Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majeshi ya Russia yameinywa ile S-300 ya Slovakia (NATO) iliyopelekwa Ukraine kumsaidia Zelensky...

Kwa kutumia makombora ya Kalibr, Rushia waliishambulia na kuteketeza S-300 hiyo iliyokuwa imefichwa maeneo ya kusini ya mji wa Dnepropetrovsk, Ukraine.
Shikamoo Putin, ndio maana nakuelewa mnoo...

Ktk mji mwingine uitwao Konashenkov huko Ukraine, majeshi ya Russia yalivurumisha makombora ya Kalibr toka baharini na kuangamiza pisi nne za S-300, huku wanajeshi 25 wa Ukraine wakiswagwa na kufikishwa hadi kwenye ufalme wa Baba wa Mbinguni na makombora hayo....



 
Leta kifungu Mzee ili tukuelewe vizuri.
 
Ngoja wapelekewe moto
 
Mumeo ndio mzalishaji pekee wa ngano duniani?
 
Kuna kichapo chaja

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo Urussi anachoongea na anachokifanya tofauti kabisa, ndio wa Magharibi wanababiki kubunia bunia tu....ila inaonekana huko kuna janga kubwa linakuja hadi Marekani anasema Comedian atoe wanajeshi huko.
 

Habari kama hzi unafanya wa NATO walie kimoyo moyo
 
Tatizo Urussi anachoongea na anachokifanya tofauti kabisa, ndio wa Magharibi wanababiki kubunia bunia tu....ila inaonekana huko kuna janga kubwa linakuja hadi Marekani anasema Comedian atoe wanajeshi huko.
Wanakiri Putin is unpredictable. Notorious b.i.g "never let 'em know your next move... bad boys move in silence and violence"

Hawajiamini. Sema kichapo kinachokuja safari hii sio poa. Huyu jenerali aliyechaguliwa kuongoza operation ya ukraine wenyewe wamagharibi wanamuita the butcher of syria. Mpaka putin kamchagua huyu pengine malengo yake ni kupiga kisawasawa.

Zelensky akubali yaishe. Kama mpaka Pentagon wanampa tahadhari mapema atoe majeshi yake south wameshaona kuwa yajayo hayatamfurahisha

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kwa habari ya silaha ...urusi ndio mwamba hapa kwenye hii sayari yetu ....alafu wanajitutumua kweli kweli ....aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…