Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mfano,Kulikuwa na haja gani ya kupeleka ule msafara wa magari about 40 km kuelekea Kiev?
Kama mojawapo ya malengo ya hii vita ni demilitarization, na denazification kwanini Urusi asingetumia njia nyingine ambazo ni more effective kama drones, helikopta,na cruise missile,badala ya kutumia Tank nyingi,na magari ambayo kwa kiasi kikubwa ni easy target.
Lakini mkuu hata Urusi si ameshateka baadhi ya maeneo ya Ukraine?Hapo Marekani ilikuwa imebakiza mainland Japan. Visiwa vyote kina Okinawa ushamaliza, Leytte gulf ambayo ni largest naval battle in history washashinda, Midway walishinda, Iwo Jima walishinda yani hakuna battle yoyote Japan aliishinda Marekani. Battleships zote za Japan zilizamishwa na sasa Japan alibaki na kupigania nyumbani makoloni yote kuanzia Philippines na Vietnam yashamshinda. Marekani ilikuwa inatuma B-17 Flying Fortless kudondosha mabomu ndani ya Japan, ilikuwa ishateka visiwa vya Japan vya karibu na kuweka airstrips na kambi.
Hapo Marekani alikataje pumzi?
Yule wa hot news mwanzoni nilivumilia lakini mwisho nilichoka unakuta mtu anapost comment 50 non stop,unaanza kuhangaika kutafuta comments za watu,ikabidi nimute comment zake.
Ila wewe jamaa I'm not sure kama una IQ hata inafika Average... Yaani Meli iko active miaka zaidi ya 20, imepigana vita nyingi na kazi kingine nyingi, ije ipate hitilafu kwenye vita ya Mwezi mmoja na wiki kadhaa Hadi izame?...
Hivi unadhani kuzama Meli ni kitu kidogo?
Safari hii West watajinyea[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2188176
Hizi sasa ndio habari njema tunazopenda kuzisiki
Kwahiyo kwa Akili zako ulijua mpaka Sasa Ujeruman analipia Gas na Mafuta ya Russia kwa Rubble? Mpaka Sasa Nchi ya Serbia,Hungary ndio zimekubali kulipa kwa Ruble kwasababu nchi zao zinachukua Gas ndogo Sana na hivyo malipo yao sio makubwa Sana. Ujeruman peke yake TU analipa $ 17B kwa mwezi kwaajili ya Gas ya Urusi,hicho Ni kiwango kikubwa Sana Cha pesa ambacho kwa Mzunguko wa Ruble malipo hayawezekani mpaka pale Ruble itakapokuwa na Mzunguko Mkubwa na kuwa sehemu ya RESERVE CURRENCY ya Mataifa ya Ulaya.Kama hii habari inaukweli PUT IN nawanaomshauri watakua WAPUUZI kweli kweli
Hawana misimamo inayoeleweka PUMBAVU zao
Cjui hata nahao wengne kama wanatoa hio RUBO[emoji48][emoji48][emoji48]
kilichoipandsha ruble ni capital control measuresUkweli ni kwamba, before the war began, Rubles ulikuwa 79 to $,lakini ilishuka mpaka 139 to $, Putin alipotangaza kuuza gas na mafuta kwa Rubles, Rubles ilianza kupanda haraka Sana,na sasa inakaribia ilipokuwa mwanzo. Luckily,nilikuwa nafanya screen shot,angalia tarehe, mpaka sasa,huu hapa ushahidi 👇
Na sasa hivi umefika 81 to $
Ilizama?Ile ya Marekani waliyoisifu kuwa na radar yenye uwezo wa kuona hata sindano chini ya maji,ila ilishindwa kuona meli ya mafuta hadi kugongana nayo ilikuwa mbovu?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Unajua Kingereza hata cha kuombea maji?Ndaji ya wiki mbili hizi.
1.US kishafanya kikao na waziri mkuu wa india.
2.Kishafanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje.
3.Juzi wamemualika India katika kikao cha G7.
4.Leo wametangaza waziri Boris atakuwa na dhiara India week ijayo.
Hii yote kumzuia India hasi ongeze kuagiza mafuta kutoka Russia, kwani India sasa hivi ana mpango wa kuongeza uagizaji wa mafuta kutoka Russia baada ya kupewa ofa ya 35$ kwa pipa na Russia. US ana hangaika pamoja na wenzake.India naye kisha sema hato chagua upande wowote bali anataka mgogoro utatulike kwa njia ya amani.
