Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ameshindwa kupigana kijeshi sasa amebaki anaua raia kiholela.
Putin is a war criminal.
 
Ni kweli mkuu yaani hata mateka wanajisalimisha wanapewa chakula, malazi na matibabu, lengo la Putin ni kuonyesha yeye Siyo adui Bali ni ndugu Ila wanagimbanishwa na kuambiwa maneno ya uwango,

Ndiyo maana nchi za ulaya zimeanza kushtuka kuwa wanamwaga damu Kwa faida ya MTU mwingine, naona kuna baadhi ya nchi zinasema hazitapeleka silaha Ukraine na zingine bado zinajifikiria

Hasa tukio la kushambulia kituo cha treni na Leo katibu mkuu wa UN kasema Ukraine inawabagua watu weusi, ikiwa na maana Ukraine haheshinu haki za binadamu, hii inaleta hisia huwenda matukio mengi ya Ukraine yanafanywa na Ukraine yenyewe halafu wanamsingizia urusi
 
Sawa tutarudiii
 
Umefafanua katika lugha rahisi sana kwa kila mtu kuelewa,inaonekana wewe International Finance imekaa mahali pake Mkuu
 
Embu ficha ujinga basi mzee wewe ni muha au??
 
Wewe umeongea Kwa hisia zako, mrusi kasema wachukue hizo Dola wanende kwenye benki za urusi, halafu hizo bank zitazibadikisha hiyo pesa na kuwa rubles Kwa hawahitajiki kuwa na pesa ya urusi mkononi
 
Kabisa mkuu. Najua una mapenzi na Urusi, Naona mmepata janga la meli. Leo mapumziko nafuatilia OP kwa ukaribu. [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro nato mna matatizo kwa hiyo umefurahia hiyo meli moja kuzama...ila MELI imeacha LEGACY

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

.

.....yaani jana na leo kulikuwa na kelele kama zote kwa sababu ya hako kameli kamoja ....
 

Kati ya yeye anayesema hitilafu na wewe unayesema imezama ilhali haijazama nani anapaswa achunguzwe IQ yake Mr Omary?...

Nakunukuu... Hivi unadhani kuzama Meli ni kitu kidogo?????... Sasa kama unajua sio kitu kidogo, kulikoni mzee kuomba demand ya IQ y mwenzio ilhali yako inatia wasi wasi.
 
Kwa nini usifungue uzi maalum kwa ajili ya Ushoga? Wewe kila ukijigusa ni ushoga tu!
Uliwahi kuombwa na shoga au kwenu kuna shoga anayekukera sana ndio unakuja kutolea povu na hasira zako hapa jukwaani?

Ukiona unaumia jua na wewe ni mmoja wao. Mna haki sahv usijifiche tangaza busn.
 
Kwa nini usifungue uzi maalum kwa ajili ya Ushoga? Wewe kila ukijigusa ni ushoga tu!
Uliwahi kuombwa na shoga au kwenu kuna shoga anayekukera sana ndio unakuja kutolea povu na hasira zako hapa jukwaani?
Huyu kuna kitu katika maisha yake binafsi au familia yake hakipo sawa na pengine ana muathirika wa karibu sana wa hiyo tabia,matokeo yake ndiyo haya ya kila mahari kuongelea hilo swala.Asipojitambua na kupata msaada wa kisaikolojia atazidi kuharibikiwa zaidi.
 
From this morning's Russian MOD briefing:

- The Illich Steel and Iron Works in Mariupol are under full Russian control (i.e. the northern pocket in Mariupol has been fully liquidated)

- A Ukrainian Su-27 has been shot down in Kharkov oblast

- On the Izyum front in Kharkov oblast, a detachment of up to 30 mercenaries from a Polish PMC was liquidated

- One of the Ukrainian Mi-8 helicopters that attacked civilians in Bryansk oblast was shot down by an S-400 in Chernigov oblast

- The number and scale of missile attacks on facilities in Kiev will increase in response to Kiev forces committing sabotage on Russian territory

- As a result of the strike on the Zhulyansk Machine-Building Plant "Vizar" the production and repair shops of SAMs and anti-ship missiles were destroyed
 

Kiukweli mataifa mengi hayaungi mkono anachofanya US kuchochea vita sema UN ndo haina sauti kwa bossy wao.
 
[emoji23][emoji23]...umemwita MR unakoseaaa ...hivi hujui kuwa shule zimefungwa sasa hana la kufanya ...ndo una muona humu huyo ni mwanafunzi anasahau alichokisema mwanzoni ...
 
Eti lengo ni kuonesha yeye siyo adui .....yaani unavamia nchi ya mwingine unaua hadi watoto halafu wanaojisalimisha unawapatia uji na kamkate unasema yeye July mwema duuuuh hatar ....hiv hii ni akili ya mtz kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…