lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Ha ha haa,ndo anajifunza,tumueleweshe TU Hadi ataelewa.Uelewa wako wa masuala mbalimbali na hasa ya kimataifa unatia shaka mno Ndugu yangu....Nadhani kwa upande wa geo-politics uelewa wako ni sifuri.
Jamaa wanakauli zakishujaa sana hawa hem acha tuone"Look for rubles": Chairman of the State Duma of the Russian Federation Vyacheslav Volodin proposed expanding the list of goods exported for rubles
“European politicians need to end their conversations, stop looking for excuses why their countries cannot pay in rubles. Before, they had to think,” he wrote on his Telegram channel.
According to him, the situation is much worse when there is money, but there is no goods. Therefore, Volodin considers it right to issue payments in rubles for such goods as fertilizers, grain, oil, oil, coal, metals, timber, etc.
Ha ha haa,tufunge darasa aisee.kazi ni kubwa sana.Umri wako ni miaka mingapi!?
Kwa swali lako hilo la awali nadhani hata nikikupatia jibu itakuwa ngumu kwako kuelewa...bado sana wewe kwa masuala ya geo-politicsSawa nimekosea, jibu Sasa swali nililouliza
Nchi inavutia wawekezaji kwenye uchumi wake kulingana na sera zake rafiki na imara. Udhaifu waliouonesha Western countries ndani ya mwezi mmoja inatoa alert kwa Investors na nchi zingine kujitafakari kwa umakin zaidi. Hiyo sera ya unyang'anyi ni wizi mkubwa kwa watu wasiohusika.kama hautojali.... hio[emoji115] aya ya mwisho inahitaji maelezo zaidi maana naona umeandika vitu complex sana kwa mchanganyiko nashindwa kuelewa kwa ufasaha unamaanisha nini
kama hutojali kushea maarifa
Mzee naona umeamua kudili na huyo mpotoshaji.
Mimi nikielewa hiyo geopolitics inanisaidiaje ukiwa wewe unayeelewa hujapata hata nafasi ya kujitolea achia mbali ajira hapo Sudan na Somalia kuwasaidia hata wakimbizi...kikubwa ninchoelewa Putin Anatakiwa kuheshimu state sovereignty... Ukraine Ni nchi huru asipangiwe vya kufanyaUelewa wako wa masuala mbalimbali na hasa ya kimataifa unatia shaka mno Ndugu yangu....Nadhani kwa upande wa geo-politics uelewa wako ni sifuri.
Sawa,inatosha.NDo nikakuambia inahitajila muda ili tueleweshane dada yangu.
Baba au mama kumchapa mtoto sio kwamba hampendi.
Hata kwenye familia zetu Huwa inatokea mzazi wakazozana na mtoto inafikia hata hatua ya kutozikan,hii Dunia Ina mambo mengi sana dada.
Putin ni mtu muungwana sana narudia Tena na Tena kukuambia.
Ila inahitaji darasa refu.
Any way kama tunaona mzozo huu kama ushabiki wa Simba na yanga Mimi Sina la kukuambia.
Nchi inavutia wawekezaji kwenye uchumi wake kulingana na sera zake rafiki na imara. Udhaifu waliouonesha Western countries ndani ya mwezi mmoja inatoa alert kwa Investors na nchi zingine kujitafakari kwa umakin zaidi. Hiyo sera ya unyang'anyi ni wizi mkubwa kwa watu wasiohusika.
Fikiria nchi zilizohifadhi Assets zao katika fedha za kigeni kutoka nchi zenye sera za namna hiyo. Siku wakipigwa stop kuzitumia fedha hizo watapoteza kiasi gani katika Reserves zao? So kitachoendelea uko mbele ni kuanza kubadil reserves zao kwenda stable assets kama Gold n.k
Nchi hizi (Western Countries) zimekuwa na mwelekeo wa nchi nyingi kwenda kuhifadhi na kuwekeza kutokana na hii "stability" ambayo kwa sasa ni kama imeyumba. High inflation inapunguza Power of purchase ya Currency husika.
Hasa Dollar, iko active kwasabab ya Uhitaji wake sokoni katika biashara. Uhitaji huu ukipungua na stability inapotea. So nchi zilizohifadh Dollar notes zitaanza kuzifanyia exchange to others assets ambazo ni stable kuendelea kuhifadh thaman yake.
"Shifting" hiyo itapelekea US na western kupoteza control ambazo wangez'impose kupitia uko. Na hii kwa mfano ni mbaya kwa US (kwa mujibu wa wachambuzi kutoka huko huko US) wanaosema deni la taifa ni kubwa. Inflation itarise high interest kwenye hilo deni na kupelekea hilo deni kua gumu kulipa.
Kingine kibaya zaidi kwa Europe katika jitihada za kumridhisha US, wanamsukuma Russia kua rafiki wa kufa na kufaana na China zaidi apo uone kua Nchi nyingi hasa Middle East ni kama vile zimechoka utawala wa amri na vitisho kutoka magharibi... Hii italeta pigo kubwa zaidi Europe na Western uko kwa Canada na USA.
Na wengine wanaenda mbali zaidi wanadai kwa vita hii ya kiuchumi itapelekea mgawanyiko wa kimipaka. Kwamba kutakuwa na North West ikiongozwa na US na washirika wake apo Ulaya kisha East South ikiongozwa na India Russia na China na wengineo...
Ukumbuke Russia ana Resources nyiiiingi sana na China ana viwanda viiingi kupindukia. Huo muungano uko much beneficial kupitiliza. Apo ndio utakapotofautisha Quantity na Quality.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayo sio maneno yangu ni maneno ya wachambuzi kutoka apo apo baran ulaya. Ndio maana utaona nchi kama Hungary kawa mbishi kushiriki kikombe cha jumuiya dhidi ya Russia.
