hakuna hio putin km anataka ukraine mwache aendelee kuwaua aibebe ukraine yote, km aljjua ataibeba ukraine bila mkono yake kuwa na damu kachemsha, putin aendelee tu kupiga kazi abebe ukraine yote maana uwezo huo anaoSaa zingine kunyoosha mikono juu kunasaidia kuepusha maafa kwa nchi huwezi pigana na linchi kama RUSSIA ambayo hata marekani yenyewe inagwaya na mpaka inajenga makambi ya jeshi kila kona huko ulaya na NATO juu kisa unajihami na RUSSIA .....
huoni japani nae alikuwa anakomaa kama zellensky alidondoshewa kitu kizito akasurrender na maisha yakaendelea ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
🇷🇺🇷🇺 mambo yamekuwa magumu haamini anachokishuhudia 🇺🇦🇺🇦🇺🇦.Kwa hapa walipofikia inawezekana wameamua wafe wote historia iandikwe.
ule msafara ulipata changamoto kdg ila changamoto ikadhbitiwa😂😂 tuliona msafara wa kivita wa km 60 sembuse hapo 🤔🤔🤔
Hawezi ibeba hiyo nchi hata kidogo mkuu . 🏃🏃🏃hakuna hio putin km anataka ukraine mwache aendelee kuwaua aibebe ukraine yote, km aljjua ataibeba ukraine bila mkono yake kuwa na damu kachemsha, putin aendelee tu kupiga kazi abebe ukraine yote maana uwezo huo anao
Asia nia ya 1 ......em fafanua hapa mkuu sijaelewaAsia ni ya 1 mkuu
PUTIN ndo katangaza WW3 au nani vile .....ati mzee OJUANG ....kutoka kule kwa state ya kajiadoHasira za meli kuzamishwa,, sahii sio special operation ni WW3 Bwana Utam View attachment 2189818
anaweza akabeba mkuu akili ya yule banah anaijua mwnyw anaweza kurisk everythingHawezi ibeba hiyo nchi hata kidogo mkuu . 🏃🏃🏃
Umenikumbusha utotoni unakuta dogo wa form one kagombana na njemba ya form four(kipindi kile walikuwa wakubwa kweli wanafunzi wa form four), basi dogo unakuta anapigana huku analia.... kwann unanioneaa kwann unanioneaaaa, dogo anapigwa mitama anaanguka anaamka na kilio huku anarusha ngumi mpaka njemba inaingia na hofu maana akitumia nguvu zake kamili ataonekana alimwonea na kesi ikienda juu hakuna mwalimu atakayemwelewa na kuacha kupigana hawezi asije zomewa kuwa amekalishwa na dogo, basi anabaki hapo katikati akikwepa kwepa ngumi na kumpiga mitama.🇷🇺🇷🇺 mambo yamekuwa magumu haamini anachokishuhudia 🇺🇦🇺🇦🇺🇦.
Funzo: usipende kumkadilia mtu hata kama kwa mwonekano wa nje anaonekana ni mdogo.
😂😂😂😂🇷🇺🇷🇺 mambo yamekuwa magumu haamini anachokishuhudia 🇺🇦🇺🇦🇺🇦.
Funzo: usipende kumkadilia mtu hata kama kwa mwonekano wa nje anaonekana ni mdogo.
Achana Na Mburula Ndugu😂😂😂😂
Sorry, hivi una akili timamu kweli aisee!?
Weh jamaa, acha kufanyana kama JF wote ni watoto wadogo!
Urusi wanapata wapi uwezo wa kuishambulia Kiev? Kwa jeshi lipi? Tutolee uongo wako hapa!
😂😂😂 imemshinda mikoa anayopakana nayo , hadi sasa hivi anapigana kuikomboa , sasa ndo ataweza kuiteka nchi nzima ?.anaweza akabeba mkuu akili ya yule banah anaijua mwnyw anaweza kurisk everything
Anga la Ukraine si linalindwa na NATO lakini?Ni kweli ndugu Kiev na kharkiv mabomu yanadondoka kama mvua muda huu
hivi kama 🇷🇺🇷🇺 anatawala kwa Siku 5 na 🇺🇦🇺🇦 Siku 1. Hebu tueleze nn kimekwamisha hii vita hadi kupelekea ichukue muda mrefu .niliwahi kuandika humu ndani, tokea hii operesheni ilipoanza wanajeshi wa russia wanatawala mchezo kwa siku 5 then wanafuata ukraine kwa siku 1 wafurahie, kwa mfano tokea ilipokuja taarifa ya kuzama kwa meli kuna tukio gani kubwa walilofanya ukraine?..kwa ufupi kipigo kimerudi tena kwao baada ya mapumziko ya siku 2.
Kwa bahati mbaya maelezo karibu yote ya Urusi hadi sasa yalikuwa ama uwongo mtupu au bila msingi. Sawa na mikataba waliyosaini.[emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2189984