Rudia tena kusoma bandiko langu..nimekwambia kwamba huwezi kutamba ki uchumi duniani kama utawekwa pembeni na US, EU, UK na washirika wake..M
Budget kubwa wala sio sababu kwani hiyo budget unajua ni ya nini?? Hela nyingi hapo ni deal za makampuni makubwa ya PR na Uzandiki wanalipa media na kukodi kampuni nyingi sana kusema uongo na uzushi inayoelekea Jeshini ni kidogo mnoo..someni haya masuala myajue...
Hiyo hela nyingi ni deal za watu hamna kingine...Tofauti na Urusi haina makambi ya kijeshi nchi zingine ikiendesha ubabe na mauaji..Tukikuhesabia sehemu ambazo US Ana makambi ya uzushi na uuaji utalia...Nyamaza tu Dogo...
Mimi nahisi kama russia inamficha jambo flani hapa, wanaposema kuwa wanaiconvert dollar kwenda ktk ruble, wanaconvert kwa namna gani? Wewe hapo una 10,000 ya kitanzania, ukitaka iingie ktk dollar ni lazima niinunue dollar ktk hiyo 10,000 yangu.
Ikiwa hivyo ninavyoelewa mimi, maana yake kuwa hiyo Bank inapaswa kuwa na pesa nyingi mno za ruble ili euro/dollar zinunuliwe kwa ruble.
Sasa maswali ya kujiuliza, Je russia atapata wapi pesa zs kuweza kununua hizo dollar/euro? Usikute Russia imeanz kutumia foreign currency reserve pamoja na dhahabu. Na hawezi kuweka wazi hili kwani watu wakijua tu, uchumi wake utashuka mno.
Swali la pili, assume hiyo bank imepokea dollar na euro, je wao watazitumia wapi? Tukumbuke amewekewa vikwazo karibia kila sehemu, hasa EU. Hii itapelekea matumizi ya Dollar ndani ya Russia kuwa makubwa, na hii itadidimiza Ruble ya Russia.
Kuna kitu serikali ya Russia haijakiweka sawa ktk hili.
Hapa hawawezi kukujibu kamwe,lakini ukiwakuta in real life wako na dreams za kwenda kwa Joe Biden na si kwa Putin kamwe.Haya angalia visa za africa kwenda US Vs Visa kwend urusi ..
Mambo ya kijinga kabisa kusema kuna siku mrusi atakuwa ni mtu muhimu sana kwa Africa yetu ...kasaidia nini ?
Jana ndio ilikuwa deadline,Tsh vipi tushaikamata Kyiv tayari,ama sasa hivi tumehamia kwenye vibweka vya kulazimisha kulipwa kwa madafu yetu 😀
Asante kwa shule,endeleeni kwenda nao taratibu wataelewa tu mwisho wa siku.Unaendelea kunionyesha ulivyokua mweupe kichwani.
Niamini nikikwambia kwamba Leo hii dunia ikiamua kua dhahabu haitakua na thamani tena huo ndo utakua mwisho wake.
Niamini nikikwambia dunia nzima ikiamua leo kwamba Tanzanite ndo itachukua nafasi ya gold thamani itapapanda maradufu.
There's nothing special in Gold kando na kua rare metal. Afadhali diamond ambayo inaweza kutumika katika mambo mingi.
Thamani ya kitu inaamuliwa na binadamu. Leo hii marekani/EU wakimaliza reserve zao wanaweza kuamua kwamba hawatakubali biashara ya dhahabu, wenye reserve na migodi hawana chao.
Kwa hio bwana FUSO yuko sahihi kabisa
Urusi amekimbia Kiev na maeneo jiraniAcheni ngonjera leteni updates za vita kipi kinaendelea huko
Bado point yangu ni moja tu je n pesa ipi toka Urusi inakuka Africa kwa ajili ya misaadq ya kijamii.Hapa hawawezi kukujibu kamwe,lakini ukiwakuta in real life wako na dreams za kwenda kwa Joe Biden na si kwa Putin kamwe.
Mkuu,nilikusahau pamoja na GANGA ZUMBA ,kila nikicheki update za kinachoendelea Ukraine naona watu wanarudi nyuma kwenda kuji regroup.Special operation imeota matende ,sasa imebidi tuhamishie mjadala kwenye mikwara mbuzi ya kutaka kulipwa kwa madafu yetu ya Russia😂Jana ndio ilikuwa deadline,
Waulize kama Kuna Nchi imekatiwa gesi
Nchi yenye malighafi Kama Russia sahau uchumi kuteremka Kama inauza kwa fedha yake. Mtangoja Sana.Ndo maana nilikuuliza haya usemayo unaelewa? Rubo kwa sasa inapanda sababu wafanya biashara wa fedha wanabashiri kuwa hiyo gas na mafuta yatanunuliwa kwa rubo.
Endapo zoezi hili la kununua hiyo rubo kwa euro au dollar likashindikana, elewa hiyo fedha lazima ishuke tena. Thaman ya pesa ya nchi, inaendana na uchumi wa nchi.
