Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jibu hoja kwa hoja, kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi shindana kubishana na kichaa kama mabishano ni kutukanana tu
 
ohooo[emoji848][emoji848][emoji848]
 
wawapelekee moto tuuu[emoji35][emoji35][emoji35]
 
yaani uliposema.mpaka Sasa hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO,Basi nikakupuuza!!!!, Haya Mambo yako juu ya uwezo wako ,hizi thread uwe unasoma comment tu za ma great thinker,pengine utajifunza kitu!! Samahani Kama nimekukwaza !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Viwanda vimeshindwa kumsaidia mpaka akaishia kuaibishwa na kainchi kadogo.
 
Hujajibu swali; Ni nani kati ya Beberu Muamerica na Wewe uliopo Kogelo anatakiwa kuaminiwa kuhusu habari za vita vya Ukraine vs Russia ??!!

Drones zimeharibu soko la vifaru vya Mrusi.
 
Una utaalamu gani wa kijeshi au ulisha pigana vita ipi mpaka uweze kuipangia Urusi muda wa kushinda vita?
 
Mkuu siyo propaganda!
Maana ni BBC hiyo kumbuka(natania)
Mkuu mbona kama umepanic mpaka macho yako yameacha kuona vizuri?
Kweli una uhakika hiyo iliyo andikwa hapo ni BBC?
Kuhusu propaganda ndio maana nimesema ya kwamba mpaka vyombo vyao vya habari vimeanza kukili juu ya kupungua kwa nguvu ya $ basi hali ni mbaya.
Tabia ya Marekani kutumia $ kwa misingi ya kisiasa itamgarimu sana nchi nyingi zitaanza kutafuta njia mbadala.
 
Drones zimeharibu soko la vifaru vya Mrusi.


If that's the case, basi soko la vifaru vyote duniani limeharibika, kwani sio mrusi pekee anayeunda vifaru.

Isitoshe kama ni kweli, basi huo utakuwa ndio mwanzo wa new generation of military tanks.
 
Aje na kwa Wananchi huku.
 
Putin akikubali huo ujinga ntamdharau sana. Hiyo mijitu sio ya kuionea huruma.
 
Nikisema: LETE USHAHIDi, kwa kawaida mnaanza kulia na kuuliza "Chanzo gani?"
Basi: Lete ushahidi! Hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO aliye Ukraine!

na usilete mifano ya watu waliojitolea au mamluki. Hao si wanajeshi wa NATO.
mkuu mwambie hivi tufanye ni kweli askari wa NATO wanapigana Ukraine sasa mbona kichaa wao Putin alisema atakayeingilia hii vita cha mtema kuni atakipata . mbona hatukioni hicho cha mtema kuni kwa NATO?
 
Hundreds of demonstrators in German capital took part in a motorcade denouncing discrimination against the Russian-speaking community

Participants decorated their cars with signs saying, ‘Stop hating Russians.’

Subscribe to RT t.me/rtnews
Your browser is not able to display this video.


Inagoma attachment ya video ambayo msururu wa magari huko German wakiwa nanmabango stop hating Russia View attachment 2177406
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…