Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germans will become poorer because of the events in Ukraine, said German Finance Minister Christian Lindner.

According to him, recent events "will make us all poorer, for example, due to the fact that we have to pay more for energy imports. Even the state will not be able to stop this decline in welfare," Lindner said in an interview with Bild.

By the way, anti-Russian sanctions, and not "events in Ukraine," are forcing the Germans to pay more for energy. For some reason, Lindner did not mention this.
 
Wanajeshi wa super power hao walichobakiza ni kubaka wanawake za watu
Very sad
 
Watapinga ujue
 
Hapa ni ubaya wa vita tunaoona kila upande. Kuua na kushuhudia mauaji kunaathiri utu. Kunaweza kuharibu uungwana wote. Hapa wanajeshi wanasahau walichofundishwa kuhusu kanuni za vita.
Si ushujaa, wanatawaliwa na hofu na chuki. Hivyo tutaona zaidi mauaji kama yale katika mji wa Bucha (ambako Warusi waliua hovyo) au Mariupol (ambako Waukraine labda walitesa "wasaliti" na kuwaua).
Ni kitu kibaya. Alaaniwe yule aliyeanzisha hayo.
 
Jamaa kwakulia lia huyu
Kwan c anaongoza huko field!!???
 
Eti Hitler alivamia Austria na Czechoslovakia...duh...Jamii forums Ina wajuaji wengi...duh...
 
Acha tu halafu anatoka mtu na koment yako putin mwanaume kwa kutuma jeshi kuua raia na kubaka mabint/wanawake?
 
Naelewa sana MKUU nandio maana nikikutana na mtu wanamna hio hua sina time nae nampuuza
Maana mtakua munajaza matusi badala yakubishana kwahoja
Kaa la moto kwenye angle gani!!?
 
Scores of civilians executed by the Russian military.
Russia literally unfolded a killing spree in its occupied territories in Ukraine.


 
Iyo sweden ni mkoa au wilaya ndani ya Ukraine?.maana anayejua idadi ya waliokufa awezi kuwa nnje ya Ukraine
 
Propaganda hizi tokea vita imeanza RUSSIA alikua anapigwa hii halaiki kaifanya muda gani
Majeshi ya RUSSIA wameshiba mafunzo hawawezi kufanya huo unyama
Achaneni na PROPAGANDA
 
Eti Hitler alivamia Austria na Czechoslovakia...duh...Jamii forums Ina wajuaji wengi...duh...
Machi 1938 : Hitler anavamia Austria.
Oktoba 1938: Hitler anavamia maeneo ya Sudeten ya Chekoslovakia (baada ya kulazimisha Chekoslovakia kukubali);
Mei 1939; Hitler anavamia maeneo mengine ya Ucheki - Slovakia inakuwa jamhuri ya pekee;
Septemba 1939: Hitler anashambulia Poland, Vita Kuu ya Pili inaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…