Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Wacha pia nimmute, copy and paste kila sekunde.Yule wa hot news mwanzoni nilivumilia lakini mwisho nilichoka unakuta mtu anapost comment 50 non stop,unaanza kuhangaika kutafuta comments za watu,ikabidi nimute comment zake.
mshirika wenu israel kashafanya yake huko middle east 😂Kwahio mlitaka tuwaamini ninyi kuliko RUSSIA yenyewe...!!
Hapo Marekani ilikuwa imebakiza mainland Japan. Visiwa vyote kina Okinawa ushamaliza, Leytte gulf ambayo ni largest naval battle in history washashinda, Midway walishinda, Iwo Jima walishinda yani hakuna battle yoyote Japan aliishinda Marekani. Battleships zote za Japan zilizamishwa na sasa Japan alibaki na kupigania nyumbani makoloni yote kuanzia Philippines na Vietnam yashamshinda. Marekani ilikuwa inatuma B-17 Flying Fortless kudondosha mabomu ndani ya Japan, ilikuwa ishateka visiwa vya Japan vya karibu na kuweka airstrips na kambi.Kama Marekani alivyo kata pumzi kwa Japan aka kimbilia kutumia akatumia nyukilia kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.
Ukweli ni kwamba, before the war began, Rubles ulikuwa 79 to $,lakini ilishuka mpaka 139 to $, Putin alipotangaza kuuza gas na mafuta kwa Rubles, Rubles ilianza kupanda haraka Sana,na sasa inakaribia ilipokuwa mwanzo. Luckily,nilikuwa nafanya screen shot,angalia tarehe, mpaka sasa,huu hapa ushahidi 👇In April 7th ruble appreciated to record high of 79 to dollar. Today It has depreciated to 82 to the dollar. It is starting to lose value.
Unaijua Iraq au waisikia? Nenda googlePamoja na udhibiti wao wa vyombo vya habari,lakini bado madhara ya matendo yao yalitisha. Ukumbuke tunayoyajua kuhusu vita hiyo ni machache ila yanatisha. Fikiria kama kila kitu kingetangazwa!? Jiulize kwanini waliahambulia vituo vya TV?
Na usisahau kwamba, Marekani na washirika wake wakisaidiana ndipo waliishinda Iraq. Mataifa ya magharibi walikimbilia angani kwakujua Iraq hakuwa na mifumo imara ya ulinzi anga.
Huku ardhini waliyaachia majeshi toka nchi za kiarabu na Iran.wao walifuata baada ya njia kuwa safi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Huko hague utamu waisha wewe .....afu kwa upande wa millitary russia usim compare na wale wajinga wa ukraine asa hicho kimeli kimoja ndo unapiga nazo kelele humu .....huoni kiev inawaka moto huko ......Ukraine inapiga military targets , dhaifu mrusi anapiga makazi ya raia. Putin ni war criminal bila shaka ,huyu lazima atawaishwa ,The Hague sooner or later.
Yule wa hot news mwanzoni nilivumilia lakini mwisho nilichoka unakuta mtu anapost comment 50 non stop,unaanza kuhangaika kutafuta comments za watu,ikabidi nimute comment zake.
Kenge zilikuwa zimekufa sasa zimefufuka kutoka kusikojulikana ..... War ship imezama damage kama hizo ni kawaida kwa batle ground
While they have Patrice Lumumba University, in the remembrance of the great Congolese anti-capitalism leader killed by racist, exploitative, manipulative side.
Hahahahaaa
Wacha pia nimmute, copy and paste kila sekunde.
Sina hitajio hilo.Unaijua Iraq au waisikia? Nenda google
Mwamba kaniaibisha Sana tunitia kwenye kundi la vikaragosiWengi wamekata tamaa, walidanganywa kuhusu Russia. Wengine ni watoto kiakili movies za akina Tom Cruise zinawadanganya. I'm pretty sure kuna kitu wanaelewa... ni wa KUWAPUUZA TU.
Ndonga ndo niniRussia nawafaninisha na Mandonga [emoji2][emoji2]
Ukweli ni kwamba, before the war began, Rubles ulikuwa 79 to $,lakini ilishuka mpaka 139 to $, Putin alipotangaza kuuza gas na mafuta kwa Rubles, Rubles ilianza kupanda haraka Sana,na sasa inakaribia ilipokuwa mwanzo. Luckily,nilikuwa nafanya screen shot,angalia tarehe, mpaka sasa,huu hapa ushahidi 👇
View attachment 2188147View attachment 2188145View attachment 2188155View attachment 2188156View attachment 2188143View attachment 2188144
Na sasa hivi umefika 81 to $
Ila wewe jamaa I'm not sure kama una IQ hata inafika Average... Yaani Meli iko active miaka zaidi ya 20, imepigana vita nyingi na kazi kingine nyingi, ije ipate hitilafu kwenye vita ya Mwezi mmoja na wiki kadhaa Hadi izame?...Wanasema hazifanyiwi service [emoji28][emoji28]. Ila pro NATO mmezidi sana kwa propaganda [emoji119][emoji119]
Hizi sasa ndio habari njema tunazopenda kuzisikiThe number and scale of missile strikes against targets in Kyiv will increase in response to Kiev forces committing sabotage on Russian territory.
This is reported by the Ministry of Defense of the Russian Federation.
The workshops for the production and repair of air defense systems and anti-ship missiles of the Zhulyansky machine-building plant were also destroyed.
Ile ya Marekani waliyoisifu kuwa na radar yenye uwezo wa kuona hata sindano chini ya maji,ila ilishindwa kuona meli ya mafuta hadi kugongana nayo ilikuwa mbovu?Ila wewe jamaa I'm not sure kama una IQ hata inafika Average... Yaani Meli iko active miaka zaidi ya 20, imepigana vita nyingi na kazi kingine nyingi, ije ipate hitilafu kwenye vita ya Mwezi mmoja na wiki kadhaa Hadi izame?...
Hivi unadhani kuzama Meli ni kitu kidogo?