Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

During the night, Russian missile forces and artillery defeated 811 targets of Ukrainian troops, the Defense Ministry said.

 
Brooh kwani we huwajui pro nato wanataka uwatafunie na kuwamezesha wana penda vitu cheap ....ukiwaletea kande hawaliwezi wwe wanyweshe uji ndo saizi yao ..mkuu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
The Romanian authorities have announced a decision on April 17 to ban ships flying the Russian flag from entering Romanian ports.

 
Britain is deliberately escalating the situation around Ukraine, pumping Kyiv with lethal weapons and coordinating the same NATO efforts, the Russian Foreign Ministry said.

Also, the ministry called unacceptable the incitement of London, pushing other countries to sanctions against Russia.
Galip S-22
 
Na mie nauliza swali la kizushi vile vile [emoji1787]...

[emoji298]Vietnam North and South walipigana kwa miaka 20 kutoka 1955 hadi 1975

[emoji298]Hapo Afghanistan kutoka 2001 hadi 2021 ni miaka 20...

[emoji298]Iraqi kutoka 2003 hadi 2011 ni miaka 8...

[emoji298]Libya kutoka March 31 hadi October 31 ni miezi 7.

[emoji298]Sudanese Civil wars ilianza toka 1983 hadi 2005...

Hizo nchi zilikuwa matajiri kiasi gani kusurvive mda wote huo [emoji848][emoji848][emoji848]
 
We jitekenye tu...Muulize Biden kwa nini serikali ya Marekani ilikuwa ikimuomba Erdogan/Turkey apeleke S-400 Ukraine ikailinde Ukraine badala ya yeye Biden kupeleka yale mavyuma chakavu yake ya Patriot PAC-3 na THAAD?
Hayo ni maneno ya kwenye karatari lakini ukija kwenye field vitani hayo machuma tumeyaona huko Ukraine hayana efficiency yoyote ile.

Nadhani hapa hii meli inalia kwanini S300p haijamsaidia isipigwe na Neptune Missile.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hizi theories mnazitoa wapi vijana?
 
We jamaa bhana we mfano majambazi yanakuja kwako kukuibia kila wiki kwa akili zako hizi we unaona wako sawa wanachokifanya ........rwanda hapo kwa kagame nchi yao inajengwa kupitia resource za congo kwa njia ya mauaji wewe kwako ni sawa tu anavofanya .......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Russia sio nchi masikini ila haiwezi kushindana na nchi za west kiuchumi.
Kumbe jomba una mahaba.. sasa ka haiwezi shindana nao ikawaje ikawa ya 11 duniani katika nchi with the biggest economy duniani? Na katika hizo 10 zilizotangulia. Kuna China, India na Japan ziko Asia... Brazil nayo haipo kwenye hicho kikosi cha Int Community...

So out of all Westerners walioshupaza shingo kwa Russia ni US, Germany, UK, France, Italy na Canada walio juu yake in term of GDP. Je hao waliobaki ni akina nani?

Unasema hawezi shindana nao, ila wanaojua uchumi wanakwambia kua ENERGY ndio backbone ya uchumi sehem yoyote ile duniani. Russia ana supply energy to EU hawa ma capitalist kwa about 40%... Kwa hiki kiasi kama una akili unajua uchumi wa EU uko mgongoni kwa nani?

Kama hiyo haitoshi kukupa Alarm ya uchumi wao umeegema au unamtegemea nani unaeza kutueleza why baada ya ku'impose sanctions kwa Russia... Hivi vikwazo vinawaumiza wao zaidi kiuchumi kuliko Russia???

Boy uko serious kweli au na we ni katoto ka wale nisje kua napoteza mda wangu tu bure apa [emoji848]
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwamba nakukubali una madini aisee big up
[emoji109][emoji109][emoji109]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Maelezo mengi sana [emoji2].. usizunguke sana tuichukulie nchi yetu, eeeehe!! Tanzania tunatakiwa kuwa freee kwenye nini ili tuache kuwajengea wao?
 
Sasa kaka Kuna radiation je Warussia walioenda kuitoa
 
Mmarekani wa Bonyokwa mishipa ya shingo imekutoka sana, agiza safari ya moto bill lete Moscow [emoji635]
 
Hii ngoja nii loop kwa jamaa huku .[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwamba mjanja mjanja hataki kuonekana kaegemea upande upi ila ukimchunguza kwq umakini utagundua jamaa ni pro westrn na nato

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Boss mbona nipo wazi kabisa kuwa sikubaliani na anachofanya Puttin? Labda kwa vile nipo against tendo alilofanya Puttin na si Urusi yenyewe kama nchi ndo maana.

Niliwahi kusema kama ingewezekana Urusi ingetumia njia za kijasusi na mapandikizi kupenyeza maslahi yake Ukraine badala ya kuivamia. Sasa kwa vile haijawezekana na kaivamia still kwa maoni yangu naona si sahihi.

Kuhusu kuwa Pro NATO nakukatalia kwa sababu nafahamu tulitawaliwa na hawa watu na najua walichokifanya kwa JAMHURI. SIJASAHAU.

Tukiweka pembeni Upro NATO na Urussia utanielewa boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…