Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao NATO ni kama hawataki vita iishe!
 
Reactions: Tsh
Phase 2 heavy bomber zitatumika kuwazikia Askari wa Ukraine kwenye mapango.. [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]
 
Endelea kujidanganya!Kama Russia ni level ya Iraq,mbona Marekani inahofia kuingia kwenye mgogoro wa Kivita dhidi yake?
Wewe una akili kuliko hao intelligence unit ya US na NATO?
 
[emoji32][emoji32].Mkuu yale kule mwisho wa mabehewa ni mabomuuu au nini kile yamekaa kama mapipa .....
Da aisee hata Mimi najiuliza hizo dumu kubwa ni za Nini?
Tuombe Mungu,huko mbele titasikia makubwa na ya kutishia.
Maana Urusi kwa siku ya Jana kaionya USA iache kupeleka silaha Ukraine,kufanya hivyo ni kumwaga mafuta kwenye moto.
 
1. Demilitalization inafanyikaje bila uvamizi ambao ndio wamefanya. Na inafanyikaje bila incapacitation of Ukrainian forces ambayo ndio unakataa eti hawana mpango wa kuiteka Ukraine. Bila kuiteka utadhibiti vipi jeshi lao na kuzuia counter offensive zao. Lazima uteke nchi majeshi yao yasisumbue ndio uwaambie cha kufanya na wafuate. Russia mpaka sasa siku 50 hana territorial gains za maana za kuonyesha.

2. Denazification ya Ukraine ni upuuzi. Wapi duniani uliona mashabiki wa Nazi wanavamiwa na jeshi la nchi nyingine. Tukitafuta Nazis Russia yenyewe tunawakuta. Nchi nyingine dunia hii zina Nazi sympathizers hata hiyo Israel yenyewe, dunia nzima haiwezi pigana kisa watu wachache mamia.

3. Helping Russian speakers in Donbass kivipi na Russia imevamia kutokea Belarus mpakani Kaskazini na kutokea Kusini miji ya Mariupol, wakati Russia speaking territories zipo Mashariki. Na isitoshe zipo under independent authorities zinazoshirikiana na Russia. Hapo si wangepeleka majeshi Donbass wakamaliza tena hapo wasingepata upinzani kutoka Ukraine.

Vipi ikifanyika 'helping Chechen speakers in Russian Federation'

4. Waizuie Ukraine kujiunga NATO wakati mkataba wao 1991 ulikuwa Russia kutoivamia Ukraine na Ukraine kuteketeza silaha za nyuklia. Mwaka 2014 Russia ilivamia Crimea, kisha ikavamia Donetsk na Luhansk. Sasa unazuiaje Ukraine kuamua inavyotaka.

Nadhani nishakujibu
 
Huko US hayo mambo hayapo?Afadhali Russia wamewashtukia mapema hao magaidi kabla hawajaleta athari!Huko US watu juzi tu mtu katwmbeza risasi subway!Sasa hapo Biden kafanya blunder gani?
Idiot!
 
Hadi kufikia tareh 24 Feb media zao zote zilikuwa zikiwatambua kama Nazis ndani ya Ukraine, kiasi kwamba toka mwaka jana Japan alikuwa kaliweka hili kundi la Azov ndani ya list yao ya vikundi vya kigaidi duniani.

But any1 who fight with Russia kwenye sura za magharibi ni mtakatifu no matter iweje, That's why unaeza ona vyombo vya habari hivo hivo vikabadili jina kutoka Nazis hadi "Far right", Japan nae akawatoa kwenye list na ombi la radhi juu uku akiahidi haitojirudia.

Na hiyo utaona matukio ya kinyama yanayofanywa na Ukraine na hao Azov yakiwa Praised kwenye social network na vyombo vyao vya habari kama yule dada akimchinja POW wa Russia the same ISIS tactics ila hakisemwi kitu.

Anyway nikuache na maswali haya ya nyongeza...
1. Kwanini logo ya NATO ina resemble ile logo ya Nazi?

2. Kwanini jengo la NATO, pale makao makuu... Ukilizoom kutokea juu lina shape ya NAZI?

3. Kwanini war criminals wa kinazi wamekuja kuhodhi uongozi wa juu ndani ya NATO???
Ntawataja wachache ambao unaeza kuwatafta kamaa mfano tu
[emoji298]Adolf Heusinger from Nazi tena huyu alikuwa chief of Staff wa Hitler to the Chairman of NATO military committee...

[emoji298]Hans Speidel from Nazi General to Supreme Commander of NATO's Ground Force kwa Central Europe enzi hizo.

[emoji298]Johannes Steinhoff huyu mpaka alitunukiwa Knight Cross ya Iron Across ambayo ni Highest Nazi military award ya kipindi hicho ila nae akaja kusave as Chairman of NATO military committee!

