Mkuu Tsh unaona jamaa wanakubali moja baada ya jingine. Lkn wanakubali baada ya kupigwa, ujinga. Kama ni kukaza wakaze mwanzo mwisho sio wanakaza alaf wanaachia na kupigwa washapigwa!
vita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa 🇷🇺🇷🇺. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo 🇷🇺🇷🇺 atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?Austria will be able to achieve independence from Russian gas only in a few years, said Chancellor Nehammer.
May be.
“We are 80% dependent on Russian gas. The situation is the same as with Germany: our industry and households need gas ... Maybe in a few years we will be independent of Russian gas,” he said in an interview with NBC.
Kwakweli akisalimu amri sasa hivi atakuwa kafanya igizo la kitoto sana kwa watu waliobeba silaha kwa wito wake.Mkuu Tsh unaona jamaa wanakubali moja baada ya jingine. Lkn wanakubali baada ya kupigwa, ujinga. Kama ni kukaza wakaze mwanzo mwisho sio wanakaza alaf wanaachia na kupigwa washapigwa!
Mwanzoni walisema hawako tyr kuachia hata sq inch 1 ya territory ya Ukr. Leo wanakubali kuiachia Crimea.
1. Washakubali kuwa hawatojiunga NATO - Mwanzoni walisema watajiunga lzm
2. Wamekubali kuiachia crimea
3. Watakubali kuziachia dpr na lpr na maeneo zaidi lzm watayaachia mf mariupol
4. Watakubali kuwa neutral
5. Watakubali kukiondoa kitengo cha azov kwenye jeshi lao
6. Watakubali jeshi lao liwe monitored kutokea Kremlin
Watakubali
7. Watakubali kutokuhost nuklia weapons za wamagharibi na baadhi ya silaha na kukata uhusiano wa kijeshi na wamagharibi
8...
Lkn ni baada ya kupigwa. Sasa km kukubali watakubali, kwa nn wasikjbali ss hv wajipunguzie maumivu yasolazima!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ukibaki nayo bado, jaribu kutumia akili kidogo tu. Wachezaji wadogo walioingia EU bila kutaka kweli, wamekbali kulipa Rubel.RUBOOOO
Hakuna namna unaweza kuacha kuamini jambo kuhusu russia linalosemwa na raisi wa urusi mwenyewe!Samahani una sababu gani kumwamini Putin??
Maana kwanza alitangaza mengi kabla ya mashambulio ambayo hayakuwa kweli (eti ni majaribio tu akileta jeshi Belarus na kukutanisha jeshi mpakani), alivunja mikataba mengi, Sababu alizotoa kuhusu serikali ya Kinazi, Kudai hakuna vita, .........
Pili mafunzo yake ni mjasusi, ambako alijifunza kutum,ia udanganyifu na uwongo (kama majasusi jote duniani kwa lazima) ?
🤔🤔🤔🤔🤔 Mungu huyu mwacheni atawale roho .Mkuu Tsh unaona jamaa wanakubali moja baada ya jingine. Lkn wanakubali baada ya kupigwa, ujinga. Kama ni kukaza wakaze mwanzo mwisho sio wanakaza alaf wanaachia na kupigwa washapigwa!
Mwanzoni walisema hawako tyr kuachia hata sq inch 1 ya territory ya Ukr. Leo wanakubali kuiachia Crimea.
1. Washakubali kuwa hawatojiunga NATO - Mwanzoni walisema watajiunga lzm
2. Wamekubali kuiachia crimea
3. Watakubali kuziachia dpr na lpr na maeneo zaidi lzm watayaachia mf mariupol
4. Watakubali kuwa neutral
5. Watakubali kukiondoa kitengo cha azov kwenye jeshi lao
6. Watakubali jeshi lao liwe monitored kutokea Kremlin
Watakubali
7. Watakubali kutokuhost nuklia weapons za wamagharibi na baadhi ya silaha na kukata uhusiano wa kijeshi na wamagharibi
8...
