Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ni mabingwa wa propaganda, huenda inakuzwa tu kuliko uhalisia.
 
Ongeeni Yote but United Kingdom wanafikiria mipango ya mbali sana... Yaani Russia povu analowatolea Uingereza ni kubwa aisee... Jamaa wanapeleka Silaha kimkakati sana
The same kama vile UK wanafikira mbali na RUSSIA hivo hivo ....au we unafikiri russian ni ya juzi hapa au unaona russia ni kama BONGO Imepata uhuru mwaka wa 1961 ...juzi hapa..........

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....naona unamlinda na kumtetea kweli kweli bim mkubwa NYAMIZI kwani kuna nini kinaendelea broohh ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Namheshimu tu boss hakuna lolote😃😃. Si unajua hata raisi wetu ni mwanamama. Sasa lazima tuwaheshimu.
 
We huoni wakiwekwa maabusu UK wanahangaika na kupiga kelele ......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
amna putin anataka kutawala peke yake kila kukicha anabadili katiba awe eligible, juzi tu hapa katoka kubadilisha...atakae nyanyua shingo kumchallenge ni ndani au apotezwe km kina Nemstov
 
mbn unarukaruka mzee kila kitu nyie mbn marekan mbn marekan, kwan marekan kuna rais aliwah badili katiba ili aendelee kugombea? hebu mtaje basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…