Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duuuh yaani kitu bora kinachoweza kuwatokea ni kifungo kirefu gerezani!
Sasa tutoe neno "Bora" hapo,hicho kitu bora kisipowatokea maana yake nini?

Mamluki Run while you still can!
 
Ukiiangalia movie ya WE WERE SOLDIERS unabaki kusema tu STOP THE WAR

Cz ni men in suits & tie sitting in their offices engineering others who dies on front line !

And even when u win the war /battle but u can never heal the loss ! No winner in any war ! Even the winner

Ajabu wanapeleka more weapons badala ya ku enforces peace talks !
Means they are adding More fuel to fire instead
 
Mkuu haijalishi sababu, huenda alidanganywa na USA na washirika wake kuwa watamlinda, huenda anafahamu kuwa Pittin nia yake ni kuiunganisha Urusi na nchi jirani kwa gharama yoyote na kwamba kupiga magoti ni kuikabidhi nchi kwa Puttin haraka haraka bila vita, huenda alifanya ujinga tu ambao haukutakiwa kufanywa na kiongozi.

Jibu lolote lile halina maana kwa hapa alipofika, hapa alipofika anatakiwa asimamie msimamo wake mpaka mwanajeshi mtiifu kwake wa mwisho atakapofariki au yeye kukamatwa au kufariki.

Mkuu ngoja nikuambie kitu kimoja, kuna hadithi moja ya Trojan ukiisoma(sijajua usahihi wake katika uhalisia) inahusu nchi mbili ziliingia vitani sababu kijana mmoja wa mfalme aliamua kuiba mke wa mfalme wa nchi nyingine alipotumwa kwenda kuimarisha mahusiano baada ya muda mrefu wa kutupiana maneno yanayoashiria kutokuelewana.

Yaani unamtuma mwanao aende kuimarisha mahusiano na jirani yako mliyekuwa hamna mahusiano mazuri halafu yeye anapita na mke wake.

Wakati vita vinaanza mfalme aliambiwa na mshauri wake, si warudishe mke na kulipa fidia? Mfalme akasema unadhani hawa wameleta silaha nchini kwetu na kutumia nguvu kubwa kufika hapa ili kufata mwanamke wao tu?.

Mfalme alijua kabisa kwa pale walipofika kujaribu kuwaomba Adui wamchukue mke wao na kulipa fidia ni kuwarahisishia ushindi tu maadui na kusababisha wakawa watumwa maana nia ya Adui si mke tena bali ni rasilimali za nchi yao. Mke ni sababu tu iliyotoa uhalali wa kuivamia na akiomba kurudisha mke kutawafanya wanajeshi wake waone kuwa hawastahili kwenda vitani kwa sababu ya kijinga vile, na Adui atatumia hiyo kama silaha kurahisisha vita na kushinda kiwepesi.

Mfalme Akawaambia wanajeshi wake Adui yupo hapa sababu ya rasilimali zetu, hayo mengine ni uongo uongo na kisingizio tu cha kuwepo hapa. Tuzilinde rasilimali kwa maisha yetu. Nchi ikaingia vitani.
 
Wewe kwa akili yako ya matope unafikili Rais wa ukraine ni mjinga kama wewe, uelewa wa jamii ya waukraine usije kufananisha na sisi waswahili wa buguruni. Sisi tuendelee tu na ushabiki wetu huku tukiburuzwa na uongozi wetu. Russia kuivamia na kuitesa ukraine wameanza kitambo tu, Stalin aliwanyanganya mashamba wakafa na njaa mamilion, acha leo wanaume wapambane dharau zimezidi. Ujinga na nidhamu yenu ya uoga eti unawaonea huruma ukraine, kichekesho cha mwaka yakwenu tu yanawashinda mnakalia ushabiki maandazi eti wasomi
 
Bado Putin yupo kwenye romance, mtoto Zelensky ameshalegea yupo juu kitandani akijigeuza huku na kule huku akirembua, Putin bado anaonesha ufundi wake mtoto mpaka alegee, lege lege.

Putin hataki kumpakia vumbi, acha mtoto aombe mashine mwenyewe haina haja ya kumfosi.

Wapambe wapo dirishani wanapiga chabo,jirani yao mmoja mnafiki anaitwa Joe Biden wa chumba cha pili amefungulia redio kwa sauti ya juu ikiimba "hizo bia ulizomnunulia braza, ukipiga kimoko atatangaza, we mpelekee... moto..mpelekee motoo.."

Hii nyimbo inapenya mpaka Gheto kwa Putin kitu kinachopelekea Putin ampakie vumbi huyu mtoto.. Japo hakuwa na hio nia lakini kweli, zile bia alizokunywa akiachwa atatangaza mtaa mzima😂😂

Mtoto Zelensky amlaumu Joe Biden kumdanganya kwamba Putin hana nguvu za kiume, sasa hivi Zelensky anajuta..😂😂😂

Kumbukeni shoo ndio inataka kuanza..

Pasaka njema wapendwa.
 
Huenda ukawa sahihi, na inawezekana akarudi nyuma na akafanya maamuzi hayahaya. Inategemeana na usahihi wa sababu unayoisema ya yeye kumvimbia Urusi.
 
Haya tuanzie hapa. Unatakwimu sAhihi juu ya uhAlifu wA kivita alioufanya marekani na hAjashtakiwa.
 
Ila hii VITA mwisho wake nauona kabisa kama utaamuliwa na negotiation
Ila acha tuone nakuhusiana na bwana komedian huyu bwana nahisi nimpango mkakati kabisa wa NATO dhidi ya RUSSO jamaa huyu kaekwa ili kuipa challenges RUSSO mambo kama yatazidi kua mabaya yeye anakua salama wakati watu wamepoteza maisha yao
Yeye akiona imekua much more anasepa zake tuuuu!!!!!
 
Your browser is not able to display this video.


Radio Mariupol now broadcasts just like that!

On all available radio frequencies in Mariupol, the Nazis and foreign mercenaries who remained surrounded receive a message about their extremely difficult situation, from which there is only one way out - to lay down their arms and surrender!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…