Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Ushujaa wao Hollywood tu mzee nyuma ya Camera na editing za kutosha... We asikwambie mtu ile mitutu kwenye uhalisia inatisha Mzee...Nasubiri kuona wanajeshi, mercenaries na vigogo wa jeshi kutoka west waliokua trapped kwenye mahandaki mariupol wataokolewaje. Maana hua nasikiaga ushujaa wa wa makomandoo wa SAS toka UK , au ubora wa makomandoo wa US.
Ikiwa kweli Nato ni bora watawaokoa hao watu, maana nahisi ili limewachanganya sana . Wapiganaji 3000 sio mchezo! Wakifa au kukamatwa kwa pamoja lazima ushushe morali ya wapiganaji.
Watu waliambia Russia kwenye vita ni habari nyingine, wakabisha... Hakuna mtu alisumbua kama Hitler. Alipigwa mpaka Germany iligawanyika. Sasa hawa akina poland, france wataweza kweli? Au ndio kumtoa sadaka Ukraine??
bibingi kwa upande wangu hii vita haiitaji akili kubwa kuifanyia analysis. nahitaji matokeo tu ambayo ni Urusi kutimiza malengo yake au Ukraine kumzuia Urusi. Hizi bla bla za hapa katikati ni kwa ajili ya kufurahisha genge tu esp ninapohitaji kupumzisha akili sababu ya aina ya kazi ninazofanya.
Possible lakini Russia sicho anachotaka.....Mmhh ....bwana mkubwa em rudia kufikir upya hivi russia akidondosha mizigo mitano ya maana hapo kama vile ISKANDER M ....bado patabakia hivo ivo ....eti mkuu
Bwana bwana!!![emoji120][emoji120]....asante mkuu ...ebu mpange ila sijui kama atataka kukuelewa ...
[emoji635] sio [emoji1269]Pentagon yalalamika kuwa Russia inajam mfumo wa GPS wa Marekani unaotumiwa na Ukraine. Pia Pentagon yahofia kuwa Russia inaweza kushambulia Setilaiti za GPS za MarekaniView attachment 2184641
Shikamoo putinRussia imepeleka zana nzito za kijeshi ikiwemo mifumo ya kunyesheleza makombora mpakani na Finland baada ya kuionya Finland kutojiunga na NATO
View attachment 2184922View attachment 2184924