Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maswali yako ni mazuri kwa mtu anayetaka kutetea hishma yake!

Unafikiri dignity na uhai ni kipi kinaanza!?

Anaweza kurudi mezani akakubaliana na Putin majeshi ya urusi yakarudi nyumbani nchi ikawa salama kisha yeye akastep down kuepusha uhasama kwa raia wake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1] Hahah NATO wameshaelewa Russia anachokitaka lkn kumpa anachokitaka ndio hawawezi.Ndege za Russia zinawazingua NATO makusudi ili wajichanganye waitungue hata 1 tu ili 'the duma state's ipate sababu ya kuishughulikia Poland na NATO yake.
 
Sasa kama commedian leo ni siku ya 60 takriban ameshindwa kumtoa Kyiv ni nchi gani tena Russia atamtisha kwa vita???
Hakuna nchi ya kutishwa na Russia kivita mkongwe, hata hao NATO wanawaonea tu huruma raia wa Russia, ndio maana WANASHINDWA kutangaza vita na Russia. Hawa Russia wapo OVERRATED sana, hata wakipigana na Rwanda hawatoboi.
 
Hao wana kamsemo ka 'Bora kufa ukiwa unapigana kuliko kuishi kwa kupiga magoti,Sasa wacha Mother Russia awape application ya msemo huo.
 
Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.
Ulisikia wapi Ukraine kugawanyika kabla ya vita hii na wakati wa vita?

Kule mashariki ni Russia analazimisha tu kuimega Luhansk na Donetsk lakini bado hajafanikiwa.
 
Wewe huna maumivu yoyote,wenye maumivu ya kupoteza Manowari wapo Kremlin wanaomboleza
 
Putin Aliwaonya Juzi hapa wasitupe Makombora eneo lake, na akawaambia wakiendelea Ataishambulia Kiev.
Kama Ukraine anaweza kuishambulia miji ya Russia nabkuzamisha meli kubwa kabisa ya kivita basi Urusi uwezo wake wa kivita unakuzwa tu hana lolote.

Usalama wake wa anga ni mdogo sana na hapo NATO ndo wanazidi kumchora ili akijichanganya tu kurusha hivyo viji nyuklia vyake basi atasambaratishwa na ndo mwisho wa udikteta wake.
 
Waliamua kusimama imara na ni maamuzi sahihi kabisa.Historia ya Nchi yao itawakumbuka kwa kulitetea Taifa lao.Vinginevyo Putin alitaka kuleta mazoea,kila akilala akaiota Ukraine asubuhi analianzisha,baada ya hapa hatoleta tena mazoea hayo,itambidi awe anafikiria mara mbili kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda kuvamia jirani zake.
 
Reactions: Tsh
[emoji3][emoji3][emoji3]

Kama vile huko kwa wapalestina na waarabu toka mwaka 1948 mpaka leo wanailipiza KISASI kwa waisrael mpaka leo na kiukweli waarabu na palestina wanaionea sana israel israel inalia liaga kuonewaga na wapalestina na waarabu ....[emoji18][emoji18][emoji18]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Kitu nina uhakika nacho putin ni lazima afe
[emoji34][emoji34][emoji34]

Nani kakwambia tutaishi milele Kufa tutakufa wote kwani ulimbiwa kuna mtu atabaki chini ya jua milele .....kaa pembeni kama umeishiwa hoja wanaumevtuko kazini .

Au hutaki hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…