Lkn ni baada ya kupigwa. Sasa km kukubali watakubali, kwa nn wasikjbali ss hv wajipunguzie maumivu yasolazima!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mchana nilimwambia huyo ndugu yanguMkuu Tsh unaona jamaa wanakubali moja baada ya jingine. Lkn wanakubali baada ya kupigwa, ujinga. Kama ni kukaza wakaze mwanzo mwisho sio wanakaza alaf wanaachia na kupigwa washapigwa!
Mwanzoni walisema hawako tyr kuachia hata sq inch 1 ya territory ya Ukr. Leo wanakubali kuiachia Crimea.
1. Washakubali kuwa hawatojiunga NATO - Mwanzoni walisema watajiunga lzm
2. Wamekubali kuiachia crimea
3. Watakubali kuziachia dpr na lpr na maeneo zaidi lzm watayaachia mf mariupol
4. Watakubali kuwa neutral
5. Watakubali kukiondoa kitengo cha azov kwenye jeshi lao
6. Watakubali jeshi lao liwe monitored kutokea Kremlin
Watakubali
7. Watakubali kutokuhost nuklia weapons za wamagharibi na baadhi ya silaha na kukata uhusiano wa kijeshi na wamagharibi
8...
Lkn ni baada ya kupigwa. Sasa km kukubali watakubali, kwa nn wasikjbali ss hv wajipunguzie maumivu yasolazima!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unaweza ukawa upo sahihiKwakweli akisalimu amri sasa hivi atakuwa kafanya igizo la kitoto sana kwa watu waliobeba silaha kwa wito wake.
Unapunguza utegemezi wa urusi wa gesi hiyo gesi utaenda kuipata wapi!? 40% unaweza vipi kuifill ndani ya muda mchache!? Gesi sio bidhaa inayotengenezwa kiwandani mzee.vita hii imewapa fundisho mataifa na viongozi wengi duniani . Nakuhakikishia vita ikiisha mataifa mengi yatapunguza utegemezi kwa [emoji635][emoji635]. Hatukatai kweli watayumba mwanzoni lakini naimani watavuka tu . na baada ya hapo [emoji635][emoji635] atabaki na hizo nishati zake tuone amuuzie nani ?
Nikiwa mdogo pale kijijini kwetu aliwahi tokea jamaa mmoja aliitwa Mwasile , jamaa alifungua Kaduka kake , pale kijijini kulikuwa hakuna duka zaidi ya kwa jamaa . kwa kweli alikuwa ndo mkombozi niseme. Jamaa kulitambua hilo akaanza malingo Mara Leo afunguwe , kesho pamefungwa yaani akawa haeleweki sometimes mnashindwa hadi kunywa chai kisa sukari hamna Mwasile hayupo. Hali ile iliendelea bahati nzuri akaja mpemba mmoja akafungua duka lake kijijin tena kubwa kuliko la Mwasile . mwisho wa siku Mwasile Akahama pale hakuonekana mazma .
"Sikumkusa huyu binti" - Hakuna namna unaweza kuacha kuamini akisema hivyo mbakaji....Hakuna namna unaweza kuacha kuamini jambo kuhusu russia linalosemwa na raisi wa urusi mwenyewe!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mbele ya mtutu wa bunduki ni kawaida mtu kufanya maamuzi ya ajabu! Uoga. Anasema Black Kaiser ukiwa na uoga ni lazima ufanye makosa kwenye kuamua.Kwakweli akisalimu amri sasa hivi atakuwa kafanya igizo la kitoto sana kwa watu waliobeba silaha kwa wito wake.
MKUU hua natamani sana kujibu hoja zako maana kwa %kubwa hua naona unajibu hoja kwa hoja sio kwaviojaUkibaki nayo bado, jaribu kutumia akili kidogo tu. Wachezaji wadogo walioingia EU bila kutaka kweli, wamekbali kulipa Rubel.
Wote wengine walitangaza kwa sauti kubwa: Wanakataa!!
Mtu yeyote anayelewa anajua: Urusi na Eu wana mchezo wa unafiki hapa
Maana walipatana: Eu wanalipa gesi kwa Euro, Urusi inatuma gesi kwao.
Euro zinalipwa kwenye akaunti ya benki inayobadilisha pesa kuwa Ruble zinazoingia akaunti ya GAZPROM.
