Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni mhanga wa stori za vijiweni kwamba marekani ako na Reserve ya 100 years
 
Kwa hivyo Hypersonic missiles travel faster than light? Electronic warfare is a nanoseconds game with nanoseconds manuevers.
 
Ningekuwa hapa tokea awali ningetoa somo si kwamba vita hii na impact yake nimesimuliwa bali nimeona pande zote mbili! Russia ana tabu sana ninaishi Russia unapata mwaka wa 7 sasa
Tudadavulie machache yaliyomo huko
 
Kwa hivyo Hypersonic missiles travel faster than light? Electronic warfare is a nanoseconds game with nanoseconds manuevers.
Mzee nilivyo sema Go back to school ninamaanisha.

Kwanza kabisa unatakiwa uijue technology ya laser weapon how operates.

Pili nakusihi ujue source of energy kwaajili ya ku operate na kuzalisha laser rays. Inahitaji kifaa cha kilo 30 - 40 kuzalisha jast 1Kw.

Lasers take a lot of energy and have difficulty penetrating haze, dust, smoke and materials with anti-laser coatings.

So most siku hizi drone dizo njia nzuri za kusafirisha weapo to the target. Sasa drone kuwa na uwezo wa kubeba more than 500kg for small impact ni upuuzi tu.

Laser weapons faces lot of challenges.
Kinetic Enery weapons bado zinanguvu mno.
Ndio maana huwezi mpaka sasa ukakuta ndege inayotumia electric as a source of energy.

MZEE HAYA NI MAMBO YA SCIENCE. NYIE MBUMBUMBU TULIENI TUWAFUNDISHE.
 
 
Ni mhanga wa stori za vijiweni kwamba marekani ako na Reserve ya 100 years
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe, hatariiii...

Hapo ungeshusha kahawa chini kisha ukapiga hesab nyepesi, kwa wastani wa matumizi yake ya sasa ya 19Million Barrer per Day kwa siku 365 ndani ya mwaka kwa miaka 100 ni 19,000,000×365×100 sawa na 693Billions Barrer ambazo ukiz'convert kwa Meter Cubic ni kama 63 ama 64 hivi Billions Meter za ujazo.

Hint kwa apo Conversion ni 1M³ kwa 8.36 Barrers (Mapipa)

Kisha unaingia online kuangalia Reserve aliyonayo... Nikurahisishie kwa kupitia link hii Oil Reserves by Country - Worldometer utamwona ana reserves ya 35Billions Meter za ujazo [emoji23][emoji23][emoji23] na ukumbuke hizo 35Billions sio ambazo zimezalishwa kwamba ziko store mda wowote zikihatajika zinatumiwa laa hasha[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] hiyo ni total ya iliyopo kwenye ardhi yake ambayo inahitajika kuchimbwa.

Then unamgeukia kwa utaratibu unamuuliza "are you serious on this???" [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

So ukija nje wamwona na harakati zake mizinguo hizi kama "Global warming" mara "Green Energy" ni vile anajua kinachokuja uko mbele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Ukiitizama vizuri hiyo list kuna kitu utajiongeza na kwanini most countries with the largest reserves ever kwake ni maadui na kawapachika vikwazo vya kutosha.
 
Baada ya majaribio madogo ya muda mrefu hatimaye Pentagon waliwapa kandarasi ya kutengeneza silaha kubwa ya laser makampuni mawili ya silaha ya Marekani, Boeing na General Atomics Aeronautical Systems(GA-ASI). Majaribio ya kwanza ya silaha kubwa za kilowat 300 za laser yanatarajiwa kufanyika na jeshi la Marekani kuanzia mwaka 2022.
 
Kwa hivyo Hypersonic missiles travel faster than light? Electronic warfare is a nanoseconds game with nanoseconds manuevers.
Leo kwa sababu nimeamua kufundisha ngoja nifundishe Physics kidogo.
Mzee kama nilivyokwambia hapo juu.
1. Unahitaji kifaa cha uzito wa 30 to 40kg kuweza kuzalisha 1kw for laser beam.
Yaani computer inauwezo wa ku consume 400 - 500W.
Maana yake unakuwa bettery inayotuza umeme yenye ukubwa wa 30kg ili kuweza kutengeneza power yenye uwezo wa ku operate 2 computers.

Kumbuka bettery inaisha chaji kadri unavyoitumia.

Ndio maana wanasayansi wamefanikiwa kutengeneza magari madogo madogo tu yanayotumia umeme. Hii ni kwasababu hayahitaji energy kubwa.

Huwezi kwa sasa ukatengeneza Lory na mizigo linalotumia umeme. Maana yake utahitaji bettery yenye more than 10tones ibebwe na hilo gari. Which is the stupid Idea.
 
Keep dreaming ,changamoto nyingi za matumizi ya silaha za LASER zimetatuliwa. The future is now.

A recent report from DOD’s top scientific advisors has concluded that weapons based on the power of the laser will prove to be faster, more precise, and cheaper than any now in the US inventory. “High-power lasers have the potential to change future military operations in dramatic ways,” the report said.

The report went on, “The United States is in a position to exploit current high-energy laser technology to take advantage of speed-of-light engagement, precisely controlled effects, deep magazines, low cost per shot, and reduced logistics footprint.”
 
Hii habari imetangazwa na Urusi yenyewe kwa hiyo ina walakini mkubwa sana kama ni kweli au kuna lengo fulani linalo kusudiwa.
Unamaanisha kuwa Urusi nayo inaweza tengeneza Propaganda sio West tu?
 
These are good dreams. Anyway hebu niambie hizo laser unazozisema zimewahi kutumika wapi na zimeshusha na kuharibu missile ipi!?
 
Uelewa wako wa sayansi na teknolgia finyu kweli. Ficha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…