India wanajua kwa mageuzi yaliyofanywa na bunge la Pakistani huenda ugomvi hauko mbali.Safari hii West watajinyea[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2188176
sasa kama hana hoja aandike nn? dalili za mtu alieishiwa hoja ni ukali matusi na kuhamisha madaKwa nini unalazimishia ushoga kwenye uzi wa vita?!
Are you right upstairs?
Unajua boss si suala la kufurahia au kuumia maana vita si vya Tanzania na Urusi. Ni suala la kutaka nchi zenye nguvu kivita zisiwe bully kwa nchi zenye nguvu ndogo kivita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro nato mna matatizo kwa hiyo umefurahia hiyo meli moja kuzama...ila MELI imeacha LEGACY
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
View attachment 2188224.
.....yaani jana na leo kulikuwa na kelele kama zote kwa sababu ya hako kameli kamoja ....
Sio kuteka tu bali na kumwaga mabomu nchi nzima. Wamepigwa mpaka lviv karibu na NATO. tatizo uchambuzi uko biased sana.Lakini mkuu hata Urusi si ameshateka baadhi ya maeneo ya Ukraine?
sasa kama hana hoja aandike nn? dalili za mtu alieishiwa hoja ni ukali matusi na kuhamisha mada
Sawa fundi mkuu kutoka pentagoni ulietengeneza hizo meli us ......Meli za Marekani zipo well equipped and guided, sio rahisi kuzizamisha kama hizo za Russia.
Pro NATO mbn mna dhihaka sana. Unamzarau mtu usiyemjua. Pengine ukute huyo mtu kakuzidi kila kitu kielimu sio tu kiingereza.Unajua Kingereza hata cha kuombea maji?
Ni proRussia yupi ambaye hataki kukubali kwamba hiyo meli kweli imezama!? Mtaje tumcheke na usipomtaja tutakucheka wewe. Muongo!!!Pro Russia hawataki kukubali Meli kubwa ya Jeshi la Russia kwenye Bahari Nyeusi imezama,
US ni mnafiki tena mnafiki kupindukia, hajui fair play katika ushindani, bado ana hila na mbinu za kizamani kwenye ushindani wa kiuchumi na kimadaraka. Anampiga vita kila mshindani wake kwa jina la "Democracy" ilhali anachokifanya hakiendani na kile anachokitoa kwenye kauli.Ndaji ya wiki mbili hizi.
1.US kishafanya kikao na waziri mkuu wa india.
2.Kishafanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje.
3.Juzi wamemualika India katika kikao cha G7.
4.Leo wametangaza waziri Boris atakuwa na dhiara India week ijayo.
Hii yote kumzuia India hasi ongeze kuagiza mafuta kutoka Russia, kwani India sasa hivi ana mpango wa kuongeza uagizaji wa mafuta kutoka Russia baada ya kupewa ofa ya 35$ kwa pipa na Russia. US ana hangaika pamoja na wenzake.India naye kisha sema hato chagua upande wowote bali anataka mgogoro utatulike kwa njia ya amani na kumbuka kiidadi India wapo 1.4 bil na China nae ana mpango kama wa India nao wapo 1.4bil.
Umeangalia video au unapayuka tu hapa?Embu ficha ujinga basi mzee wewe ni muha au??
hahahaKwa nini US ndio boss wa UN na sio Russia au China?
Hapo ni Ukraine plus NATO!Unajua boss si suala la kufurahia au kuumia maana vita si vya Tanzania na Urusi. Ni suala la kutaka nchi zenye nguvu kivita zisiwe bully kwa nchi zenye nguvu ndogo kivita.
Halafu Urusi kuishinda Ukraine si habari, ila Ukraine kumsumbua Urusi ni habari maana Ukraine ni dhaifu mbele ya Urusi.
Ukiona unakereka humu rudi hukuUyo jamaa wa hot news uwa ana nikera sana ngoja na mimi ni mute.
Kamwacha Russia ahangaike na Dunia,ni wakati wake yeye kupumuanaona IRAN amepoa sana yuko busy kufufua mkataba wa nuclear aendelee na maisha
Kwa nini US ndio boss wa UN na sio Russia au China?
Na hiki ndio alikisema yule kiongozi wa India sikumbuki cheo chake kwamba India ananunua kutoka urusi mafuta kwa mwezi ambayo wazungu wanayanunua mchana tu. Meaning India sio mnunuaji sana wa mafuta kutoka Urusi.unafaham kuwa pamoja na hype kubwa kuhusu india kuendlea kununua mafuta toka urusi but si kwamba inaagiza mafuta mengi san toka urusi
mfano mwaka 2021 uagizaj wa mafuta india ulikua
1. Iraq—867,500 BPD (barrels per day)
2. United States—-545,300 BPD—14% of India’s overall imports in FEB 2021
3. Nigeria —-472,300 BPD
4. Saudi Arabia—-445,200 BPD—Saudi Arabia, which has consistently been one of India’s top two suppliers, slipped to No. 4 for the first time since at least January 2006.
nchi inatekwa na jeshi la ardhini mkuu,Wadau kuna kitu najiuliza mpaka sasa labda mtanisaidia majibu.
Inasemekana kwamba URUSI ina ndege za kisasa za kivita, kwanini asingeipiga UKRAINE kwa anga muda mfupi yeye akachagua kwenda kwenye vita na vifaru, magari na wanajeshi wa Ardhini?
Matokeo yake amepoteza idadi kubwa ya Mwanajeshi, vifaru, magari?
hataki kuharibu mazungumzoKamwacha Russia ahangaike na Dunia,ni wakati wake yeye kupumua