Gesi inaendesha uchumi wa EU inayolipia silaha za Ukraine
Malipo ya EU yanampa Puti bilioni za $$ na €€ anazotumia kununua tekinolojia anayohitaji (hana mwenyewe) kwa njia ya magendo, dhidi ya vizuizi.
Mkuu amini hii vita imewapa funzo hawa jamaa . Ndo maana nimesema wataendelea kuitumia nishati ya 🇷🇺🇷🇺 lakini wakati huo wakiendelea kutafuta alternatives nyingine , ambayo nauhakika itapatikana tu . Muda utasema .Unapunguza utegemezi wa urusi wa gesi hiyo gesi utaenda kuipata wapi!? 40% unaweza vipi kuifill ndani ya muda mchache!? Gesi sio bidhaa inayotengenezwa kiwandani mzee.
Vita itaisha na Nord stream 2 itamaliziwa. Ngonjera za sijui kupunguza utegemezi ni mtihani usiofaulika. Hapa Bashar al Assad ndio nyota ya mchezo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Naam isipokuwa mfano wako kwa mbakaji haufit kwa Putin! Unalazimika kumuamini Putin maana huna namna unaweza kupata habari za kuihusu Russia ambazo yeye hana au ziko kinyume na anachokisema."Sikumkusa huyu binti" - Hakuna namna unaweza kuacha kuamini akisema hivyo mbakaji....
Basi sijui kwa nini, mimi nina namna!
Alternative ni ipi hiyo!?Mkuu amini hii vita imewapa funzo hawa jamaa . Ndo maana nimesema wataendelea kuitumia nishati ya [emoji635][emoji635] lakini wakati huo wakiendelea kutafuta alternatives nyingine , ambayo nauhakika itapatikana tu . Muda utasema .
Naona sasa akili inaanza kukukaa sawa, maana nimepitia karibu uzi wote huu, ww ulikuwa unaona hao UKRAINE kama wanawamudu URUSI.Kwakweli akisalimu amri sasa hivi atakuwa kafanya igizo la kitoto sana kwa watu waliobeba silaha kwa wito wake.
🙏🙏 mkuu, duniani hapa usipende sana kutumia msamiati wa HAIWEZEKANI . kumbuka mwanzoni dunia ilikuwa na utegemezi mkubwa wa nishati ya mafuta . utakubaliana na Mimi kuwa nishati ya gesi ilikuja kufanya mapinduzi makubwa sana kwa mafuta . mitambo na vyombo vingi kwa sasa vinatumia nishati ya gesi .gesi Leo hii imekuwa ikipiganiwa kuliko hata mafuta . Hata ulaya kinachowaumiza zaidi ni gesi kuliko nishati ya mafuta . maana yangu ni IPI ?. Kama jamaa walitoka kwenye utegemezi mkubwa wa mafuta . na sasa wapo kwenye utegemezi mkubwa wa gesi, Amini kuwa iko siku wataamua pia kuachana na utegemezi wa gesi watatafuta chanzo kingine cha nishati ,Alternative ni ipi hiyo!?
Coal wanamtegemea Russia
Uranium wanamtegemea Russia
Mafuta wanamtegemea Russia
Hata magogo/Kuni wanamtegemea Russia
Hiyo alternative wanayoisema wataitafuta ni ipi na itatoka wapi!?
- Mafuta yapo Venezuela na Iran ila Venezuela na Iran ziko na Putin watawasaidiaje!? Saudia ndio huyo ashaanza kuwa unreliable. Ktk kipindi hiki cha uhitaji Opec wanakataa kupump mafuta zaidi ili kujaza pengo la Russia.
- Gesi ipo qatar ila haiwezi kufika ulaya bila kupitia Syria ambayo ipo chini ya Assad ambaye yupo madarakani mpk sasa kwa hisani ya Putin. Gesi haiwezi kupita kwake. Na ikienda kwa njia ya meli ni lzm itakuwa ghali
- Coal na uranium usipozitoa russia si bei itapanda!?
Hivyo ni vitisho tu. Hawana ujanja
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Noma mzee ,ile movie ina sums up everything kuhusu WarsKuna yule mwamba alinyanyuka apige filimbi kualert wenzake akipigwa risasi ya koromeo ....