[emoji298] Johann von Kielmansegg huyu General Staff officer wa kinazi akaja kua NATO's Commander in Chief of Allied Forces Central Europe...

Na wengineo kuendelea kuwataja ntaifanya kuwa ndefu.

4. Sasa unaeza kuitizama hiyo list ilivo ndefu na nafasi walizoshikiria ndani ya NATO na hakika itakupa walau ule mwangaza tu wakujua kwanini NATO wako after Russia.

Kwasabab wale kwa nafasi zao walizokuwa nazo ndani ya NAZI army na nafasi walizoshika ndani ya NATO sizani kama naeza kushawishika kua zile Ideology ziliishia uko uko... Bali zimeendelezwa kizazi na kizazi.

5. Kisha rudi kujiuliza mengine tena, haya makundi ya kinazi ndani ya Ukraine yamekuwa trained na Maafisa kutoka nchi zilizo Umoja wa NATO, Je kama Europe really wako against Nazi, ilikuaje wakawa wanawa-train kijeshi... Walikuwa wanatrain kijeshi wafuzu against nani baadae???

6. Itizame vizuri hii picha... Soma hayo maandishi Ajab ni kua, hiyo Logo iliyopo kifuani ya Nazi inafanana na Jengo lao la HQ... Je is it a coincidence? Designer ama architecture wa hilo jengo, logo yao... Kwamba Alifanya kwa bahati mbaya?
 

RUSSIA FURIOUS OVER SINKING OF MISSILE CRUISER MOSKVA,NOW TALKING WW3.​

WORLD HAL TURNER 15 APRIL 2022 HITS: 21083

The Russian people are enraged beyond words over the sinking of their Black Sea flagship, the Guided Missile Cruiser "Moskva" and they are already publicly saying on TV that they are in World War 3 with the United States.
Barrages of Russian missiles were launched late last night against at least 8 different "fronts" inside Ukraine, hitting targets in Kiev, Kharkov, Nikolaev, and elsewhere, causing thunderous explosions.
The video below shows the sky over Kharkov at about 9:45 pm eastern US time:



On Russian television, the mood was ferocious anger, and the remarks being made were specific: Russia is already in World War 3, Russia is at war with the United States/NATO, and more. Here's a small sample:



One source familiar with the unfolding events, told me the following:
The cruiser sank.
There were many victims on board. There was a monstrous explosion of ammunition and airborne missiles.
I think there may be several hundred dead, if not almost the entire crew.
So there will be a backlash.

That same source then SPECULATED what he believes the Russian response will be:
The RF Armed Forces will hit Bankovaya, the Ukrainian Defense Ministry, the GUR building and other facilities in Kyiv.
In addition, a strike on the Baltic states or arms convoys in Poland or the Czech Republic is possible.
There will be strikes by the RF Armed Forces on bridges along the western border of Ukraine, on bridges in Kyiv, on bridges across the Dnieper.
There will be strikes on railway bridges in Western Ukraine and on transport hubs and interchanges, on junction stations, and so on.
There will be strikes on the barracks and control centers. Blows are prepared from all trunks. They will strike from the Caspian, from the Black Sea, from the Crimea, even from the Baltic and from Kaliningrad. There will be shelling by Belarusian artillery and Belarusian rockets.
The strike will be three waves, massive volleys, there will be up to a thousand missiles at the same time.
Heavy artillery, RSZO. In the Kiev region, Kiev, Kharkov, Nikolaev.

He wrapped-up his speculation by telling me:
WAR IS GOING TO A NEW LEVEL !!!
WATCH.

This story is still developing, check back for updates.

UPDATES - 8:24 AM EDT --
Russian Defense: We will increase the number and size of missile attacks on Kiev.
Russian Defense: More than 30 Polish mercenaries were killed in Kharkov.

Among the prisoners in Ukraine there are military personnel of NATO countries, said Senator Klimov of the Russian Federation Council

“We already have prisoners among the military personnel of NATO countries, we will show all this when we conduct trials, and the whole world will see what really happened,” he said

***** BULLETIN *****
UPDATE 8:32 AM EDT --

The United States has received an official Diplomatic demarche (note) from Moscow which says, in sum and in substance "Russia demands the United States stop arming Ukraine" and then threatens "unpredictable consequences" if such arming of Ukraine continues.

This is stated in an official diplomatic note from Moscow.
 
Additionally, mpaka sasa Zelensky is outshining Putin. Putin si alitaka regime change, iko wapi?
Putin anashindwa nini kumkamata Zelensky, ni kwamba hajaweza. Zelensky si anazurula mitaani Kyiv tena last time akiwa na Boris Johnson. Au unasema Russia wanafurahia vifaru vyao kupigwa, ndege na tena meli.

