[emoji23][emoji23],naona mwekundu kinoma usoni,jamaa wamempa kichapo heavy .Putin nomaPiga Kabisa hao
na Hawa niwakufinya Kennd*e zao mpaka Wakome
Tokea jana usiku milipuko isiyo koma inaendelea kusikika ndani ya jiji la Kiev huko Ukraine.
Duru zinatabanaisha maeneo yahifadhio silaha na viwanda vya silaha ndiyo yanayolengwa zaidi.
Watajuta kuizamisha meli ya urusi
Piga Kabisa hao
na Hawa niwakufinya Kennd*e zao mpaka Wakome
Saa zingine kunyoosha mikono juu kunasaidia kuepusha maafa kwa nchi huwezi pigana na linchi kama RUSSIA ambayo hata marekani yenyewe inagwaya na mpaka inajenga makambi ya jeshi kila kona huko ulaya na NATO juu kisa unajihami na RUSSIA .....shida iko wapi mkuu watu kupigana kulinda nchi yao? upimbi uko wapi?
Mrusi Kasara huko yaani KachafukwaSaa zingine kunyoosha mikono juu kunasaidia kuepusha maafa kwa nchi huwezi pigana na linchi kama RUSSIA ambayo hata marekani yenyewe inagwaya na mpaka inajenga makambi ya jeshi kila kona huko ulaya na NATO juu kisa unajihami na RUSSIA .....
huoni japani nae alikuwa anakomaa kama zellensky alidondoshewa kitu kizito akasurrender na maisha yakaendelea ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 hamna kitu hapo , kichaa Putin atapoa tu . Tumesha wazoea 😁😁😁Mrusi Kasara huko yaani Kachafukwa
Sio kwa Kichapo kinacho Endelea Hali ni Mbaya
Humuoni alivyo mwekundu ,wamemfinya balaa[emoji23]Na Hawa Mbwa wanao wasaidia Hawa ndio Wakufinya kwelikweli
Alisikika Mlevi mmoja Akisema😂😂😂 hamna kitu halo , kichaa Putin atapoa tu . Tumesha wazoea 😁😁😁
😂😂 tuliona msafara wa kivita wa km 60 sembuse hapo 🤔🤔🤔Alisikika Mlevi mmoja Akisema
Kwa hapa walipofikia inawezekana wameamua wafe wote historia iandikwe maana wanajua Urusi ana mabomu ya hatari hadi ya nuclear, lakini wapo wamesimama wakijitetea badala ya kuomba huruma yake.
Mji wa Kharkiv inateketea.ukraine mkubali tu yaishe jaman[emoji17][emoji17][emoji17]
hahaha we acha urusi aendelee kugawa kichapo ila asisahau kwenda tena kule central asia kuwahakikishia majirani zake kuwa hana nia ovu dhidi ya ardhi zao, majirani wanahofu na kaka mkubwa kazuia huko transnistria, kaichapa georgia akazuia abhakazia na south osetia na sasa hivi anaichapa ukraine ameshabeba crimea n.k cjui nani atafuataKuna watu tunawaambia hapa kila siku hiyo ni just operation tu hawasikii. Vita kamili bado, ikitangazwa vita kamili itabidi kuzimu tukupe jina jipya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Weh jamaa, acha kufanyana kama JF wote ni watoto wadogo!
Urusi wanapata wapi uwezo wa kuishambulia Kiev? Kwa jeshi lipi? Tutolee uongo wako hapa!