Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Nimemuuliza maswali madogo tu ya kiufundi wa picha ... Mwenyewe kajichanganya labda MAITI ILISOGEZWA KIDOGO .... Sasa mtu wa hivyo unamsaidiaje labda!!?? na bado anakaza fuvu ni authentic evidence ....[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo maiti huenda ilisetiwa ndio ikapigwa picha sio... yaani iliandaliwa kwa picha.
Hivi majeshi ya Russia yalishindwa Kiev??!! Ninavyoelewa Mimi baada ya mazungumzo Russia decided to pull back its soldiers and redeploy them to Eastern and southern front...After the Russians had left Ukrainians supported by Western countries came to the vacated areas and declared 'victory'...stupid guys...very stupid guys...but some military strategists would tell you the objective of the Russians was not to capture Kiev....their aim was to lure the bulk of the Ukraine army to Kiev to defend it leaving other areas with few soldiers...Na warusi walipoona strategy imekubali ndipo wakaondoka maeneo ya Kiev na kwenda mashariki na kusini mwa Ukraine ambako karibu wanaanzisha mashambulizi na kuyazunguka majeshi yaliyobaki ya Ukraine...Kaka mapigano hayo umeshashindwa. Siri ya Urusi kushindwa Kyiv ni maandalizi mabaya. Si chakula tu, walishidwa pia kupeleka diseli na risasi mbele. Hapo sababu ya kuacha magari na vifaru ambayo vilikuwa bila hitilafu yoyote. . . .

Eti nyie watu mshawahi kujiuliza kwanini dunian kote ni hizi nchi tu ambazo hazina Rothschild Central bank kwenye ardhi yao ndizo kila siku haziishiwi kelele kutoka Israel na USA kwa ujumla....? View attachment 2176862

Drone moja kabla kudunguliwa ilikua inalamba vifaru kama ishirini hivi, ukizingatia gharama ya kifaru kimoja inazidi drone kwa mbali, hehehe Putin anajutia sana.
Na haya yote Mataifa yenu makubwa yanaona, sasa jiulize kwa nini hayahoji maigizo haya, Utajua kuwa wana personal conflicts.
NATO na members wake wanaonekana wajinga, moja kufwata vitu ambavyo Vinaathiri mpaka wananchi wao, Sasa Ukiona wewe kama baba Nyumbani unaacha familia ilie njaa kisa unataka kufurahisha majirani basi huna tofauti na Nyumbu.
Wewe unambiwa kataa iki, fanga iki, Unashindwa hata kuhoji, Haya acting za maiti hazijaanza leo, Wewe tarifa unapata hujachunguza unaongeza vikwazo, Je Wewe kama sio unachuki binafsi na akili kama mtoto na ujinga uliokithiri tukikuita hivyo utakataa.?
Mpaka Tanzania mafuta yashapanda mara mbili sasa, Wewe unatoka huko unadai Vikwazo vinamchakaza Russia subiri uone, Vikwazo walivyoweka ni nini, Kwao vyakula kila kitu kishapanda bei, shughuli imefika sasa kwa Russia na Ukraine wa bongo.
Zimemshikisha adabu huyo mtume wenu Putin, drones ndio mpango mzima sio ule ujuha wa kupasua matofali kwa kichwa...hehehe
Pro USA watakutukana nakuambia,Hilo Kombora Mrusi Kaunda pekee yake halafu UK, US na Australia wanataka wapige kombinenga kuliunda na sijui kama watafanikiwa wakati la Mrusi tayari limeshawaumbua huko.....Duh Urusi ni Dunia nyingine kabisa...