Bila kuiteka Ukraine hao Russia watafanyaje. Si imegoma kujisalimisha na kuweka silaha chini. The next kama Ukraine ingetekwa ni kumfungulia mashtaka Zelensky au kumuua na kubadilisha katiba ioneshe marufuku kujiunga NATO na kubadilisha serikali. Pro Russia wanajua hili waziwazi.

Kuitawala baada ya kuiteka si ni kuweka kibaraka. Hili haliumizi akili hata maana washafanya hivi before
 
Ndo uniambie sio kucheka hatujui yote
I am sorry...sikucheka kwa kuwa pengine hufahamu...hapana...nilihusisha na kitu Fulani hivi...samahani Ndugu yangu...NAZI ni ideology Fulani hivi na hasa wakati wa Hitler...Nazism ni itikaci Kali huku kile kinachoitwa uzalendo kikipewa kipaumbele..na chuki kwa baadhi ya makundi ya watu...wakati wa Hitler wayahudi wote walichukiwa mno Ujerumani kwa madai kuwa wao ndio walikuwa chanzo Cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii huko Ujerumani..inasemekana kuwa zaidi ya wayahudi milioni 6 waliuawa huko Ujerumani wakati wa Hitler...
Hitler na NAZI yake aliwaaminisha wajerumani kuwa wajerumani ni Superior race na kwamba watu kama Warusi ambao ni Slavs ni inferior race ambao wanapaswa kuuliwa..Hitler alipoishambulia Urusi au USSR wakati wa second world war kwenye operation ya Barbarossa aliwaambia Askari wake kuwaua warusi kwani hawafai kuwepo na pia kuchoma Kila kitu..scorching...NAZI ilikuwa na wafuasi wake huko ulaya na hata huko Ukraine kwakikundi Cha Bandera kilichomuunga Hitler wakati huo wakati alipoikalia USSR au baadhi ya maeneo ya USSR keenye Vita hivyo kabla USSR haijaanzisha Mashambulizi ya kuyafurusha msjeshi ya Hitler...
Masalia ya Bandera au NAZI ndiyo hayo yakiyoko Ukraine kwa Sasa na ambao uzalendo wao umeegezwa kwenye chuki kubwa kwa wengineo na hasa warusi...
 
sasa wewe unaejua msafara uliishia wapi si ndo utuambie ?🤔🤔🤔
Mkuu ule msafara ulifika salama pale ulipokua unapelekwa.
Ule msafara ulikua unapelekwa kwenye Yale majimbo ya Donbass kuongeza ulinzi.

Russia imepigana vita nyingi sana haiwezi kusafirisha msafara wenye silaha nzito vile kizembe namna Ile .
Hata sudani kisini hawawzi kusafirisha majeshi yake bila ulinzi wowote.
Ule msafara ulikua unalindwa vilivyo nakuambia achana na video game za propaganda za watoto wa Ukraine.
Na ndivyo ilivyokua kwa msafara wa pili.
Sasa nikuulize hatujaona msafara wa pili umeishia wapi,kwa hiyo nao umepigwa?

Sasa Mimi nakuambia nao umefika,
Na huu wa treni utafika.
Urusi hii vita anainua vizuri sana,kua anapigana na NATO na anajua vizuri tabia za USA kuwa ataingiza silaha TU kumsaidia Ukra kwa hiyo hawezi kuwa mzembe hivyo.
Hii vita west wamepigwa propaganda kuliko wakati wa WWII.
Lugha ya kiingereza inaongewa Dunia nzima hivyo propaganda zao zinaenda mbali lkn lugha ya Ki Russia haiko Dunia nzima so watu wengi hawaelewi Urusi imesema Nini.
Ndi maana unaona west wamefunga media nyingi za Urusi zisioneshwe kwao.
 
Waliyataka,viongozi wao Ni vihiyo sana.
Ndo hivyo Sasa, wajue kua Urusi sio nchi ndogo.
Kama ni vita baada ya WWII kulikua na vita ya Kosovo,Bosnia and Herzegovina NATO waliingilia ,lakini hakuana hata nchi moja ya Dunia ilitingishika kiuchumi,Leo Urusi inaipiga Ukraine imewekewa vikwazo na uchumi wa Dunia umesheki.
Urusi sio zimpopo
 
Galip baada ya Vita ya pili ya dunia,scientists wote wa Hitler Marekani iliwachukua.This shows clearly that the US is nothing but a Nazi safe heaven or Nazi territory.Siajabu kwa hiyo the US kuwa sympathetic to Ukraine Nazis or Zelensky who is himself a Nazi.
 
View attachment 2188765

Uyo babu yenu anaweza akasimama kwa confidence kama huyu mwamba? Mwamba Anajiamini kwanza amefocus. PUTIN [emoji110][emoji635][emoji635]
Man with black belt in Judo.
he is a olso good in systema, karate,Kung Fu and Krav maga
Ha ha haa. Best in counter intelligece and espionage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…