Europe mambo si mambo ingawa media zinaficha ila za pembeni zinapatikana. Sawa na hali mbovu ya kiuchumi apa TZ media hazisemi ila kuna wakereketwa apa JF wanazizungumza vizuri tu mtu unaelewa.
Ni mengi meeengi mengine kuandika ni issue, sema kikubwa hii transform ya power kutoka kanda moja kwenda nyingine ifanyike kwa salama. Kwasaba ukigeuka nyuma kwenye historia inaonesha kila Power imedondoka kwa vita... Hii USSR na rise of US imetokea kwa vita. So kwa hii nayo dah yetu macho tu.
chakula mujarab cha akili ......ubarikiwe sanaNchi inavutia wawekezaji kwenye uchumi wake kulingana na sera zake rafiki na imara. Udhaifu waliouonesha Western countries ndani ya mwezi mmoja inatoa alert kwa Investors na nchi zingine kujitafakari kwa umakin zaidi. Hiyo sera ya unyang'anyi ni wizi mkubwa kwa watu wasiohusika.
Fikiria nchi zilizohifadhi Assets zao katika fedha za kigeni kutoka nchi zenye sera za namna hiyo. Siku wakipigwa stop kuzitumia fedha hizo watapoteza kiasi gani katika Reserves zao? So kitachoendelea uko mbele ni kuanza kubadil reserves zao kwenda stable assets kama Gold n.k
Nchi hizi (Western Countries) zimekuwa na mwelekeo wa nchi nyingi kwenda kuhifadhi na kuwekeza kutokana na hii "stability" ambayo kwa sasa ni kama imeyumba. High inflation inapunguza Power of purchase ya Currency husika.
Hasa Dollar, iko active kwasabab ya Uhitaji wake sokoni katika biashara. Uhitaji huu ukipungua na stability inapotea. So nchi zilizohifadh Dollar notes zitaanza kuzifanyia exchange to others assets ambazo ni stable kuendelea kuhifadh thaman yake.
"Shifting" hiyo itapelekea US na western kupoteza control ambazo wangez'impose kupitia uko. Na hii kwa mfano ni mbaya kwa US (kwa mujibu wa wachambuzi kutoka huko huko US) wanaosema deni la taifa ni kubwa. Inflation itarise high interest kwenye hilo deni na kupelekea hilo deni kua gumu kulipa.
Kingine kibaya zaidi kwa Europe katika jitihada za kumridhisha US, wanamsukuma Russia kua rafiki wa kufa na kufaana na China zaidi apo uone kua Nchi nyingi hasa Middle East ni kama vile zimechoka utawala wa amri na vitisho kutoka magharibi... Hii italeta pigo kubwa zaidi Europe na Western uko kwa Canada na USA.
Na wengine wanaenda mbali zaidi wanadai kwa vita hii ya kiuchumi itapelekea mgawanyiko wa kimipaka. Kwamba kutakuwa na North West ikiongozwa na US na washirika wake apo Ulaya kisha East South ikiongozwa na India Russia na China na wengineo...
Ukumbuke Russia ana Resources nyiiiingi sana na China ana viwanda viiingi kupindukia. Huo muungano uko much beneficial kupitiliza. Apo ndio utakapotofautisha Quantity na Quality.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayo sio maneno yangu ni maneno ya wachambuzi kutoka apo apo baran ulaya. Ndio maana utaona nchi kama Hungary kawa mbishi kushiriki kikombe cha jumuiya dhidi ya Russia.
Europe mambo si mambo ingawa media zinaficha ila za pembeni zinapatikana. Sawa na hali mbovu ya kiuchumi apa TZ media hazisemi ila kuna wakereketwa apa JF wanazizungumza vizuri tu mtu unaelewa.
Ni mengi meeengi mengine kuandika ni issue, sema kikubwa hii transform ya power kutoka kanda moja kwenda nyingine ifanyike kwa salama. Kwasaba ukigeuka nyuma kwenye historia inaonesha kila Power imedondoka kwa vita... Hii USSR na rise of US imetokea kwa vita. So kwa hii nayo dah yetu macho tu.
Hii wala haina shida, kwa kuwa baadae huwa wana kawaida ya kufufuka.
MKUU vp mambo yanaendeleaje huko UGHAIBUNI !!?Europe wameishiwa sera na dhulma inaendelea huku sana
Matajiri hata wasiokuwa kwenye list wanavamiwa na kunyang’anywa mali zao
Kuna Russian mmoja hapa UK meli yake ya kifahari imezuiliwa na kuchukuliwa kibabe Ina thamani ya £38m
Huu ubabe unasaidia nini
Na hii ndio Super-yacht ya kwanza kuzuiliwa au tuseme kutekwa na serikali ya UK
View attachment 2169050
Usijichekeshe ili tukuone mcheshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pro Russia mnashida Gani?
Mgogoro wa Sasa na Hadi kupeleka Russia kuivamia Crimea na Yale Majimbo ya Donbass kutaka kujitenga ni baada ya Rais kipindi hicho kukataa kujiunga na EU na kutaka mkopo wa Russia...
Muwege mnatumia akili kureason, Hadi kesho Turkey anataka kujiunga na EU na anachukizwa sana anavocheleweshwa...
Yah hao huwa wapo tu hawakosekani. Hata umletee nini maadam hakimfurahishi hakusikilizi, ataangalia ila hatoona, atatega sikio ila hatosikia na atasoma ila hatoelewa.Wamagharibi wa machame utawaona wanavyoshupaza shingo ... Na video wameziona na wamesikia Nini walikuwa wamepanga hao NATO na USA Kwa ujumla kuhusu kupigana vita wapi dhidi ya nani.