Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani US na Wachumba zake wakiruhusu hili litokee basi nakuhakikishia hawatakaa warejeshe tena USD POUND na EURO zao kama awali
Yaani hio itakua imekula kwao mazima hakuna cha within wala without
VIVA PUT IN
Haueleweki we mjinga....uwe mshabiki kwa hoja. Je ni hoja ipi ambayo itamfanya Putin kuyakaba kooni mataifa ya magharibi na US ukiondoa gesi ?
 
Pro Russia tuliwaambia Mbona Russia hajaiteka Ukraine ndani ya Wiki 3 wakaanza kusema mbona USA hakuiteka Iraq mapema,

Leo ni siku ya 37 na Majeshi ya Russia yanakimbia kutoka Kiev 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama kuna kitu kinawafrustrate pro Putin ni hiki cha special operation kutokueleweka mpaka sasa,inabidi sasa wawe wanaruka na ajenda yoyote inayokuja mbele yao.
 

Kwahio thamani ya sarafu ya rubo ndo kigezo chako kua vikwazo havifanyi kazi. Wewe umewazidi wenzako kwa kua mweupe kichwani.


Vipi kuhusu mambo kama Inflation, GDP growth, CPI, Lending Cap ya Benki, Employment, Purchasing power, Disposable income etc

Hivi unajua kwamba mama samia anaweza kuamka akasema Tsh itakua pegged kwa dhahabu/dollars, kwa hio Tsh itakua na thamani sawa na hizi vitu.
 
The military airfield Mirgorod in the Poltava region was put out of action - the Ministry of Defense of the Russian Federation.

Highlights from the briefing:

▪️Rockets in the areas of Lozova and Pavlograd destroyed armored vehicles and ammunition sent to reinforce Ukrainian troops.

▪️After a high-precision Iskander strike on the defense headquarters in Kharkov on Thursday, the destruction of more than 100 nationalists and mercenaries was confirmed.

▪️LPR units are blocking the village of Borovskoye from the east and south.

▪️During the day, 28 military facilities of Ukraine were hit by aircraft.

Since the beginning of the special operation, the Russian Armed Forces have destroyed 125 Ukrainian aircraft and 1888 tanks.
 
Haueleweki we mjinga....uwe mshabiki kwa hoja. Je ni hoja ipi ambayo itamfanya Putin kuyakaba kooni mataifa ya magharibi na US ukiondoa gesi ?
Nenda nae pole pole atakuelewa, kuna baadhi nawaona washaanza kunielewa wamepungua kukurupuka
 
MKUU wewe hua unataka kuteseka asee
Unawapa vijana nondo zamaana sio vijana watoto ila hua hawelewi nasio kama hawaelewi wanapelekeshwa na mahabba walojichagulia
Hao niwakupuuza
 
Tunademka na Dola vs Rubble. 😀😀
Sijaingia humu jamvini siku 4,nilikuwa nahamu ya kujua nitakuta tuna agenda gani,lol salaaleh,nakutana na hiyo,nikabaki najiuliza ina maana hakuna tena update za tunavyoendelea kuiteka miji Ukraine 🤣🤣
 
Reactions: Tsh
Sijaingia humu jamvini siku 4,nilikuwa nahamu ya kujua nitakuta tuna agenda gani,lol salaaleh,nakutana na hiyo,nikabaki najiuliza ina maana hakuna tena update za tunavyoendelea kuiteka miji Ukraine 🤣🤣
Ilifika hatua humu warusi walijadiliana wenyewe kwa Kirusi kama huelewi ndo basi.
 
Wewe ndio mweupe sababu hata huelewi umejibiwa kipi kwenye swali lako ulilouliza soma vyema uelewe kabla hujaanza vihoja vyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…