We ujue inaitwaje unanunua nini toka Russia?Afu ukitaka kujua kwamba jamaa kakwamna kwenye kopo alIIlitongeneza wenyewe ni hivi eti anayetaka gesi ya urusi anunue kwa hela ya kirusi... hata mie sijui inaitwaje....hii ni panic
Mambo ya kitoto kabisa kwa Taifa ambalo linajinasibu ni kubwa ulimwenguni.
Kukimbia?!duhPro Russia tuliwaambia Mbona Russia hajaiteka Ukraine ndani ya Wiki 3 wakaanza kusema mbona USA hakuiteka Iraq mapema,
Leo ni siku ya 37 na Majeshi ya Russia yanakimbia kutoka Kiev 🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu Yuko kwenye brigade/division ya Azov???View attachment 2173159kamanda wa ukraine aliye uawa leo mariupol
Ila kufungia paka za Urusi kwenye chama cha Paka ni Ukubwa?Afu ukitaka kujua kwamba jamaa kakwamna kwenye kopo alIIlitongeneza wenyewe ni hivi eti anayetaka gesi ya urusi anunue kwa hela ya kirusi... hata mie sijui inaitwaje....hii ni panic
Mambo ya kitoto kabisa kwa Taifa ambalo linajinasibu ni kubwa ulimwenguni.
ndioHuyu Yuko kwenye brigade/division ya Azov???
Hata US walipiga sanctions kila kitu mkuu,ni sasa tu wamezinduka na kuona waliyofanya sio ya busara kama kawaida yao.Ila ni ujinga kum-sanction mtu mwenye vitu strategic unavyo-hitaji,kwa kuwa aki-hit back uta-athirika sana.But that is the stupidity of the West.Kiukweli bila Urusi na Ukraine survival ya the West itakuwa ngumu sana.kwann wao eu wanawek sancktion hadi kweny vitu wanavovihitaj ilihali wanashida navyo?mfano German anahitj ges ila anaipiga saction ingawa itamuarhiri,mbona us wao wanachagua cha kusaction
Kwani wakoloni wa TZ walikuwa ni akina Nani?wasomi wa maana wa kitanzania waliosoma russia ni type ya akina rip Dr. Shika wako full frustated na walevi hatari cheki wengi waliosoma western countries wana nafuu kubwa cheki akina akina rip mengi, mufuruki wana mchango mzito kijamii na kiuchumi. Sijawahi ona mtu ana dream ya kwenda urusi kuanza maisha ila daily utasikia dream za kwenda most of western countries i.e. US akiwa kinara akifuata canada. wahindi/wapopo ni watu wa kutafuta fursa kinyama but huwezi sikia ana dream ya kwenda russia utasikia ana dream za kwenda us, canada na uk, na nchi zingine za western. Russians wenyewe dream zao kwenda western countries na ndiyo maana maoligarch wanawekeza huko na kuficha mapesa yao maana wanajua russia longolongo tu.
We jamaa, mtu anazungumzia habari ya dunia kuamua dhahabu isiwe na thamani we unaona ameongea point hadi unamshukuru !!!!!Asante kwa shule,endeleeni kwenda nao taratibu wataelewa tu mwisho wa siku.
Urusi huwa anatoa misaada ya kijamii huyo hela atoe wapi? warusi wenyewe walio wengi choka mbaya, na washukuru Mungu wana gesi na mafuta bila hiyo urusi isingekuwa hapo ilipo maana zaidi ya 40% ya mauzo ya nje ni mafuta na gesi. kauchumi ka russia kanalingana kwa kiasi fulani ka state kamoja tu ka US yaan TEXAS. urusi kiuchumi kapitwa hata na india, brazil, halaf ndo atoe misaada kama anayotoa UK-DFID, USA USAID? msaada wa maana wa russia kwa afrika ni nafasi za masomo kwa waafika na nafasi zilishapungua na labda kuuza silaha kwa bei ya chini. Angalia hata watoaji wakubwa wa misaada mbalimbali ya kijamii warusi wangapi ni maarufu? but nenda western countires kibao utawakuta akina bill gates, hilton, wengi mno na thats why wanabarikiwa sana na Mungu maana wanatoa sadaka na halafu pesa zao sio magumashi kama za maoligarch wa russia ambapo wengi wao waligawana keki ya taifa la urusi kama akina abromovich na wengine. Nenda kwenye azaki na mashirika ya misaada na hata serikali za afrika mara ngapi huwa wanapeleka proposal za kuomba funding russia? but kwa mfano cheki mawaziri wa fedha na marais wanavyokwenda western countries wanaenda maana wanajua watapata hela. Marais wote wa Tz kuanzia mchonga mwenyewe wanajua kabisa hela za misaada zinapatikana western countries na sio russia na ndiyo maana hata kutibiwa wanaenda kwa mabeberu why wasiende russia, india, china hata jiw alikuwa na ile kitu ya moyo made in germany.Bado point yangu ni moja tu je n pesa ipi toka Urusi inakuka Africa kwa ajili ya misaadq ya kijamii.
