Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Phase two inakuja soon,, kuna askari 6000 wa ukraine Tier one wamezungukwa Mariupol,, so Russia wanarudi ku secure East ukraine yote hivyo kutakuwa na East ukraine pro Russia na west ukraine pro west
Hakuna Cha phase 2 Wala 1 kachapika kaondoka....kwani lengo la Russia kuivamia Ukraine likikuwa nini?
 
Hayo mambo huwezi kuona Kwa media za west!
Kuna Ile pia ya wanajeshi wa Ukraine wanawapiga risasi mateka wa Russia kwenye miguu na kuwaacha watoke damu mpaka kufa!
Huwezi kuona hayo kwenye media za west Wala hayo huwezi kuona wanaita war crimes!
 
Nenda BIIIBIISII sihangaiki na ww
Vilikosa chakula ukiwa na maana gani unapinga nn halaf unakubali nn
Vyakula kuibiwa kwenye sehem yamachafuko nimambo yakawaida sana ingawaje RUSSIA hawakufanya hicho kitendo
Muwe mnaelewa
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Finland wamesema wanamtaka Mrusi, Poland naye kasema yuko tayari kupokea nukes za US, sasa Mrusi afurukute kwa kuzivamia kama alivyoahidi.
Hata wale waliokuwa wanamwogopa walioyaona Ukraine noa wanasubutu kuomba goma mtu mbili.... Russia mikwala tu ooo atakayesaidia Ukraine namshambulia mbona hajaishambulia Finland, ujerumani ,USA maana misaada Yao ya kijeshi walikuwa wanatangaza hadharani na sio Siri...kwani juvenile zimetoka wap ? Kwani Russia hajui mwenye juvenile? au anajizima DATA?.... Mpaka Sasa Dakika 90+RUSSIA 1 || UKRAINE 5[emoji1787][emoji1787]
 
Finland kasema wao sio Ukraine anayeona anaweza lolote awaguse....[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kinachoendelea apo Ukraine, kama zinacharge sawa sawa akilini huezi kaa upande wa Ukraine na West. Hata kama hui'support Russia basi automatically utajikuta unajitenga na upande wa jua linakozama na kuishia kua mtazamaji.

Em ziangalieni hizi tarehe za haya matukio kwa umakini... Hiyo ilikuwa Friday 11th Mwezi March

Kisha View attachment 2176795 Hapa ilikuwa Monday 14th Mwezi huo huo March.

Huyo dada akaja kuonekana akihojiwa namna mchezo wa propG ulivofanyika eneo hilo la Hospital
Your browser is not able to display this video.
Baada ya hii video sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ikaja taarifa mpya tena kutoka kwao kua huyu binti katekwa na Jeshi la Russia View attachment 2176794 Taarifa ikitoka 2 April yan siku 3 zilizopita.

Sasa hapa kwa ufupi... Ni kua
11th March akajifungua

14th March wakadai kafariki

25th March akaonekana akitoa taarifa kua kilichotangazwa kutokea pale hospital Mariupol sio kweli, hakukua na mlipuko wa nje isipokuwa wanajesh wenyewe wa Ukraine walilipua eneo hilo kisha kuanza kum'recorf bila hiari yake.

02nd April Media zile zile zikatangaza ametekwa na jeshi la Urusi.

Unajiuliza marehem ametekwa vipi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu alofariki toka 14th katekwa 2nd April. Na bado kuna wafuasi wao wanaamini kwa nguvu zote [emoji848]
 
Hawa viumbe wa ajab mno, itizame hiyo picha vizuri. Unauona huo mkono?

Iko hivi.
Maiti iliyotelekezwa eneo lake apa na maana ya ile sehem iliyoshikana na ardhi au sehem yoyote na kitu kingine huanza kubadilika kwa kuweka uweusi wa kuelekea kuharibika.

Mfano mdogo angalia sehem nyeusi za mwili wako, utaona ni zile sehem zenye direct contact kwa wingi na shughuli zako za kila siku.

