Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Idiot kabisa,ndio maana nimekwambia muwe mnaangalia kwanza vyanzo vya habari zenu na kuzihakiki kabla ya kukurupuka kuleta humu jamvin,idiots!
Juzi Russia ilitoa onto kuwa itaretaliate baada ya Ukraine kutarget civillians on Russian Soil!Tena Russia ikasema itashambulia Kyeiv!Tena ikasema Ukraine decision makers hawajawahi kuwa targets ya Russia,ila Sasa majengo Yao yatakuwa targets mjini Kyeiv kama Ukraine itaendelea kutarget Russian territory!

near Kyiv with missiles overnight

Moscow says it will respond to any Ukrainian attacks on Russian territory by striking Kyiv with more missiles.

The "number and scale" of attacks will go up if its own settlements become targets, the ministry said.

The warning came as Russia announced a missile strike on a military factory near Kyiv, which it claimed was in response to a Ukrainian helicopter attack on a Russian village.

Ukraine denies it carried out the attack.


"Tonight, sea-based high precision long-range "Kalibr" missiles hit a military facility in the outskirts of Kyiv," Russian defence ministry spokesman Igor Konashenkov said.

The strike targeted Ukraine's Vizar military facility that was producing and repairing anti-aircraft and anti-ship missile systems, Mr Konashenkov added, warning that Russia would intensify missile attacks on Kyiv if Ukraine continued what he described as attacks on Russian land.

He said: "The number and scale of missile strikes against objects in Kyiv will increase in response to the commission of any attacks of a terrorist nature or sabotage on Russian territory by the Kyiv nationalist regime."

Andrei Sizov, a 47-year-old owner of a wood workshop near the factory, told the AFP news agency that the blasts came overnight.

"Around 1:30am, my security guard called me because there was an air strike," he said.

"There were five hits. My employee was in the office and got thrown off his feet by the blast."

He also said he believed Russia was taking revenge for the sinking of the Moskva warship, which Ukraine claims it hit with Neptune missiles.

Workers clear through rubble following a Russian missile strike on the Vizar military factory near Kyiv

On Thursday Russian officials accused Ukraine of sending two helicopters 10km (6 miles) into Russia's Bryansk region, bombing a residential building in the village of Klimovo and injuring eight people.

Kyiv denies the attack and accused Russia of staging the incident to stir up "anti-Ukrainian hysteria".

The BBC has not been able to verify the claims
 
Hao Iran walikuwa vitani na Marekani? Radar hawawashi tu ovyo ovyo, radar zina muda wa kuwa activated zikiwa kwenye engagement. Japan iliposhambulia Pearl harbor iliharibu silaha za Marekani kwa kuwa hawakuwa kwenye state of war kwahiyo haikutarajiwa mashambulizi, baada ya hapo mpaka vita inaisha Japan haikuwahi peleka pua Marekani tena.

Pale Ukraine wanajulikana wako vitani na Russia kwahiyo meli ya Russia yeyote lazima iwe active kuzuia mashambulizi. Kutegemea huruma kwamba tutasema hata Marekani ilipigwa picha au kusingizia dhoruba haitasaidia kijeshi.

Wewe umeona Iran tu, ila sio hiyo pekee, North Korea, China na Russia mara kibao wanakuja kwenye distance ya engagement na USN ships na wanapitisha ndege picha zinapigwa.
 
Hivi hizi akili mmerithi wapi? Yaani mtu akivamie nyumbani kwako akugongee mkeo na atake kukua wewe mwenyewe halafu jirani yako anakupa msaada na mbinu ya kukabiliana nae then ugome ujisalimishe,hizi ni akili au matope?
 
Ila Tukubali tukakatae Warusi Wana akili flani tofauti sana nchi hii inaandamwa for Years ili isambaratishwe Infact Marekani inawaza sana kuhusu Urusi kuliko Hata China...IMEKUA shida sana kuisambaratisha Urusi...
Hii Urusi iliyobaki scrapers? Urusi tishio ilishasambaratishwa na Marekani, nayo ni USSR
 
 
Sasa hivi wanafikira kutumia tactical nuclear weapons. Maana washamaliza convectional weapons zote kwenye maghala ikiwemo supersonic missile lakini ndio wanazidi kuumizwa.View attachment 2189157
Russia haiwezi tumia nuclear kwa nchi iliyojifia kama Ukraine.

Ukraine imejifia, Russia wana calculation za hatari.

Wamewachezea akili wanaenda Kyiv, jeshi la Ukraine lote likapeleka nguvu zote huko, halafu jamaa wakarudi East kumalizana na majimbo yanayotaka kujitenga, Ukraine wamejiona ni wajinga kwa chenga waliyopigwa.

