Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ndiyo mwisho wa Putin,huwezi survive kwa vile vikwazo na mbaya zaidi ana rafiki mnafiki kupindukia yule mvimba macho Xi jinping,hana msaada kwake
 
Pale unapoona mapungufu ya mwingine na yako ukayaweka kibindoni,katika hii mada sote tuna emotions ukiwemo na wewe hapo.Kuna kama members hawazidi 4 ambao wanasimama kati kati katika huu mjadala na wewe haumo kati ya hao members.
 
Hey hey wale nato pori ndugu yenu anataka dunia nzima ipigane na urusi. Aaah ama kweli urusi Ni taaifa lenye miguvu pamoja na kusaidiwa vifaa vya kivita vikwazo. Bado anataka kusaidiwa na maskini. Aaah urusi salute hapa wanasema ulisema ulisaidia sisi kupata uhuru ninaanza kuamini ulisaidia kweli inawezeka tusinge upata

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pale unapoona mapungufu ya mwingine na yako ukayaweka kibindoni,katika hii mada sote tuna emotions ukiwemo na wewe hapo.Kuna kama members hawazidi 4 ambao wanasimama kati kati katika huu mjadala na wewe haumo kati ya hao members.
Kwenye Emotions tunaangalia lugha inayotumika....Vita vya Russia na Ukraine vinahusisha pia USA, NATO, EU na nchi za magharibi kwa ujumla...
Sasa ukimuona mtu pale mnapojadiliana anataka USA isiguswe kwenye mjadala na anadiriki kusema au kuandika Tena basi bila hata aibu kwamba anayeitaja USA kwenye mjadala eti aanzishe Uzi mwingine kuhusu USA ujue lipo tatizo kubwa kwa mtu wa aina hiyo na neno la staha hapa ni emotions...
 
Wishful thinking
 
Hakuna vikwazo hapo zaidi ya vichekesho.unaniwekea vikwazo kuwa sifanyi biashara na wewe alafu hapo hapo unasema vikwazo havihusiani na gesi na mafuta.

Urusi uchumi wake ni mkubwa sana tofauti kama mnavyoaminishwa na mabeberu.
Muda ni mwalimu mzuri sana.Tutarudi hapa kusemezana tena
 
Hawa jamaa wanataka kutuwekea mtego...hakuna kukubali mimi bora nile bamia na dagaa kila siku zenye furaha kuliko kula wali kuku kila siku wenye masimango
 
Pale unapoona mtu hakubali mapungufu yake pia, staha yake ni kumwacha ajione yeye yuko smart zaidi
 
Bila Shaka huelewi maana ya neno emotions...wauulize watu wa psychology kuhusu maana ya neno hili...au angalia kwenye dictionary...
Sina access na options zote hizo,naomba unieleweshe tu wewe Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…