Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

...Awali Urusi huyo huyo alisema kwamba atakayemsaidia Ukraine atapata kipigo cha kihistoria lkn hatujaona kitu, hata Ukraine ameshamshinda tayari yeye amebaki kulenga raia na kubomoa majengo tu.
 
Da ila wewe jamaa bana Unatisha.
Unaletaga habari zenye maumivu makubwa upande wa pili.
Aisee nakupa nishani ya juu kabisa ya ujasusi .
 
Chamsingi urussi kaingia 18 za marekani.
 
Hadi leo hujamwelewa Putin wala watu wa sehemu zile. Putin ana ndoto kurudisha ukuu wa Urusi wa zamani. Ukuu wa Urusi ulikuwa pamoja na koloni zake. Koloni hizo unajua au hujasikia? Poland ilikuwa mojawapo, Ukraine, Estonia, Latvia, Georgia ...... hapo sababu watu hao wameamua kutorudishwa katika hali ambayo wengi wanakumbuka kama utumwa.
Nenda tu, uwaelimishe hawamjui Putin, lakini wewe utawafundisha sasa...
Nakutakia mafanikio mema!
 
Hivi covid imeishia wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
Ipo sema haina airtime tena ka zamani. Kila kitu kimefunikwa na Ukraine vs Russia. Ingawa ukweli mambo yapo mengi tu. Kwa mfano ndani ya hii week Saudia na kundi lake washaingia Yemen kufanya wanayoiita Special Operation na leo hii wameisimamisha. Kwingineko Iran na Israel kunafukuta uko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zaidi kuna kijisehem kilichojitenga kule Georgia, South Ossetia wanataka kujiunga na Russia rasmi... N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…