Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo hiyo air defense system ya UKRAINE haiwezi kushambuliwa na makombora kutoka kwenye meli au ardhini?
ukraine washashift toka kwe heavy systems ambazo hazihamshiki na zinalengwa kirahisi, sasa hivi wanatumia light mobile systems ambazo ni ndogo watu wachache wanawza kubeba na kuchange location mara kwa mara na ngumu kuztrack kwakuwa ni nyingi na zinahamahama mda wote
 
Hapana sio kwamba nabishana, Taarifa iliyotolewa na wao niliyoisoma inasema "Moskva flagship Cruiser sinks while Being Towed to Port ..."

Ilizama akati inavutwa sio kwamba imzama baada ya kupigwa.

Mfano itokee ajali gari liwake, lije tow lianze kuivuta, njiani wakati linavutwa lidondoke... Hii kauli ya kusema kua Gari limewaka lkapinduka kwako ni sahihi?
 
Unaonaje ukileta ushahidi kama nilioleta kuliko kubisha kwa maneno matupu.

Russian flagship sinks – military​

The Russian missile cruiser Moskva, the flagship of the Black Sea Fleet, sank while being towed into port amid poor sea conditions, the Defense Ministry, in Moscow, said on Thursday. According to the Russian military,
 

Pro NATO muwe mnajitahid kuleta uchambuzi kama huu yani unausoma unaelewa.
 
Pamoja Mkuu nimekupata.

Uwe na mchana Mwema brother[emoji120]
 
Eiwaa sasa unaona namna kunavokuwa na Twisting of information? Taarifa inakuwa ni moja ila inatolewa kimapokeo ya utofauti kulingana na walengwa.

Hiyo apo imetolewa na MSNBC, waona hadi namna wanavyo-glorify kua ni ushindi kwa Ukraine, ila taarifa iliyotolewa na upande wa pili wameeleza hivo ka nilivokwambia [emoji1787]
 
Nmetoka kucheck Habari now Urusi imekana kilichoiripua sio Ukraine ni vilipuzi vilivyokuwa ndani yake na wala haijazama kama wanavyodai source tbc adhuhuri
 
Huu uZi unAhAribiwa na watu wanaopenda mabishano sio kupashana hAbari. Hii ndiyo tabia ya watanzania wa hiki kizazi. Ukifuatilia hata mleta uzi kApotea alipoona ujinga.
Umeweka hapa hoja nzito Sana...Lengo la kupeana habari limepotea....ni mwendo wa kubishana na matusi kwa kwenda mbele...Ndiyo hulka yetu Watanzania na hasa wale wa kizazi kipya...ujuaji mwingi na ujanja lmwingi akini substance sifuri...
 
Amid poor condition πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nimekuelewa MKUU
 
Ni technolojia gani Urusi ananunua kutoka India!? Tena yenye mkonk wa marekani

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…