Haishangazi kuona Russia imefanya hivi na sio habari Lakini tunavyojua na kujiaminisha uwezo wa Russia,inashangaza na ni habari pale UKRAINE anapoteka vifaru vya Russia 🤔View attachment 2171328
The Russian Ministry of Defense publishes a video with the equipment of the Armed Forces of Ukraine captured near Chernigov.
T-64 tanks are serviceable and contain full ammunition.
Kwenu apo ila kwenye number zenye country code hii haipoView attachment 2172333
RT ipo sema kuna watu wamefungua ac nyingi inabidi uchek yenye subscribers wengi t.me/rtnews
Nchi yako je?Kwa nini unasema Russians wengi wanampenda Putin mioyoni wakati uchaguzi wa Russia ni sawa na uchafuzi tu na wapinzani wake huwa wanauwa kwa polonium, ajali au wanaishia gerezani.
Yaan Putin hama tofaut na mbwa anaeufyata mkia huku anabweka
Madai yako tunayajua
1.hutak Ukraine ajiunge NATO
2.Hutak ushirikiano wa ukraine na west kwenye mpaka wako na ukraine kijeshi
3.humtak kiongoz mpya wa ukraine sabab
4.hutak biashara kat ya ukraine na west especialy marekan
Sasa bro Putin ..unajua kabisa ukraine ni taifa maskin kabisa hawana lolote hawana chochote...nashangaaga sana hata wazaz wanaopeleka watoto kusoma elim ya juu ukraine..(uelewa)
Sasa Bro Putin..why usipambane na hao wanaoinyemelea hyo eneo unaenda mpiga maskin ukraine
Yaan ni sawa baba awe na ugomvi na baba mwenzie jiran..halaf ashindwe m face huyo baba..aende kupiga watoto wa huyo baba
Bro Putin..jipange..unaonekana ni mbabe unaeufyata mkia.
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin amekataa hizo mambo. Amesema tayari ashaanza ^special operation,^ na lazima ikamilike. Too late for the president! Lazima Ukraine plus nchi zote za former USSR zirudi Russia.
Hiyo waiache Kwa wayukraine wanaochimbuana samadi.The Badoo dating app has restricted access for residents of Russia and Belarus.View attachment 2172386
Mmarakani hafanyi vita isiyo na faida kwake. Hawezi rudia makosa kwenda kumwaga damu ya wamarekani katika nchi za wengine bila faida yoyote. Sana sana Ukraine atasaidiwa kwenye ujasusi na Technolojia.
Pili Mmarekani anakwepa vita ya moja kwa moja na Russia. Ni busara kubwa kwani ukumbuke kwa tabia za Putin akiona anashindwa vita ya kawaida anaweza tumia Nyuklia ambayo kwa mmarekani anajua ni mwisho wa kila kitu.
Tatu vita ni gharama. Ukumbuke mmarekani akiwa vitani Mchina yupo kazini kujenga uchumi wake. Kwa vita ya moja kwa moja na mrusi si vita ya Muda mfupi. Hivyo inaweza kusababisha anguko kubwa la kiuchimi na kupelekea Mchina ku emerge kama New world Super power.
Kwa mrusi yeye hana cha kupoteza kwa kiuchuni yupo chini sawa tu na jimbo moja la Marekani. Yeye yupo vizuri kwenye technolojia ya silaha.
Mgogoro wa Russia vs ukaraine ukiutazama kinadharia utahisia Russia anapigana na Ukraine kweli lakini siyo kweli ni USA na mshirika wake UK dogo ametumika tu. Ili ujue vile vikwazo vilivyoweka nani alikuwa kimbelembele? Utapata jibu na nani vinamuathiri kwa sasa? Kukusaidia kitu kinaitwa brexity why UK alijitoa kwenye sarafu ya ulaya na umoja wa ulaya ila yupo NATO ushirika wa kujihami kijeshi na si vingine? Aliekuwa nyuma ya huu mpango ni USA kwanini sasa muungano wao ungekuwa tishio kwa uchumi wa marekani sababu wangeacha kumtagemea na kwenye umoja huo nani ana nguvu ni UK na kwa uhusiano wao hakikisha unajitioa. Mbali na kutishia uchumi ni kwamba pesa yake $ isingekuwa na nguvu bali euro kwasababu transactions yote ya biashara kimataifa ingefanywa kwa euro.