Ndaji ya wiki mbili hizi.
1.US kishafanya kikao na waziri mkuu wa india.
2.Kishafanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje.
3.Juzi wamemualika India katika kikao cha G7.
4.Leo wametangaza waziri Boris atakuwa na dhiara India week ijayo.
Hii yote kumzuia India hasi ongeze kuagiza mafuta kutoka Russia, kwani India sasa hivi ana mpango wa kuongeza uagizaji wa mafuta kutoka Russia baada ya kupewa ofa ya 35$ kwa pipa na Russia. US ana hangaika pamoja na wenzake.India naye kisha sema hato chagua upande wowote bali anataka mgogoro utatulike kwa njia ya amani.
Kwahiyo hayo Russia hakuyajua hadi wewe mchumi wa Mwanerumango ukayajua!!!!Kwahiyo kwa Akili zako ulijua mpaka Sasa Ujeruman analipia Gas na Mafuta ya Russia kwa Rubble? Mpaka Sasa Nchi ya Serbia,Hungary ndio zimekubali kulipa kwa Ruble kwasababu nchi zao zinachukua Gas ndogo Sana na hivyo malipo yao sio makubwa Sana. Ujeruman peke yake TU analipa $ 17B kwa mwezi kwaajili ya Gas ya Urusi,hicho Ni kiwango kikubwa Sana Cha pesa ambacho kwa Mzunguko wa Ruble malipo hayawezekani mpaka pale Ruble itakapokuwa na Mzunguko Mkubwa na kuwa sehemu ya RESERVE CURRENCY ya Mataifa ya Ulaya.
Najua cha kununulia whisky na bia.Unajua Kingereza hata cha kuombea maji?
Teh teh ulikuwa kumbe umetupa kufuri,usifanye hivyo Mkuu bwana [emoji3][emoji3]teh teh mbona nakuona. halafu leo nataka niwafungulie wote kwa heshima ya ijumaa kuu. nataka kumuona nyamizi.
Nini maana ya "free trade talks" ?Najua cha kununulia whisky na bia.
Ila mkuu kuna uzi mmoja umenitoka kichwani tulibishana sana kuhusu hizi meli.Wanafanya re-allocation ya bajeti kwenye mambo mengine na bajeti yenyewe sio kubwa sana. Kufanya maintenance ya meli kubwa ni gharama hata Marekani last month iliona iachane na baadhi ya Litoral Combat Ships ambazo zipo jumla 35 ifanye mambo mengine. Urusi wana tabia ya kuchukulia vitu juu juu ndio maana nuclear submarine kubwa kuwahi kupata ajari ni Kursk ilizama 2001, nuclear disaster ilitokea Soviet Union, miajali ya ovyo jeshini ni wao utasikia ammunition depot imeungua. Marekani ikitokea depot imeharibika kwa uzembe kuna kesi nyingi zinafunguliwa tofauti na Russia ambao wanalindana na hawana accountability nzuri.
Russia waliiuzia India aircraft carrier ya Vikramaditya wako wanateseka nayo. Kwanza wakati inatolewa Russia kwenda kuuzwa iliharibika boirels kabla hata Wahindi hawajaipokea. Baadae boirels zote nane zikaundwa mpya ila nazo mateso. Wakati waliojenga Sevmash ni shipyard kubwa ya ujenzi wa meli za kivita Urusi.
Sasa hao uliowaamini mbona wanakuangusha sasaKwahio mlitaka tuwaamini ninyi kuliko RUSSIA yenyewe...!!
Hv kwanini rubo imepanda thamani licha ya VIKWAZO !!!??Kwahiyo kwa Akili zako ulijua mpaka Sasa Ujeruman analipia Gas na Mafuta ya Russia kwa Rubble? Mpaka Sasa Nchi ya Serbia,Hungary ndio zimekubali kulipa kwa Ruble kwasababu nchi zao zinachukua Gas ndogo Sana na hivyo malipo yao sio makubwa Sana. Ujeruman peke yake TU analipa $ 17B kwa mwezi kwaajili ya Gas ya Urusi,hicho Ni kiwango kikubwa Sana Cha pesa ambacho kwa Mzunguko wa Ruble malipo hayawezekani mpaka pale Ruble itakapokuwa na Mzunguko Mkubwa na kuwa sehemu ya RESERVE CURRENCY ya Mataifa ya Ulaya.