Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ramzan Kadyrov announced the start of a "specific" special operation in Ukraine and offered the Ukrainian military to surrender

β€œNow a specific special operation is starting, now there will be a specific result, they asked for it. If suddenly someone could not escape, run, leave your positions. Run to where the federal troops are: you will be received, fed and watered,” said the head of Chechnya.
 
Unataka kusema Kwa kuwa Kenya kuna wamasai, na Kenya wakaona wamasai Wana asili ya tz wakaanza kuwaua sasa tz imeamua kuisaidia Ile jamii ya kimasai basi Kenya inaweza sema kuwa tz ni sehemu ya Kenya???? Kisa tz kuna wamasai??????
Kuna tofauti Gani kati ya Warusi na Waukrain?

Kwa Nini tusiseme Urusi ni sehemu ya Ukraine?
 
Ooh My God!
Jizas!
Wamswalie Mtume!

Huyu mchekeshaji nafikiri anashirikiana Urusi kuidhoofisha Ukraine!
Nina mashaka makubwa! Huyu ni double agent, anafanya kazi na NATO na Put-in wote! Mwanasiasa malaya huyu siyo bure! Ndiyo maana westerners wapo mguu nje mguu ndani!
 
Nani amekataa kuwa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί hana pengine pa kuuza?.
Wanunuzi wakubwa wa nishati na malighafi nyingine za Russia ni πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ na nchi za Europe. Hiyo maana yake nini !?. Hata πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί mwenyewe anawategemea sana hao jamaa katika kukuza pato lake kwa kufanya nao mauzo .
Usifikiri kuwa na yeye πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί hajui wanunuzi wake wa nishati na hao jamaa . Kama yeye ni mbabe na anawateja wengine wengi duniani hebu angekata kuwasambazia
hao Europe & πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ huduma ya nishati ili wahangaike .
Na kama unasema amejijengea uaminufu na ana marafiki dunia nzima !!!. Waambie viongozi wenu wa Africa wanunue mafuta kutoka kwake kama wana huo uwezo .
Ameshusha bei ya mafuta anauza bei ya chini sana . Mwambie January makamba akanunue mafuta πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kama yeye ni mwanaume . Tumeambiwa yeye ndo mzalishaji mkubwa wa alizeti duniani . Mwambie atuletee na sisi huku Lita moja ya mafuta ya alizeti ni sh 12000.
 
Mkuu Una hoja nzuri lakini angalia Kwa mapana yake, ulaya wakitegemea gas kutoka nchi nyingine maana yake kuwa itabidi wanunue Kwa bei kubwa kuliko wanayoipata sasa kutoka urusi, ila kuna tatizo litakuja kujitokeza nalo ni kutokana na malighafi wananunua Kwa bei kubwa hii inamaanisha bidhaa zao zutakuwa bei juu, kibaya zaidi uchina atakuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi yeyote duniani, pili bidhaa za ubora mmoja lakini sokoni bidhaa za mchina zitauza kuliko ulaya, pili hiyo ni sehemu moja tu, lakini chukua Kwa ujumla wake, wanataka kutengeneza magari Chuma wanapata wapi, wanahitaji chakula kinatoka wapi? Tatizo ulaya ina viwanda vingi lakini hawana resources za kuendeshea hivyo viwanda hapa ndipo tatizo litakapokuja, kutokana na uchina kuwa na uchumi mkubwa anaweza akapandisha bei ya resources ikasababisha nchi za ulaya kushindwa kununua au wakinunua gharama za uzalishaji zitasababisha bidhaa zao zisinunukike Kwa kuwa ghali sana
 
Na kuongezea kipindi hicho uchina inaongoza duniani Kwa uchumi mkubwa
 
Utegemezi kwa nishati ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί hilo halina ubishi kuwa jamaa wanategemea sana nishati yake. Ninachokisema Mimi ni kuwa lazma watatafuta njia mbadala ya kuepukana na nishati yake . japokuwa itachukua miaka mingi lakini inawezekana huko mbeleni .
Hata Putin juzi kwenye hotuba yake amesema pengo la nishati ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kwa sasa halizibiki ladda HAPO BAADAE .
Labda nikuulize kitu . hiyo nishati inayochimbwa iko siku miaka ya mbeleni itakuja kuisha. Unataka kusema na ulaya yote shughuli zao zitasimama kwa kuwa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kamaliza malighafi yake ?.
 

Naomba niongezee hapa, mwambie pia Russia amesema hawezi ku nationalize assets za mataifa yalimpa sanctions sababu kufanya hivo ni ujambazi na udhulumaji. Hivo hawezi fanya uwizi kama huo hii itampa heshima sana Russia . Hao manyang’anyi walitegemea Russia afanye kama wao kumbe tofauti na mategemeo yao.


Kitendo walichofanya West ya kufreeze assets za Russia pamoja na Raia wake ni udhulumaji na wizi. Wenyew wanaona wamemkomesha Russia kumbe wanajiharibia mataifa mengi yataogopa kufanya uwekezaji kwenye hizi nchi.

[emoji635]sio [emoji1147]
 

Mbona me unaniita sister nimepaniki?? wewe kidogo tu ushaanz kulia. Vurugu match mwenyew naweza
 
Na kuongezea kipindi hicho uchina inaongoza duniani Kwa uchumi mkubwa
Na nakukumbusha hapa mnunuzi mkubwa wa nishati ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ni πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ na Europe. Hiyo maana yake nini China akimpita US kiuchumi yaani marekani akafirisika tafsiri yake πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ndo ataporomoka zaidi . πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί haombei hata siku moja πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ asitishe ununuzi wa nishati yake .
 
Mbona me unaniita sister nimepaniki?? wewe kidogo tu ushaanz kulia. Vurugu match mwenyew naweza
kumbe kuitwa sister ni
tusi. πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo tuende jino kwa jino !!?.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ . nakukumbusha usije kulalamika huko mbeleni πŸƒπŸƒπŸƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kijana kwanza naomba nikusahishe US sio mnunuzi mkubwa wa Russian energy usirudie tena kusema huu ujinga. US ananunua 3% tu ya oil from Russia EU ni sawa ni wanunuzi wakubwa sababu usambazaji wa gas na oil kutoka Russia ni rahisi kuzifikia nchi za ulaya hivo inapunguza transport cost.

Kumbuka Russia anatumia bomba kusambaza energy zake hvo inakua ni cheap sana. Opec+ wanamikaba yao ya kuuza mafuta sio kila mzalishaji anauza anakotaka nchi za Asia soko lao kubwa ni Asia na Africa ulaya ni kidogo sana wanauza coz Russia ndo amecover kule, Russia hawezi vunja mikataba kizembe ndomana wamegoma ongeza uzalishaji wa mafuta.

Nchi za Africa sio kwamba haziwezi nunua nishati ya Russia hapana shida ni usafirshaji embu fikirisha ubongo uagize mafuta kutoka Russia kuja Tanzania umecalculate distance?? Huwezi compare na tukichukua Asia hapo lazma kutakua na gharama kubwa za usafirishaji bado utarud kulekule.

Kama ulimsikia Putin alisema near future watatafuta masoko Africa na maeneo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…