Crimea wakati inavamiwa na kuwekwa huru ulikuwa mdogo eeeh?Urusi labda afute kabisa Ukraine isiwepo duniani, kinyume na hapo awamu itakayofuata ni awamu za kisasi kutoka vikundi vidogo vidogo miaka ya mbeleni maana masalia yatatengeneza vikundi adui wa Urusi, watu wa Ukraine wameonyesha msimamo na mapenzi kwa nchi yao. Ukiwaacha wanajeshi masalia kuna uwezekano kukaibuka vikundi vya kulipiza kisasi huko mbeleni. Vitakuwa vikundi vya kigaidi kwa Urusi.
Kazi ni kwake Mzigo Utue au la
Mimi Nashauri Mrusi Aache Huruma sana Ashushe kitu Bwana
Ukiwa na hela tafuta rafiki mbabe, itakusaidia.Xi anaona huyu jamaa ameanza kuwa liability
All the best wishes.Anakudanganya TU huyo wanashinda mbona?
Kwani si wanapewa misaada ya silaha na nato kwanini wasipewe hayo makombora...
iHuu ni kweli ulio wazi kabisa....silaha za nyuklia sio za kushambulia bali ni kinga dhidi ya dhuluma za nchi za magharibiVita vya Russia nchini Ukraine vimedhihirisha kuwa taifa likiwa na silaha za nyuklia linakuwa salama dhidi ya sera ya Marekani na washirika wake ya kubadili tawala za nchi wanazozituhumu kwa uonevu na makosa ya kivita
Nchi zilizotuhumiwa na Marekani kwa uonevu, makosa ya kivita n.k. zilishambuliea.
Marekani imeenda vitani Iraq mara mbili..
Marekani imekuwa vitani Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20..
Marekani iliamua kuishambulia kwa mabomu Serbia..
Marekani iliingia kwa furaha kwenye kuishambulizi Libya kwa mabomu...
Marekani iliamua kuanzisha vita kamili kuishambulia Syria...
Miaka iliyopita, ilikuwa Marekani ikiituhumu serikali ya nchi fulani kwa makosa ya kivita na uonevu, hiyo ilikuwa ikimaanisha lazima nchi hiyo inayotuhumiwa inyeshelezewe kwa mvua za mabomu tena na tena kwenye miji yake yoote na hata kukaliwa kijeshi na majeshi ya uvamizi (Marekani na washirika wake).
Ila leo Russia imetuhumiwa na makosa ya kivita pamoja na uonevu dhidi ya Ukraine...lakini Serikali ya Biden ilipoulizwa kuhusu kwa nini majeshi ya Marekami yasiishambulie Russia, Jen Psaki akaufyata akidai sio ktk maslahi ya Marekani kuishambulia Russia🤣😂😇😇
Nchi nyinginezo zimeshtukia huo undumilakuwili wa sera ya Marekanj ya kubadili tawala za nchi nyinginezo, zimetambua kuwa sera hiyo inatumika kwa mataifa dhaifu na yasiyo na silaha za nyuklia
View attachment 2190551View attachment 2190552
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nadhani hili halihitaji utabiri kila kiumbe hai hapa duniani lazima kife hii ni law of natureKitu nina uhakika nacho putin ni lazima afe
Pro NATO mmebaki na petty issues!Kila siku Imekuwa meli meli meli!Jamani au wakulima wameacha kukamata vifaru vya Russia?Baada ya kutawala,nini cha maana anaambulia,au kuharibu majengo.Maumivu ya kuzamishwa ile meli hayaelezeki kwa Putin na hatokaa asahau mpaka anarudi kwa muumba wake.
Nimependa hapo "sio kwa maslahi ya Marekani..."Vita vya Russia nchini Ukraine vimedhihirisha kuwa taifa likiwa na silaha za nyuklia linakuwa salama dhidi ya sera ya Marekani na washirika wake ya kubadili tawala za nchi wanazozituhumu kwa uonevu na makosa ya kivita
Nchi zilizotuhumiwa na Marekani kwa uonevu, makosa ya kivita n.k. zilishambuliea.
Marekani imeenda vitani Iraq mara mbili..
Marekani imekuwa vitani Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20..
Marekani iliamua kuishambulia kwa mabomu Serbia..
Marekani iliingia kwa furaha kwenye kuishambulizi Libya kwa mabomu...
Marekani iliamua kuanzisha vita kamili kuishambulia Syria...
Miaka iliyopita, ilikuwa Marekani ikiituhumu serikali ya nchi fulani kwa makosa ya kivita na uonevu, hiyo ilikuwa ikimaanisha lazima nchi hiyo inayotuhumiwa inyeshelezewe kwa mvua za mabomu tena na tena kwenye miji yake yoote na hata kukaliwa kijeshi na majeshi ya uvamizi (Marekani na washirika wake).
Ila leo Russia imetuhumiwa na makosa ya kivita pamoja na uonevu dhidi ya Ukraine...lakini Serikali ya Biden ilipoulizwa kuhusu kwa nini majeshi ya Marekami yasiishambulie Russia, Jen Psaki akaufyata akidai sio ktk maslahi ya Marekani kuishambulia Russia[emoji1787][emoji23][emoji56][emoji56]
Nchi nyinginezo zimeshtukia huo undumilakuwili wa sera ya Marekanj ya kubadili tawala za nchi nyinginezo, zimetambua kuwa sera hiyo inatumika kwa mataifa dhaifu na yasiyo na silaha za nyuklia
View attachment 2190551View attachment 2190552
Russia Anapambana na Nchi 30+Hizi ndege Russia inasema imezilipua si Russia walisema wamezimaliza, au hizi zinatokaga wapi?
Manowari lenu we nani? We Unafkiri Moscow wanajua kama kuna kibibi kizee kinaishi Kwa Haji TumboHaiondoi maumivu ya kupoteza lile li Manowari letu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukraine watayamba na watakoyolaView attachment 2190050
Tatizo Zalensky hakujua kama US anamuingiza Cha kike!Akajua atapata back up ya kutosha!Nadhani muda ungerudi nyuma na Zalensky akapewa uono wa kuona Pasaka itakuwaje nchini kwake,basi angeyamaliza na Putin mwanzo kabisa for the sake of his people!Kama ni kukubali unyonge ilitakiwa pale mwanzoni kabisa wakati wameambiwa waweke silaha chini warudi nyumbani.
Wao kama nchi waliamua hapana, huyu mtu pamoja na kuwa ametuzidi na kila kitu hatutamgeuzia mgongo tumwachie nchi, tutamwangalia na kupigana naye.
Huo si Utoto ni maamuzi ya raisi na nchi nzima ikakubaliana naye. Kama wananchi wasingekubali wangemtoa madarakani raisi wao.
Ni sahihi wakifa wote maana walijua linalokuja kuwapata na wakaona lina unafuu kuliko hili unalopendekeza wewe.
Ila ki ukweli Russia anawabonya kweli kweli, halafu yeye sio mzee wa social medias Kama westerners walivyo, ye anakudinya na hatangazi hovyo hovyoKyiv attracted about 7 thousand foreign mercenaries to Ukraine. What countries are they from?
[emoji3502]the largest group arrived from Poland - 1717 people
[emoji3502]from the USA, Canada, and Romania - 1.5 thousand
[emoji3502]from the UK and Georgia — 300 people each
[emoji3502]193 people from Turkish-controlled areas of Syria
The Russian Ministry of Defense stated that there are now less than 5,000 mercenaries left. They do not have the status of "combatants" under international humanitarian law. The best thing that awaits mercenaries is a long prison term.