Nyinyi si ndo huwa mnasema eti Urusi ni taifa fulani na halina msaada ndani ya dunia? Leo imekuwaje tena.Hizo ni nchi zenye mchango mdogo katika dunia, hawana lolote la kupoteza.
Urussi anauza gesi,mafuta, chakula,silaha na pia kuna makampuni mengi ya magharibi yaliowekeza kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza data ni za Uongo hizo... Vidogo vingine vipuuze tu text zitakuwa nyingi...Cheki huyu bogas wakati ndani ya mwezi EU pekee wamelipa β¬35b unakuja na data za kenya au?
Mkuu jibu hoja zangu usikimbie.Kuhusu mawazo ya wananchi wa EU kuhusu Urusi. Hapo chini mjinsi ilivyokuwa mwaka 2020. Utaona kwamba katika nchi karibu zote sifa za Urusi zilipungua tangu ukali wa Putin na hasa mashambulio yake ya kwanza dhidi ya Ukraine. Italia pekee sifa za Urusi ziliongezeka (usaidizi wa Urusi wakati Korona ulipoanza), baada ya uvamizi wa Ukraine hii yote imepotea.
View attachment 2179441
Nchi ndogo nje ya EU ni Serbia penye upendo mwingi kwa Urusi kutokana na historia yake. Italia asilimia kubwa ya heshima ya Urusi ilipotea tangu uvamizi wa sasa, nimekuta bado asilimia 12 (ambao ni wengi nikilinganisha) wanaona uvamizi wa Ukraine ni wa haki.
ProNato wengi hawana uwelewa wowote juu ya masuala ya kimataifa na ndio wanatusumbua humu maana Mambo ya kwenye move anayaleta kwenye uharisia.Ndo tunabishana na watu kama hawa empty head ambaye hajui kama USA ana import oil kutoka Russia asee kazi tunayo ndo madhara unavamia uzi hujui chochote. [emoji706][emoji706][emoji706]
RUSSIA sio ZIMBABWE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ongeza sauti kidogo na wengine wakusikie hasa Vichwa maji wa "International Community"....
Nanukuu Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Biden [emoji19] "I heard Russia is the 11th World Economy in the world, I will make sure at the end of this year they won't be even to the world top 50 big economy..."
IMF [emoji848] "IMF would downgrade its previous forecast for 4.4% global economic growth in 2022 as a result of the war, The impact would be most severe in terms of driving up commodity prices and inflation, potentially leading to hunger and food insecurity in parts of Africa"
Pro US na NATO wa JF [emoji847] "Russia masikini hana lolote, Uchumi wao mbovu"
Points of argument...
1. Kama ana uchumi hoe hae, ilikuaje akawa wa 11 in the world out of more than 200 Countries worldwide [emoji848]
2. Dunia imekua vitan kila leo, Libya, Iraq, Afghanistan na kwingineko... Why kwa Russia uchumi uyumbe dunia nzima... If its really true uchumi wake ni insignificant to the world?
3. If its really true, Russia gotta poor economy, mbona kuna zaidi ya sanctions 6,000 within a month zipo targeted kwenye uchumi ambao unadaiwa ni poor [emoji848]
4. If Russia economy is insignificant, kwanini kuna maandamano ya raia mataifa husika wakilalamika ugum wa maisha kutokana na vikwazo walivoviweka ilhal uko nyuma kwa nchi kama Venezuela, North Korea na Iran hatuyaona?
5. Wachambuzi wa uchumi wa kimataifa wanatabiri anguko la kiuchumi kwq Europe endapo atafanya total isolation ya nishati kutoka Russia. If that's true, inakuaje mataifa yanayodaiwa yako ngangali kiuchumi yayumbishwe na hii nchi inayodawa kua ni hoe hae kiuchumi.
6. Inflation na hali mbovu wanayopitia raia wa nchi nyingi zaidi dunian lawama zake zinaelekezwa Moscow [emoji23][emoji23][emoji23]... Inakuaje lawama zipelekwe kwenye nchi inayodaiwa ni dhaifu with poor economy [emoji847]
Kwa anguko hilo wanalolidai IMF la kiuchumi duniani haitoshi kusema kua uchumi wa Dunia unategemea kwa kiasi chake survival kutoka Russia?
Je hii haithibitishi kama Russia sio ZIMBABWE [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mpaka Kesho bado ananunua japo kaweka vikwazoMarekani alikuwa ananunua mafuta Urusi??!!
Unajua walau kusoma kweli wewe?BREAKING NEWS
Umoja wa Mataifa umeiondolea nchi ya Urusi Uanachama wa Jumuia ya haki za binadamu la Umoja wa Mataifa. Uamuzi huo umefikiwa Baada ya Kura kupigwa ambapo Zaidi ya Mataifa 120 yameunga mkono Urusi kutimuliwa kutokana na mauwaji ya kutosha yaliyofanywa na Wanajeshi wa Urusi Mjini BUCHA.
