President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sidhani kama alikua ni mtanzania yule,au ni mwingine ninaemjua mimi.ila uhakika ni mwafrika.Niliwahi kuona makala ya jamaa mmoja Ni mtanzania amekaa huko Russia miaka mingi Sana ameshachukua na uraia wa huko,ameoa Mrusi na huyo jamaa alichaguliwa kua mayor wa kamji flani kadogo huko Russia.Nikiipata nitaiweka hapa.
Yeye Ni mbongo na alichaguliwa kua Mayor.Sidhani kama alikua ni mtanzania yule,au ni mwingine ninaemjua mimi.ila uhakika ni mwafrika.
Alikua anagombea nafasi Fulani huko.
Warusi wakaanza kumtania kuwa huyu asijekua Obama mwingine katika Urusi.
ndio Wakome Sasa,walidhani Urusi ni Lebanon?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa jamaa wanatwambia wanayo Intelligence yote ya jeshi la Russia... ila hawajui exactly wapi silaha wanazotuma zinakoishia... Hawa ni watu wa HOVYO sana.
[emoji298]The United States cannot track exactly where the weapons they sent to Ukraine end up, CNN reported, citing sources in the country's defense ministry.
"The United States has few ways to track the significant shipments of anti-tank, anti-aircraft and other weapons that they sent across the border to Ukraine," the channel said.
According to CNN, in the long term, some of the weapons sent to Kiev, for example, "may end up in the hands of other armed forces and militias that the United States did not intend to arm."
Habari hii ni kweli kabisa ,niliona nadhani aljazera,enzi za Obama.Jamaa hana jina,
Kamji flani kadogo hakana jina.
Uongo mtupu
😀😃😃😃The network trolls the mayor of Kramatorsk Alexander Goncharenko, who said that "the Armed Forces of Ukraine are fighting like lions in the Amazon forests."
Users noticed that there are no lions in the Amazon, and instead of forests, there are jungles.View attachment 2193483
Hali hairidhishi. Marekani si mwanachama wa mapatano kuhusu ICC haitambui mamlaka yake. ICC iliandaa kesi dhidi ya jeshi la Uingereza; ingawa hawakuweza kumaliza angalau walichukua hatua za kwanza.Walivyoingia mara ya pili walishitakiwa wapi ...!!?? Ulisikia kauli ya White house na pentagon Baada ya ICC kutaka kuanza uchunguzi!!? Nini kilitokea !!? Mkae Kwa utulivu .... Walivyokuja kukiri kwamba intelligence yao iliwadanganya hatua Gani zilichukuliwa!!??
Habari hii ni kweli kabisa ,niliona nadhani aljazera,enzi za Obama.
Alie nani ? Hebu fuatiliza mjadala nani aliekuw analia sawa dogoKama mlivofurahia uvamizi wa libya, yugoslavia, pakistan, cuba, iran, iraq nk. Ukraine mnanza kulialia shenz sana
Ase Pro-NATO au kwa yoyote anayehisi yuko huu upande please save your bullshit... Sina mda wa kujadiliana na nyie.
Sasa kiumbe unani'qoute ukizingatia upo ndani ya 'Ignoring List", mara ya kwanza sijakujibu, mara ya pili sjiakujibu wakazana tu hivo vipele mnavitoa wapi?
Em tuacheni kujaziana notifications[emoji298][emoji1787] zisizo na kichwa wala Miguu... Narudia tena ka unajijua Pro-NATO don't qoute plz...
Just chilling and hold you a** off..
Mrusi wa buzaMkuu wewe ni Mrusi?
M
ndio Wakome Sasa,walidhani Urusi ni Lebanon?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani wee jamaa Una dharau Sana, akamwite anayemtegemea siyoSio vita ni special operation, mpaka sasa jimbo la mariupol tumelichukua kwa 100% hivyo eneo la mashariki mwa Ukraine tuna control nalo kwa zaidi ya asilimia 87. Mariupol, Donetsk, luhansk, cremea zote zitajitenga na nchi ya ukraini na kuunda nchi mbili au 3.
Ukraine atakosa udhibiti wa bandari, na maeneo muhimu yenye rasilimali na ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha ngano. Tupo mdogo mdogo hatuna haraka, yaani pale Ukraine ndio tumefika, hatuondoki leo wala mwaka 2030, kama yupo wa kututoa nenda ukamwite.