Wao wanakwambia bora waingie gharama ilimradi Russia akomeshwe... Zelensky nae akawaambia viongozi hao kua Amani ya Ukraine ni muhim kuliko Gas y Mrusi hivo waisusie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na menyewe yalivo mazuzu yanawaumiza Raia wao hivo hivo...kwann wao eu wanawek sancktion hadi kweny vitu wanavovihitaj ilihali wanashida navyo?mfano German anahitj ges ila anaipiga saction ingawa itamuarhiri,mbona us wao wanachagua cha kusaction
US maskini anaanza kupoteza ushawishi kama utaniGreek railway workers refuse to transport US and NATO armored vehicles from the port of Alexandroupolis to the borders of Ukraine.
This is reported by the information portal of the Communist Party of Greece.
According to the workers, they are being pressured and threatened by TrainOSE management. They answer: "We will not become accomplices in the passage of a military machine through the territory of our country."
A dozen and a half local trade unions have already stood up for the railway workers, and a number of activists began to throw paint on NATO armored vehicles (on video).
View attachment 2172831
Nikirudia kukwambia una akili za kitoto unasema nakutukana. Sikutukani ila nakusifia. Rudi tena kajifunze kuelewa kisha uanze kujifunza jambo lenyewe. Maswali unayouliza yanaonesha kabisa hata mifumo ya kifedha huijui namna gani inafanya kazi.
Kwenye account yako una Ksh 1000... Ukamtumia mtu kwenda Uganda akapata USh3100... Wakati unatuma ulituma Ksh au Ush?
Hyo Ush kaipataje ilhal ulituma saraf yako? Utanijib ilifanyiwa? Exchange... Nikuulize tena hiyo exchange aliyeifanya ni nani na yuko wapi? Waganda wakisema exchange zote za kupata ela yao uzifanyie nchini kwao utaenda na maembe ili ukafanye exchange?
Hiyo ni nukta nyingine ya kuonesa uzuzu wako kwamba hata currency exchange huielewi.
Kisha rudi uko kwa hao watu. Ruble ipo Russia au Europe? Ukitaka kubadil Euro kwenda Ruble utaenda wapi? Na ukiambiwa utumie exchange moja tu iliyo ndani ya Russia utaenda na mawe yako ubadilishe kua Ruble au utaenda na Euro kuibadilisha iwe ruble?
Unaelewa maana ya kufungua account ya fedha flan? Mfano apo ulipo Mobile Account ako ina support aina moja tu ya currency ambayo ni Ksh... nikikutumia Tsh itapokelewa kama ilivo????
Jibu ni hapana, itabidi ibadilishwe, na kwenye kubadiliashwa kuna fee [emoji23][emoji23][emoji23] Kwasababu nyie watoto hamuelewi. Mnabaki kutusumbua kuandika magazeti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Kwa taarifa ako sasa kijana elewa kua Exchange za Russia zitapiga san pesa kwenye kuzconvert hizo Euro kua Ruble, nae huyu unayemwona zuzu alijua hilo ni soko moja tam la exchange akaamua lifanyikie kwenye ardhi yake.
Imagine mwanzo ilikuwa wanalipia mathalan 1000 ambayo ilikuwa deposited directly bila kubadilishwa. Ila sasa itabidi walipie 1000 + Conversion Fee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Waliopevuka akili ndio wanaliona hilo.... Nyie endeleeni hivo hivo na ushabiki wenu wa kingese.
Kwakweli maana anateseka sanaaaJupiter umempa heshima kubwa sana ambayo Hana kwa kweli,
Huyu anaishi "kuzimu".nakuhakikishia.
View attachment 2173159kamanda wa ukraine aliye uawa leo mariupol
nimecheka sana nilipoona wanasema hawatokata supply ya gesi,tangu lini mwenye njaa akawa na ubavu wa kumvimbia aliyeshiba.Jana ndio ilikuwa deadline,
Waulize kama Kuna Nchi imekatiwa gesi
Kapitie masuala yakiuchumi walau kwauchacheVery stupid statement. Sanctions and currency are not directly proportional.