Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jeshi la Ukraine Mariupol uzalendo mtupu, wamegoma kusalimu amri pamoja na kuzungukwa na adui. No retreat no surrender ,we shall fight to the last man standing.
 
Hakuna nchi yeyote duniani inayo toaga takwimu sahihi ya wanajeshi wake waliokufa vitani hakuna hata moja.
Acha kujidanganya maana hao wamagharibi unawaona watakatifu sana wakati ndio mabingwa wa ulaghai.
Sijui kwa nini unamwaga neno hili "takatifu"?? Sijui takatifu duniani.
Nilisema penye media huru si rahisi kuficha hali halisi. Maana namba za bima si rahisi, ziko hadharani, familia zote zinapatikana, hakuna anayweza kuwatishia wasiseme (jinsi ilivyo Urusi).
Ndiyo hata Marekani kuna mifano kibao jinsi walivyojaribu kuficha mambo. Ila sehemu kubwa ya majaribio hayo yamejulikana kwa sababu ya uhuru wa media na sheria kama "freedom of information" act. Ambayo iko Marekani, hamna Urusi, hamna TZ.
Bila utakatifu wowote!
 


Hizi 37.5% ni asilimia ya vyanzo vya nishati mbadala kwa umeme katika EU pekee. (kumbuka umeme si nishati yote!)
 
Usikute unayaongea haya ....kumbe hata jkt hujawahi kwenda .....lkn pia n mwanaume wa dar.....hata mlio wa risasi hujawahi kuusikia
 
Ila kiukweli nakupongeza Ndugu yangu kwa posts zako za kuwatetea West. Kwa hakika wewe ni Pro-West na Pro NATo kindakindakiπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Uko vizuri katika kuteteaπŸ˜€πŸ˜ huchoki kabisa....
Ila Hilo li-Mrusi safari hi mnalo....limeanza kufanya carpet bombing huko...πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kibaraka wa Putin anabweka.
 
kwa bahat mbaya hiyo publicity ni kitu cha mwisho wangependa kisikike ulmwengun
 
Zelensky announced his readiness to fight for 10 years

https://giphy.com/P9cprMIsZPt3q
Zelensky got jokes....
Ramzan Kadyrov[emoji298]"Good evening, everyone! I read that Zelensky announced his readiness to fight for 10 years. The fool [emoji1] Come on, we don't have that much time. We will finish with you in the next few days! You have schizophrenia, I think!”
 
Eti hii "tutammaliza baada ya siku chache"... ameshasema mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…