Chanzo BIIBIIISIIII sio[emoji23]Wnajeshi 39 wa kikosi maalum walioaminika kufa ni wengi sana[emoji848]View attachment 2177030View attachment 2177031
Hayo unaamini? Pole.Hivi majeshi ya Russia yalishindwa Kiev??!! Ninavyoelewa Mimi baada ya mazungumzo Russia decided to pull back its soldiers and redeploy them to Eastern and southern front...After the Russians had left Ukrainians supported by Western countries came to the vacated areas and declared 'victory'...stupid guys...very stupid guys...but some military strategists would tell you the objective of the Russians was not to capture Kiev....their aim was to lure the bulk of the Ukraine army to Kiev to defend it leaving other areas with few soldiers...Na warusi walipoona strategy imekubali ndipo wakaondoka maeneo ya Kiev na kwenda mashariki na kusini mwa Ukraine ambako karibu wanaanzisha mashambulizi na kuyazunguka majeshi yaliyobaki ya Ukraine...
Kikubwa ni mmeshindwa kuteka mji wowote mkubwa kwenye kanchi kadhaifu kijeshi kama Ukraine, na silaha za zamani za west vinawasumbua sana, tena kwenye siraha zenu za sasa, japo mmekazunguka ka ukraine ila mmekashindwaKwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.
Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.
Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.
Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.
Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.
Russia is Very Strong than ever.
Naona umefurahia kusikia habari zetu tunazozipenda kusikiaSafi sana...
Ivi uganda alivyokuwa anapigana na Tanzania alikuwa anapigana na Russia kisa Tz anatumia siraha za urusiKwanza tumepigana na mataifa zaidi ya 5, MAKUBWA (USA,GERMANY, BRITISH, POLAND, FRANCE. Ukiachana na NATO ambayo ina ichi nyingine ndani.
Pili Hizo inchi pamoja na NATO members, Wametupiga vita ya uchumi, Ila bado wameteteleka kama kuku mwenye mdondo, Kila kukicha sanctions na Bado Tunadunda Mpka wengine wameona waondoe vikwazo, walizani tutaomba po mapema, Ila Wamekutana na maji katika Dunia yenye eneo kubwa kuliko nchi kavu.
Mamuzi yao ni ya wogawoga, Oooh kwa sababu ya mauaji yaliyoonekana tunaleta au kuongeza sanctions, Leteni zote ziishe, Wananchi wenu kama watakuja kuwapa kura, Wanalala njaa huko na hali ya kimaisha is ishakuwa ngumu.
Sasa Pamoja na hayo yote, Utagundua Russian ni Bahari, Haipigwi deki kwa kelele zenu na vikwazo vya ushauri wa wake zenu mkiamka tu mnawaza yasiyowazika. Mtu amepigana almost na Dunia maana hayo manchi yenu ni kama Dunia tu, So Dunia imetupa watu mpaka vifaaa, na bado Wamekalia moto wa gesi ulioungusha mpka sufuria. Russia sio mtu wa mchezo mchezo.
Alafu tumerudi nyuma na kuwaachia, mmeanza kuleta propaganda za kuua raia, sasa mlizani kwa majibizano na zile shells Wangepona na mliwapa siraha, Risasi haina jicho.
Russia is Very Strong than ever.
Mpendwa, hakuna sababu kukutukana hata kidogo! Mwenye ndoto aote tu.Pro USA watakutukana nakuambia,
Hawaamini kabisa kuwa Kuna mambo mengi Sana USA hawawezi na wako nyuma ya Urusi.
Wao wanaamini kabisa USA ndio Kila kitu.
Hata hii vita ni kwamba Urusi peke yake inapigana na NATO.
Taarifa muhimu za Kijasusi,mafunzo,silaha na fedha Ukraine anapewa na NATO.
[emoji629][emoji1255]Germany no longer has weapons for Ukraine.
There are hardly any weapons left in the warehouses of the Bundeswehr that can be delivered to Kiev, the head of the German Foreign Ministry said.
Earlier, the German newspaper Die Welt wrote that the German Defense Minister was delaying the process of supplying weapons to Kiev for weeks.
At the same time, it was emphasized that the military department is reconsidering its decisions and intends to strengthen military support for Ukraine.
To promise is not to marry...