Mfano mwingine ukichukua hata tunda tu ukalitelekeza, sehem itakayoanza kuharibika ni sehem ilogusana na ardhi au kitu chochote cha karibu.

Kwa kuitizama hiyo picha mikononi mwa hiyo maiti inajidhirisha wazi kua maiti hiyo haikuwa hapo bali imehamishwa kutoka eneo moja kupelekwa sehem nyingine.

Ukienda mbali zaidi angalia ribon walizovaa mkononi, sio za blue wala njano. Ni nyeupe which means walikuwa wakiwa'support Russia. Huezi kua Pro Ukraine uweke armband nyeupe.

Ukirejea kwenye ile kauli yao inakupa picha sababu ya hao jamaa kufa. Angalia style waliyofungwa kisha angalia na hii video hapa chini wanajesh wa ukraine wakiwapiga Raia wao wenyewe kisa wana'wasupport Russia FA.
Your browser is not able to display this video.
Mhhh...

Ukitoka apo unakuta jibaba ka mzee flani kashupaza shingo na tukiwaambia wana akili ndogo wanasema tunawatukana.

Nawauliza tena wana tifauti gani na mbwa anaobweka kila kona anakosoteshewa kidole na mmiliki wake bila kujali nani anayenyooshewa kidole.
 
Hawa acha wajikaange mwisho watajila wenyewe UMBWA wakubwa!!!
 
Duh so kaota mapembe, now kaanza kutoa amri kwa viongozi wa mataifa mengine [emoji848][emoji848][emoji848] is this a Democracy au Demon-Cracy?

Apa najaribu kuvaa uhusika wa Victor Orban anavoingia kumtizama anayemchimba mkwara anakuta ni huyu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] Hatari sana
 
Bellator will not cancel championship fights involving Russian fighters.

“The fight of Vadim Nemkov is in force. We are not going to cancel anything," the organization told TASS.

The final of the Bellator Light Heavyweight Grand Prix between Nemkov and American Cory Anderson is scheduled for April 16.
Galip SV
 
Nenda BIIIBIISII sihangaiki na ww
Vilikosa chakula ukiwa na maana gani unapinga nn halaf unakubali nn
Vyakula kuibiwa kwenye sehem yamachafuko nimambo yakawaida sana ingawaje RUSSIA hawakufanya hicho kitendo
Muwe mnaelewa
RUSSIA sio ZIMBABWE
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....naona una mnasa makwenzi ya utosi huyo kunguni wa chooni .analeta ubishi kwa vitu ambavyo viko wazii....BIG 5 MKUU .....[emoji109][emoji109][emoji109]..........Ebu muoneshe video ya jana kuamkia leo .....aone jinsi ....ODESSA ilivotandikwa CRUIIIIZZ MISSILESS ....PUMBA HUYO ...........RUSSIA SIO ZIMBABWE ...
 
Akiona video ya ODESA anaweza akasema BUCHA ile inapelekewa moto
Tuwaache hawa waamini wanachokiamini ila ukweli tutaendelea kuwapa
ODESA licha yakupelekewa moto vyakutosha watasema UKRAINE anashinda
Na jamaa yao kaishakubali maana kasema yupo tayari kuongea na VVP ili kuinusuru UKRAINE nawa UKRAINE
Haka kakenge maji kama kangejaaliwa akili since day one wala yasingelitokea haya yanayotokea sasa asee
Jamaa hamnazo huyu KOMEDI na wanaomshabikia hawaelewi wanashabikia fact ama wanashabikia propaganda
Shida nikwamba now days wakuwadanganya niwachache tuu wengi tunaelewa PROPAGANDA zahawa WEHU wakina BIIBIISII wananchi wengi sana wa AFRIKA wameamka juu ya hili
Ukitaka kuamini hili kapitie Page zao za BIIBIISII uone watu wanavyo waprove wrong hao watetea USHOGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…