Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu Mimi Nina maono tofauti kidogo.
Ingawa sifurahii Hali hii,lakini
Naamini siku Saba hazipiti Zelensky atakua marehemu.
 
Urusi wamewavuruga kinyama NATO na west wengine.
Hao mamluki wamefanyiwa kitu mbaya sana.
USA alisema hakuna hata mjeshi mmoja atapelekwa Ukraine Leo anaumbuliwa.
Ama atapokea maiti ama atasubiri kubadilishana wafungwa.
Urusi ni moja ya jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni.
Urusi sio Iraq Wala Afghanistan.
 
Mkuu Mimi Nina maono tofauti kidogo.
Ingawa sifurahii Hali hii,lakini
Naamini siku Saba hazipiti Zelensky atakua marehemu.
Sio kitu rahisi bro, askari wa ukraine hawako wenyewe wanapata back up ya mabeberu ndio maana wameweza kulinda defence lines zao muhimu na vikosi vya urusi vimeshindwa kuvuka. Vita ina formula zake na mbinu zingine huwa zinaibuka kutokana na maitaji ya mazingira husika. Kipengere cha propaganda ni section muhimu sana kuongeza morale ya wapiganaji waliyo mstari wa mbele au kuvunja na kuwachanganya maadui zako. Kwa mfano, kuna vikosi baadhi vya urusi vilikaribiswa vizuri na raia wa ukaraine wakapewa chakula cha sumu, mji wa kivy ni eneo muhimu la strategia kuuteka na kuzingira Russia ameshajaribu akashindwa japo mwenyewe akatengeneza propaganda kuwa amatimiza lengo analudi nyuma kijipanga tena.
 
Tulimuonya Zelensky......
ataangukia pua lkn alikuwa mbishi......
soon kichwa yake watu wanachoma mshkaki
 
Hii Ingekua ni ndege ya Urusi,vyombo vya habari vya Dunia nzima vingeacha habari zote na kuitangaza habari hiyo,kama vilivyofanya kwa melivita moskova.
Humu jamvini habari ndio Ingekua hiyo.
NATO Wamechangishana silaha weeee zinaishia kuwa majivu.
Jeshi la Urusi ni kubwa sana hapa ulimwenguni.
 
Na decision maker kwa kiswahili maana yake ni wafanya maamuzi,kwa maana hiyo kwa nchi yoyote wafanya maamuzi wakubwa ni Rais,Waziri Mkuu,Waziri wa ulinzi Waziri wa mambo ya nje,Mkuu wa majeshi ,Mkuu wa usalama,mkuua wa Polisi,Waziri wa mambo ya ndani na watu kama hao.
Kwa maana hiyo hao wanaweza kifukiwa katika magofu ya vifusi vya majengo au mahandaki.
Daa Zelensky wangu masikini.
 

Halafu walivyokua hawana huruma hawapeleki chakula wala maji wajeda kule wanatuma clips wakilalamika chakula hawana wengine ilibid wasurrender mariopol, njaa haina baunsa kuna raia pia walikufa kwasababu ya dehydration na njaa.
 
Ila ki ukweli Russia anawabonya kweli kweli, halafu yeye sio mzee wa social medias Kama westerners walivyo, ye anakudinya na hatangazi hovyo hovyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ha ha haa,hii misemo ya "anawabonya" "anakudinya" kwa kweli Ina chekesha sana kwa upande mmoja lanini inakera sana kwa upande wa pili.
 
Kuna hii clip ukiisikiliza utaona ka Zele yupo apo kama pazia bali yule mshauri wake mkuu ndiye anayesimamia show ya kisee*** namna hiii...
Your browser is not able to display this video.


Msikilize vizuri anamuita Zelensky ni Unprofessional and Stupid kwasabab tu katika kampen zake alideclare yuko against war... Back n 2019 hapo...

Ila kinachonishangaza zaidi ikawaje akawa Mshauri wake mkuu?? 🤔🤔🤔

Tusisahau pia huyu jamaa ashawah tangaza wazi kua Fan wa ISIS... Ukirejea nyuma kuna hii nishawah pia kuileta hapa jamaa akieleza namna gani watavom'provoke Russia into Full Scale war ndani ya Ukraine then iww ticket kwao kujiunga NATO...
Your browser is not able to display this video.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…