Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah ila hata kama ni ujuaji watz tunataka kuuzidisha aisee.
 
Kaka nyosha historia yako ujielimishe kwanza.
1) Unazi ni Hitler mwenyewe. Ukitaka kutumia istilahi hiyo, hakuna unazi bila Hitler (maana neno ni kifupisho cha Kijerumani "Nationalsozialistisch" yaani chama cha Hitler)
2)ni kweli kwamba itikadi yake inifanana katika mengi na uzalendo mkali unaoongozana na kupenda udikteta wa kisiasa (kiongozi dume kabisa!) na kudharau makundi mbalimbali, hasa Wayahudi, watu Weusi, Waasia, Washoga ...- kwa Hitler pia Waslavoni (kv Warusi, Waukraine, Wapoland).
3. Urusi chini ya Stalin ilishirikiana na Hitler, walivamia Poland pamoja na kuigawa 1939. Stain aliendelea kuvamia nchi ndogo za Baltiki + Moldova 1940
4. Hitler aliposhambulia Urusi 1941, watu wengi Ukraine walioteswa na Warusi walifurahia mwanzoni. Maana Stain aliwahi kuua Waukraine milini mmnamo 1931/32 kwa njaa. Jisomee kuhusu "Hlodomor". Mpaka walijifunza baada ya muda mfupi kwamba hata Waukraine walikuwa sawa na Warusi na Wapoland machoni pa Wanazi.
Hapo huyu Bendera ana historia ya pekee. Kabla ya vita alikuwa raia wa Poland maana Poland ilitawala Ukraine ya magharibi na Bandere alipigania kwa uhuru, hatza kwa kutumia ugaidi. 1939 Urusi ilivamia mashariki ya Poland pamoja na shemu ile ya Ukraine. . aliwakaribisha Wajerumani walipoingia eneo la Ukraine, lakini kamati yake ilikamatwa baada ya siku chache na Bendera alifungwa katika kambi la Wanazi hadi 1944.
Itikadi ya Bandere ilikuwa karibi sana na Wanazi. Lakini wafuasi wake hawana ufuasi mkubwa. Chama cha Svoboda inatunza urithi wake walipata kura 2012 katika maeneo ya magharibi lakini baadaye walishuka tena mpaka kutoweka. 2019 walipata 2% za kura na mbunge 1 pekee. Hivyo hakuna msingi kudai Ukraine inatawaliwa na Wanazi ni uwongo na propaganda mpumbavu.
Ninakuuliza: Kwenye msingi gani unarudia madai hayo??
 
Mzee mariupol imekwenda na maji mengine unayoyasikia ni hadithi tu.niambie ukrsine wanadhibiti sehemu gani ya mariupol?
 
Kuna new level ya Vita kwa Sasa....Russians are calling for a conventional war...muda siyo mrefu Ukraine itakuwa historia...watch out...
 
Jitahidi kupangua hoja moja baada ya nyingine.
 
Mapigano yalipo ni kwenye kiwanda kimoja kikubwa ambacho wanajeshi wa Ukraine wamejificha humo maeneo mengine yote yamesha dhibitiwa.
 
Mathanzua kama kawaida hujajielimisha kabla ya kupost. Wanasayansi wa Hitler walikamatwa na Marekani na Urusi sawa, hata Warusi walichukua wengi zaidi. Mwaka 1946 Warusi walichukua wanasayayansi 2,200 kutoka Ujerumani. Jisomee kuhusu Mradi wa Osoviakhim (ΠžΠΏΠ΅Ρ€Π°Ρ†ΠΈΡ ΠžΡΠΎΠ°Π²ΠΈΠ°Ρ…ΠΈΠΌ). Nahisi hujawahi kusikia.
Unaamini nini kwa nini Warusi walipata maendeleo ya haraka baada ya vita ya pili katika roketi hata kuwahi angani kabla ya Marekani?
 
Duh...hayo maandishi kwenye bold umemaliza Kila kitu...everything has been revealed and exposed...ni hatari aisee...
 
Ni mtazamo wako ila unarahisisha mambo sana unafananisha hii Ops na Oparation ya kusaka majangili
 
Wanao ongoza kufanya hayo mambo na kupost mpaka wanajeshi walio kufa ni wafuasi wa Ukraine kiufupi hata mm wananikera sana.
Kupiga picha ya maiti na kuisambaza ni mojawapo ya upuuzi mkubwa ambao una fanywa na wanajeshi wa Ukraine ila kwa upande wa Russia sijaona wakifanya hivyo.
 
Mzee mariupol imekwenda na maji mengine unayoyasikia ni hadithi tu.niambie ukrsine wanadhibiti sehemu gani ya mariupol?
Je unashindwa kusoma habari? Kuna eneo la kiwanda kikubwa cha feleji cha Azovstal. bado inashikwa na yale yaliyobaki na jeshi la Ukraine.
 
Russia navy iko weak mno, huenda imeachwa mbali mno hata na Israel navy.
 
kuhusu maiti - kweli hii naona pia. Lakini naona upande wa vifaa vilivyoharibika ni pa washabiki wa Urusi.
Picha hizo zote ni bure sasa hazithibitishi chochote.
 
Inaonyesha hata ramani ya Ukraine yenyewe huijui komredi.

Mariupol kwa maelezo yako haipo Mashariki?

Kweli nimeamini kweli walifaa waliokuita mzee wa google, hata hili hujui?

Ukraine ni nchi iliyogawanyika kati ya Mashariki na Magharibi,

Ambapo Mashariki wamejaa hao Russia speaking na Ukrainians language huko Magharibi.

Mariupol ipo mashariki mpaka Odessa na ndio lengo la Urusi kwa Sasa.

Angalia hiyo ramani halafu useme google imenipeleka kushoto.

Halafu Crimea walipiga kura kuchagua ambao majority walitaka kujiunga na shirikisho la Urusi, acha uongo.

Lughansk na Donetsk walisema hawaitambui serikari iliyopo kiev na kuhold referendum.

Mwanzo nilijua upo neutral kumbe pro usa
 
❗️Only 14 members of the Moskva crew returned to Sevastopol. The fate of almost 500 sailors is unknown, media reported.
Meanwhile, Forbes considered that "Moscow" is the most expensive trophy in the history of the Armed Forces of Ukraine. Approximate cost - 750 million dollars.
Equally important, the Moskva is the largest military ship that has been sunk in the world since 1982. Then, during the Falklands War, the Argentine cruiser General Belgrano was torpedoed by the British submarine HMS Conqueror.
Russia lost a cruiser for the first time since German planes sank the Chervona Ukraine cruiser in Sevastopol in 1941.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…