Super Msouth
Senior Member
- Dec 28, 2014
- 145
- 128
Haya sio kweli, zilikua ishu za biashara tu ili mchina adondoke semiconductor mzalishaji mkubwa ni mmarekani akiwa anazalisha 44% zinazotumika duniani na mchina yeye anazalisha 5.6% zinazotumika duniani, ndege nazo mchina anazalisha na ni wa 10 kwa uzalishaji duniani kwa sasa hakuna kinachomshinda mchina walikua nyuma zamani sio leo tusidanganyaneNyingi sana bro. Technologia ya kutengeneza semiconductors patent nyingi inashikiliwa Na marekani. Pia technologies ya kutengeneza ndege bado China hajamaster. Artificial inteligence bado China hajafika kwa marekani. Ndio maana unaona ZTE ilivyowekewa vikwazo ilikufa maana kuna vitu walikua wanavi outsource. Pia Huawei baada ya sanctions za marekani kaporomoka kwenye soko la handsets kabakiwa Na mifumo ya uendeshaji Wa simu. Simu kama I phone design inafanyika marekani lakini production ni China. Bado kwenye technologia marekani wapo mnele Na ndio maana kila mwaka kuna wachina milioni moja wanasoma marekani.
Usibishane na hao wapuuziacha banah so why huawei alikua anateseka na bann za trump? Ntajie kampun yeyote ya electronic ya urusi inayotengeneza chip za saiz ya nanometer 10 na kushuka, au tech zp unazomanisha?
UKWELI HAUKIMBIWI MZEE.Usibishane na hao wapuuzi
Russia ana silaha gani bana? acheni propaganda za kitoto, hii vita imemuumbua sana Russia na silaha zake zilizochoka mbaya.Kukomboa majimbo mawili its not an easy task,na itasababisha vifo vya wa Ukraine wengi sana na pia inaweza kuzua mzozo kati ya NATO na Russia.Wanachota wa ukraine ni kuachwa waamue mambo yao kama sovereignty state bila kuinmgiliwa na Urusi kwa kijezo cha usalama au sijui Ex-Soviet brotherhood.
Tunachopiga kelele ni Rusia kuachwa avamie nchi huru kwa vigezo visivyo na mashiko..Hata marekani kuvamia Iraq Russia walipiga kelele hivi hivi Marekani anavyopiga,so tusione eti west wao ndio wenye makosa kuliko Russia anayetaka kuvamia nchi huru.Russia must be condemned kama dunia ilivyo condemn USA kuvamia middle east,the treatment should the same..
Akili ndogo kujadili mambo makubwaRussia ana silaha gani bana? acheni propaganda za kitoto, hii vita imemuumbua sana Russia na silaha zake zilizochoka mbaya.
Kuuliza 'Russia ana silaha gani bana?' Kutamfanya mtu asikujibu maana suali ulilouliza linaonesha itakuwa ngumu kuelewa jibu! Mtu anayejua military 'stuffs' hata layman hawezi kuuliza swali kama hilo. Wewe ni beyond layman. Hatuwezi kumfundisha mtoto hesabu za aljebra wakati yeye yupo kwenye '...unaweka moja kichwani...'Russia ana silaha gani bana? acheni propaganda za kitoto, hii vita imemuumbua sana Russia na silaha zake zilizochoka mbaya.
Здравствуй брат, слава РоссииWestern partners deceived Russia by stopping aircraft leasing. Russia will respond to this step.
"We are not going to close ourselves off from anyone, we will not be a closed country," the president stressed.
Putin predicted that the Russian aviation industry would develop rapidly in the coming years. The President promised to support domestic airlines and ensure the availability of air transportation.
He noted that the share of domestic aircraft in the Russian Federation should grow dramatically over 10 years.
Господи, благослови Путина и Россию.Здравствуй брат, слава России
Maelezo mazuri ila kuna kitu umekichanganya kidoooogo. Usahihi ni kua Almost over 70% ya wazalishaji duniani wa semiconductors wanatoka Asia. Huku China aki'lead the chart by far margin.Haya sio kweli, zilikua ishu za biashara tu ili mchina adondoke semiconductor mzalishaji mkubwa ni mmarekani akiwa anazalisha 44% zinazotumika duniani na mchina yeye anazalisha 5.6% zinazotumika duniani, ndege nazo mchina anazalisha na ni wa 10 kwa uzalishaji duniani kwa sasa hakuna kinachomshinda mchina walikua nyuma zamani sio leo tusidanganyane
Sijakataa kuwa hizo kampun haziwez andika circuits ktk level ya manometer na nkakutajia kuwa znaandika kwe size ya 45 lkn haziwez kuandika kuanzia size ya nanometer 10 na kushuka ambayo ni msingi wa hoja yangu but kila unapojibu unazunguka haujbu ni kampuni gani ya urusi ina fab ya kuandika nanometer 10 na kushuka, huwez andika hio size bla ultaviolet lithography machine, umetoa maelezo mengi sn but kuwa specifc just mention one russian fab inayoandika chip yenye size ya nanometer 10 na kushuka just one, kila mtu ana internet ataangalia, km huwez taja moja tu basi, mi ntakutajia samsung ,intel na TSMIC ukigoogle utasoma vzuri, ulizotaja ww zote hamna ht moja inayoandika kwa size hiyo, sjui ht tunabishana nn, unataja hizo lithography techs as if kila lithography tech znaandika size zote, ndio maana wantk kumuwekea sanctions asiagize advanced chip ambazo yy hawez tengenezaVile vile jifunze kuandika vizuri. Unaonekana uwezo wako wa kuandika ni mdogo. Jaribu kujifunza matumizi ya (.,':😉
View attachment 2170521
Walishapewa mda wa kuondoka hawakutaka sasa hamna kukimbiaAn APU helicopter was shot down near Mariupol.
The photo from the crash site is published by DPR First Deputy Minister of Information Daniil Bezsonov @neoficialniybezsonov. In total, two helicopters were destroyed near the city today, he clarifies.
View attachment 2170466
Где в России ты живешьГосподи, благослови Путина и Россию.
NimekupataMaelezo mazuri ila kuna kitu umekichanganya kidoooogo. Usahihi ni kua Almost over 70% ya wazalishaji duniani wa semiconductors wanatoka Asia. Huku China aki'lead the chart by far margin. View attachment 2170567Kwa US alichoshikilia sehem kubwa kwenye semiconductors ni technology inayotumika ila sio uzalishaji.
Na kwenye technology inayotumika ukiichunguza kiundani utatoka na mada nyingine juu ya u'Capitalism unavoua kila kipya kinachojitokeza mbele yake.
Kwa mfano leo hii we ni mtanzania utagundua kitu kisha wanakuja wageni kuinunua hyo technology. Ikishanunuliwa inakuwa sio yako tena ni mali yao na wana kauli juu yake nani aitumie na nani asiitumie.
Mfano mwingine wa wazi wazi angalia kitu kama Android OS. Founder wa hii OS sio Google bali ni washkaji wengine tu ambao Google waliinunua kutoka kwao. Hivi sasa sio mali yao bali ni mali ya Google ijapokuwa hawakuianzisha Google.
Since Google ama Alphabet ni US Company. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ko inatambulika kama US Technology. Na hii inafanywa hivi kwasabab ya ile need ya ultimate control wanayoitaka. Ukiimiliki technoloy inakuwa rahisi kui'track kokote inakopita hasa kwenye mambo ya ulinzi na vifaa vya kivita...