Kwa vikwazo ambavyo Russia amewekewa, ni suala la muda tu utakuja apa kuzungumza kuhusu kushuka kwa hiyo thaman ya pesa. Tungekuwa russia sote tungeshuhudia kwa sasa hali ambayo wanapitia ya kiuchumi.
Eti rubo imeimarika katikati ya vikwazo, unajua uchumi wa taifa unapimwa kwa vitu gani viwili?
kwann wao eu wanawek sancktion hadi kweny vitu wanavovihitaj ilihali wanashida navyo?mfano German anahitj ges ila anaipiga saction ingawa itamuarhiri,mbona us wao wanachagua cha kusactionUS exempts critical Russian commodity from sanctions
Washington aims to protect farmers from fertilizer shortages
Washington has eased sanctions on Russian agricultural products, including fertilizers, placed on Moscow over the crisis in Ukraine. The move aims to protect US farmers from a shortage of chemical products as food prices in the country continue to soar.
The Office of Foreign Assets Control (OFAC) of the US Treasury recently published a new general license dated March 24, which effectively removed restrictions on the import of Russian fertilizers.
The document authorized transactions relating to the exportation and re-exportation of agricultural commodities, banned last month by Washington’s ‘Russian Harmful Foreign Activities Sanctions Regulations’.
The list of agro-related products now exempt from sanctions includes food for humans, live animals, vitamins and minerals, food additives and supplements, seeds for food crops, fertilizers, and reproductive materials.
READ MORE: US ramps up imports of ‘banned’ Russian oil
Exemptions also cover medicine, medical devices, software updates, and replacement parts for medical devices and Covid-19-related medical components. Analysts say the EU may soon mirror the measure.
Ni upumbavu mkuu kuamini mambo haya.Nchi yenye malighafi Kama Russia sahau uchumi kuteremka Kama inauza kwa fedha yake. Mtangoja Sana.
Unaweza kuongeza kwa kumuambia kwamba kuna warussi zaidi ya milioni tatu wanaoishi marekani kwa mashoga(wanavyopaita) ukilinganisha na wamarekani 30,000 wanaoishi Urussi.Umeandika mambo mengi sana ambayo ki.msingi hayana mantiki.
Huwezi ku exist kwenye uchumi wa kidunia wa sasa - na kubakia kuwa Super Power kama ukiwaacha pembeni EU, UK na US ma marafiki zao...
Huwezi hata kama unakunya almasi kila siku.
Mfano mdogo hivi kuna kitu Africa ama hata kwa Duniani kinaitwa msaada toka Urusi ? Mimi najua kuna US Aid ru. Je unajua bajeti yake kwa Africa tu ni bei gani achiliq mbali bajeti ya dunia nzima.
Anayekusaidia ndiye nduguyo...
Haya angalia visa za africa kwenda US Vs Visa kwend urusi ..
Mambo ya kijinga kabisa kusema kuna siku mrusi atakuwa ni mtu muhimu sana kwa Africa yetu ...kasaidia nini ?
Putin anaondoka..warusi wenyewe wanamuondoa atake asitake.its a .useless person.
Nikirudia kukwambia una akili za kitoto unasema nakutukana. Sikutukani ila nakusifia. Rudi tena kajifunze kuelewa kisha uanze kujifunza jambo lenyewe. Maswali unayouliza yanaonesha kabisa hata mifumo ya kifedha huijui namna gani inafanya kazi.Matusi weka pembeni, inaonyesha uwezo wako wa kufikiria.
Nina maswali kwako ambayo yatafungua ubongo wako
Je EU wanadeposit hela kwa Benki ya gazprom katika sarafu gani? Euro/dollars au Rubo
Je Kati ya EU na Benki ya gazprom ni yupi anaechukua jukumu la kugeuza hio sarafu?
Je gazprom iko chini ya mamlaka ya nchi gani?
Ukitafakari utaona Putin ndo amelegeza kamba, kumbuka Mara ya kwanza alitaka EU wanunue rubo moja kwa moja kwa Benki za urussi ndo walipie Nayo mafuta/gesi.
Kile amefanya ni kuruhusu EU kufanya malipo direct na sarafu yao alafu Benki yake iigeuzu kuwa rubo. Benki ya gazprom iko chini ya sheria ya urussi.
wasomi wa maana wa kitanzania waliosoma russia ni type ya akina rip Dr. Shika wako full frustated na walevi hatari cheki wengi waliosoma western countries wana nafuu kubwa cheki akina akina rip mengi, mufuruki wana mchango mzito kijamii na kiuchumi. Sijawahi ona mtu ana dream ya kwenda urusi kuanza maisha ila daily utasikia dream za kwenda most of western countries i.e. US akiwa kinara akifuata canada. wahindi/wapopo ni watu wa kutafuta fursa kinyama but huwezi sikia ana dream ya kwenda russia utasikia ana dream za kwenda us, canada na uk, na nchi zingine za western. Russians wenyewe dream zao kwenda western countries na ndiyo maana maoligarch wanawekeza huko na kuficha mapesa yao maana wanajua russia longolongo tu.Hapa hawawezi kukujibu kamwe,lakini ukiwakuta in real life wako na dreams za kwenda kwa Joe Biden na si kwa Putin kamwe.