Rais wa Marekani,Joe Biden amesema haoni umuhimu wa Urusi kuendelea kuwa Mwanachama wa G20. China imepinga vikali maoni ya Biden juu ya Urusi kufukuzwa kwenye Uanachama wa G20
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine ameliomba baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Kuifulusha Urusi kutoka kwenye Jumuia hiyo huku akidai Urusi inatumia Kura yake ya VETO kupinga maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
proπ·πΊπ·πΊπ·πΊ bwana mnachekesha sana ππππ.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ongeza sauti kidogo na wengine wakusikie hasa Vichwa maji wa "International Community"....
Nanukuu Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Biden [emoji19] "I heard Russia is the 11th World Economy in the world, I will make sure at the end of this year they won't be even to the world top 50 big economy..."
IMF [emoji848] "IMF would downgrade its previous forecast for 4.4% global economic growth in 2022 as a result of the war, The impact would be most severe in terms of driving up commodity prices and inflation, potentially leading to hunger and food insecurity in parts of Africa"
Pro US na NATO wa JF [emoji847] "Russia masikini hana lolote, Uchumi wao mbovu"
Points of argument...
1. Kama ana uchumi hoe hae, ilikuaje akawa wa 11 in the world out of more than 200 Countries worldwide [emoji848]
2. Dunia imekua vitan kila leo, Libya, Iraq, Afghanistan na kwingineko... Why kwa Russia uchumi uyumbe dunia nzima... If its really true uchumi wake ni insignificant to the world?
3. If its really true, Russia gotta poor economy, mbona kuna zaidi ya sanctions 6,000 within a month zipo targeted kwenye uchumi ambao unadaiwa ni poor [emoji848]
4. If Russia economy is insignificant, kwanini kuna maandamano ya raia mataifa husika wakilalamika ugum wa maisha kutokana na vikwazo walivoviweka ilhal uko nyuma kwa nchi kama Venezuela, North Korea na Iran hatuyaona?
5. Wachambuzi wa uchumi wa kimataifa wanatabiri anguko la kiuchumi kwq Europe endapo atafanya total isolation ya nishati kutoka Russia. If that's true, inakuaje mataifa yanayodaiwa yako ngangali kiuchumi yayumbishwe na hii nchi inayodawa kua ni hoe hae kiuchumi.
6. Inflation na hali mbovu wanayopitia raia wa nchi nyingi zaidi dunian lawama zake zinaelekezwa Moscow [emoji23][emoji23][emoji23]... Inakuaje lawama zipelekwe kwenye nchi inayodaiwa ni dhaifu with poor economy [emoji847]
Kwa anguko hilo wanalolidai IMF la kiuchumi duniani haitoshi kusema kua uchumi wa Dunia unategemea kwa kiasi chake survival kutoka Russia?
Je hii haithibitishi kama Russia sio ZIMBABWE [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nilijibu ya Bw Champagnee (anayeonekana anapendelea kukaa kimya akiishia matusi... mpaka amejaza akiba yake tena)Mkuu jibu hoja zangu usikimbie.
Hisabati ni changamoto ktk nchi hii... Wapigakura ni 175; hivyo 93 ni asilimia 53. Wasioshiriki ni nje ya hesabu. Hivyo ndivyo jinsi ilivyo kote.Unajua walau kusoma kweli wewe? View attachment 217957993 in Favour
24 Against
58 Abstain From
Hizo 93 countries out of 193 member states ni just 48%... Hizo zako 120 umezitoa wapi [emoji848]...
tofautisha kati ya msaada na mchango Wewe mbululaπ·πΊπ·πΊπ·πΊπ·πΊ kakosa kimoja wapo kati ya hivyo. πππππ.Nyinyi si ndo huwa mnasema eti Urusi ni taifa fulani na halina msaada ndani ya dunia? Leo imekuwaje tena.
π€£π€£π€£π€£π€£Humu kuna mtu ni mtaalam wa vita, ni mchumi wa kimataifa, anajua uuandaji wa silaha, yeye ni mtaalamu wa mafuta na gesi, ni mrusi pia ni mtanzania.
Kuna dawa ilikuwa inaitwaga ngoka11 inatangazwa inatibu homa, mafua, kipindupindu, malaria, hiv, kansa, polio, kupungukiwa na damu, sukari kupanda, sukari kushuka, inaongeza damu na inatibu n.k
πππππ
hao waπ·πΊπ·πΊπ·πΊ uchwara hao hata namba hayajui kukokotoa.Hisabati ni changamoto ktk nchi hii... Wapigakura ni 175; hivyo 93 ni asilimia 53. Wasioshiriki ni nje ya hesabu. Hivyo ndivyo jinsi ilivyo.
tena ni mambeya balaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Umesahu anajua hadi plan za Russia kesho, za NATO pia
ππππ€£π€£π€£π€£π€£
Umesahu anajua hadi plan za Russia kesho, za NATO pia
sawa pole kwa maumivu yanasababishwa na hizo pichaAhsante.
Tumeshaelewa Russia anaangwamizwa. Na Ukraine wanakaribia kuiteka Moscow. Kwa sasa hizo picha zinatosha
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app