Reuters, bila kufafanua. Mshauri wa rais wa Ukraine Mikhail Podolyak pia alionya kuhusu "nadharia mbalimbali za njama". Hapo awali, WSJ ilidai Abramovich alionyesha dalili zinazoendana na sumu, akitoa mfano wa uchunguzi ulioongozwa na Uingereza, Marekani na Uholanzi nguo inayofadhiliwa na serikali ya Uholanzi Bellingcat, ambaye pia alidai kuhusika kwa Moscow katika sumu ya Sergey na Yulia Skripal na Alexey Navalny. Abramovich kwa sasa yuko Istanbul, ambako amekutana na Rais wa Uturuki Erdogan na anahusika katika duru ya hivi punde zaidi ya mazungumzo ya amani kati ya Russia na Ukraine. View attachment 2168215
Some aspects of the war have already turned into a guerrilla warfare much to the detriment of the belligerent Russians.THE DECISIVE STAGE OF THE RUSSIAN OPERATION IN UKRAINE🔥
The armed forces of the Russian Federation continue their offensive in Ukraine in several strategic directions. The optimistic results of the first month of the Russian special operation and the new April stage promise an increase in the number and power of high-precision missile strikes against the infrastructure and reserves of the Armed Forces of Ukraine throughout the Ukrainian territory. After the liquidation of the Mariupol cauldron, the priority of the Russian troops will be the demilitarization of the encircled grouping of the Armed Forces of Ukraine in the Donbass.
The focus remains on Kyiv, to the south of which Russian troops close the blockade. Ukrainian sources note the growing potential of the advancing Russian troops: “There are cities where there are so many tanks that tank jams form.” All components of the Russian grouping of forces, including naval forces (precision missile strikes), are more active.
Against the backdrop of disorganization and panic, units of the Armed Forces of Ukraine, the National Guard and the Terodefense systematically, daily and everywhere shoot at each other, as well as torture, mutilate and shoot prisoners of war. The transformation of the country's defenders into uncontrollable gangs of terrorists and thugs is a sign of doom and agony of the Kiev regime.
The operational situation in Ukraine resembles a chess endgame, when there are still many pieces and pawns on the board, and the outcome of the game is predetermined. At the request of the American masters, the Kyiv regime is simply playing for time and cynically pouring Slavic blood before the inevitable capitulation on Moscow's terms. It simply cannot be otherwise, Russia has sacrificed too much in the Ukrainian proxy war with the US and NATO.
Foreign military experts suggest that Russia will create a large military base near Kiev in order to "keep the capital's garrison and Ukrainian political authorities in constant tension." It is more logical to assume that Russia's permanent military bases can become part of a new, peaceful and safe for Ukraine's neighbors - after the completion of the Russian special operation (similar to the legitimate and stabilizing presence of US military bases in Germany and Japan). I believe that the Gostomel airfield will remain for a long time the base of the Russian Airborne Forces units, following the results of a special military operation of the Russian Armed Forces to demilitarize and denazify Ukraine.
Wewe ni Mujahedeen hakuna unachoweza kusema kwa sababu ya limited reasoning capacity.hata wewe unauelewa mdogo
hata vikwazo waloekewa kabla ya hivi vilikua vikubwa kuwahi kuwekewa kwao kwawakati ule nabado wakatoboa
RUSSIA sio ZIMBABWE
Ambassador wa Huawei nipo hapaHakuna lucrative market kama la ulaya Na marekani. Ukipigwa sanctions ujue hayo masoko lazima uyasahau. Huawei atabaki ndani ya China tu maana ulaya tayari wamepigwa marufuku. Nchi nyingi haziwataki maana wanakipengele kinachomruhusu Serikali ya China kuingilia mawasiliano yao. Hii no hatari siku ukigombana Na china
April 5 mbona haijafika???Japan has banned the export of banknotes, gold coins and gold bars to Russia since April 5, according to the country's Ministry of Economy.
Galip SV Liwagu View attachment 2168203
Kabisa mkuu ...watangulie...tu sisi tutafuata baadae ..Kila nafsi itakufa MKUU acha watangulie
Hawa nao si[emoji49][emoji49][emoji49] wangetulia makwao ...wazungu sio wa kuwaonea huruma kabisa ...Mercenaries kutoka congo na CAR wanaopigania urussi wameuwawaView attachment 2167892View attachment 2167893
Waziri wa ulinzi yuko kazini anaendelea kushusha vitukwi kwi vifaru vyenu hivyo kyiv mmefurushwa mmebakia kwenye kakitongoji mnajipanga upya
Yule waziri wenu wa ulinzi yukhali gani baada ya kuzamishwa meli vita mbili kule ukraine kwi kwi kwi
Ni vikwazo gani hivyo vikubwa walivyowekewa, unaweza ukavitaja?hata wewe unauelewa mdogo
hata vikwazo waloekewa kabla ya hivi vilikua vikubwa kuwahi kuwekewa kwao kwawakati ule nabado wakatoboa
RUSSIA sio ZIMBABWE
Hebu tueleze nn wanajeshi wa kadyrov walikutana nachohuyu kadyrov ni mzushi alpeleka battalion ya kwanza huko Mariupol alchokutana na nacho anajua mwenyew, wanajeshi wa urusi mebidi waendelee tu wenyew huyu na wachechen walobaki wanapiga tu selfie na kufanya PR
US wenyewe wameanza kuchanganyikiwaVVP anajua kuwanyoosha sana marais wa Marekani. VVP anazidi kukubalika duniani ushawishi wake unazid kukua kila siku. VIVA PUTIN tupo nyuma yako mzee baba piga wala pizza hao[emoji28]
MKUU natamani nikujibu kwahoja kama usemavyo ila nimejikuta ghfla nimeingia uvivu wakutype sanaHivi umeshajiuliza kwa nini Russia kataifisha ndege zote zilizokua zimekodiwa Na kampuni zao ndani ya urusi? Au kwa nini shirika la ndege la Iran linapata dhida kupata vipuri vya ndege zao? Kwenye technologia ya ndege za abiria kuna Boeing au Airbus ndo watengenezajj wakubwa Wa ndege. Hawa wengine bado sana.
2. Seniconductors- kampuni Kubwa no Intel na Samsung, nvidia Na nyinginezo. Hakuna kampuni ya kichina hats moja kwenye top ten lakini China ana advantage ya kuwa na hold kwenye solo la rare earthy metal. Pia production facilities nyingi zipo kwake ila most of the design zinafanyika korea, Taiwan, USA au Germany.
Pia China soko lake la ndani ni Kubwa lakini bado halijamature. Bila government expenditure kuna vitu haviendi. Ulaya consumer wao wapo vizuri.