Russia wapo smart mno😀

Halafu Russia wakitaka kuipiga Kyiv ni usiku mmoja, Russia hajataka bado kutawala anga la Ukraine.

Russia ipo inafanya ku dump silaha zilizopitwa na wakati hapo Ukraine.
 
Umeweka hapa hoja nzito Sana...Lengo la kupeana habari limepotea....ni mwendo wa kubishana na matusi kwa kwenda mbele...Ndiyo hulka yetu Watanzania na hasa wale wa kizazi kipya...ujuaji mwingi na ujanja lmwingi akini substance sifuri...
Mimi binafsi sina upande ila masuala ya uvamizi wa nchi yoyote lazima ukemewe na kupingwa vikali. Leo saud arabia inashambulia yemen hakuna anae kemea. Zaid ya watu laki 3 washafariki. Uvamizi wa marekani ulisababisha vifo vya watu zaidi ya milion 1 nusu wakiwa watoto ulimwengu umekaa kimya. Marekani uingereza na washirika wao wana mengi ya kujibu.
 
Hii picha aione Frank WANJIRU alisema meli za Urusi haziko guided ila za USA ziko guided,nikwamwambia vita Ina mambo mengi sana,USS Cole ilipigwa Yemen na magaidi ila bahati walipambana kuzima moto.
Kitu nilichogundua Hawa wanaojiita pro west Huwa hawana data.
Hawapendi kujisomea vitu.wao wanategemea Hollywood movies TU.
 
Aisee
 
British special forces resumed training of the Ukrainian military in Kyiv and its environs

The Times writes about this with reference to Ukrainian officers.
 


Wewe kutokuwa na Hizo taarifa unazozihitaji haimaanishi taarifa Hizo hazipo. Kutokufuatilia habari kwako hakumaanishi taarifa hazipo Bali ni uzembe wako. Ngoja nikujibu maswali machache,mengine ukasome;

1.Imepigwa mda gani?
Kafuatilie habari,mda wa tukio umetajwa kwenye Vyombo vya habari japo Urusi inakanusha.

2.Imepigwa na Kombora Aina ipi?
Meli imepigwa na Kombora Aina ya NEPTUNE ANTI-SHIP MISSILES. Hii ni Short range Missile(15Km) ambayo ilitengenezwa nchini Ukraine,ilifanyiwa Final Test mwaka 2021 na kuanza kutumika rasmi.

3.Imepigwa na Kombora Ngapi?
Swali Hilo halina jibu bayana. Kwa mjibu wa Ukraine,Walituma Kwanza Drones ya T2B ili kuzi-Diverge Radar Systems za Meli hiyo harafu baadae wakafyatua Makombora 2 ya NEPTUNE na Meli ikaanza kuwaka Moto. Kwahiyo haijulikani Kama Makombora yote 2 yali-hit target au ni moja tu lili-hit target.

4.Imepigwa na Kombora kutoka Ardhini,Baharini au angani?
NEPTUNE MISSILES Ni SURFACE-TO-SURFACE MISSILE. Kwahiyo lilirushwa kutoka Ardhini nchi kavu kwenda Majini.

5.Ilichukua mda gani Kuzama?
Kuhusu Mda wa Kuzama nadhani hili Swali waulizwe Russia maana sio kazi ya Mshambuliaji(Ukraine) kuanza kurecord mda ambao Meli itazama,Mpigaji kazi yake Ni Kufyatua Kombora na kuhakikisha Kombora Lime-HIT target na kusepa,hayo ya mda wa Kuzama Ni kazi ya Wenye Chombo Kurecord.

6.Je,Hilo Kombora liliwahi kutumika wapi?
Kama unamaanisha kwenye LIVE BATTLEFIELD halikuwahi kutumika zaidi ya mazoezini. Hii Ni kwasababu Ukraine haikuwahi kupigana Vita vikubwa namna hii,hata hivyo Kombora Hilo sio la zamani Sana Ni Jipya,Limeingia Service mwaka 2021 tu baada ya Kufanyiwa Final Test mwaka Jana April.

7.Ilipigwa Ubavuni,Chini au Juu?
Meli hiyo ilipigwa Juu kwenye Canon ambapo kwa Meli za Kivita za Urusi,Ammunitions zinakuwa karibu na Canon,ndio maana Shambulozi moja linasababisha hata zile Ammunitions za Meli zianze kulipuka na kusababisha Meli Kuzama haraka.
 
Wanajisahaulisha kuwa tushadonoa meli pendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin lazima atatumia Nukes kwenye hii VITA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…