chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,824
- 3,846
Utamu wa Vita huwa hapo,unapombana panya wako,kila akijaribu kutoa kichwa achungulie anakutana na mlio wa bullets ,anarudisha kicha ndani ya shimo!! hapo lazima achague option moja Kati ya 3;- ajimalize yy,au akubali bullets ya adui ndo Ichomoe moyo wake,au a surrender !!! na mki surrender Basi mjue hamtabaki wote hai ,Kuna wengine watalamba bullets tu,Kama kamanda wenu atakuwa kichwa ngumu kuwapa full info watakazotaka!!!!
Mie sio wa vijiwe vya kahawaUkiwa kijiwe gan cha kahawha hapo
Ndugu yangu nadhani wewe ni mchanga Sana kwenye geo-politics...na kama sivyo Kuna elements za ndani mwako za fanaticism in support of America, NATO and its cronies...Russia siyo wendawazimu kihivyo kuanza tu kuishambulia Ukraine...There are genuine reasons for doing that...Russia is defending itself against the West and particularly NATO and USA ambao wanatumia Ukraine kutaka kuiangamiza Russia..hivi na wewe pamoja na wenzako mnafurahije uvamizi wa urusi kwa nchi ya ukraine ambayo wananchi wake walikuwa wanaishi kwa amani na mashikamano tena mnafurahi sana wale wabakaji wa kirusi wakifanya uonevu kwenye nchi ya watu UTU uko wapi?
Ngoja tuinywe wote dawa alioitengeneza mrusi hapo ukraine iwe pro NATO or Pro Russia btw ni bando langu naposti ninachoona kwangu kinafaa
Vijisilaha hivyo vilitosha kusimamisha jeshi la Putin Kiyiv, kuchoma mamia ya vifaru vyake na kumkimbiza kutoka huko. Si vibaya kama kijisilaha kinatosha kuangamiza kifaru cheye bei ya milioni nyingi . . .Kijisilaha hicho ndo cha kupigana na Russia au zimbabwe??
Vifaa vya kijeshi vya Ukraine vilivyoharibiwaTunaendelea kuteketeza.
View attachment 2193779
Ajab tangu waingie mzigoni sjawah sikia Ukraine wamebahatika kukamata chechen walau m1 tu dadeki [emoji3][emoji3]Kakabidhiwa mikoba na Putin,
Uyu jamaa na wanajeshi wake wanamorali Kali Sana ya kivita.
Wao vitani utadhani wanacheza football, hawana presha kabisa na Kichapo wanatembeza[emoji4]
Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontlineAjab tangu waingie mzigoni sjawah sikia Ukraine wamebahatika kukamata chechen walau m1 tu dadeki [emoji3][emoji3]
Zitapaa kwenye anga lipi Sasa[emoji4]
Hao hapo ndani ya Mariupol ni dada zako wa mwembe yanga au sio [emoji57]Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Kiwanda kinafumuliwa muda huWaliojichimbia uko kwenye mahandaki kiwanda Cha chuma AZOVSTAL Hali sio shwari kabisa.
Wako outnumbered na wamezungukwa kila Kona
Njaa,kiu na majeraha vinataka kuwaua, wamebakisha masaa kua hai.
Sasa wanaomba msaada wasaidiwe kutoka.
Zelensky aliwatia kiburi Cha kipumbavu kwamba wasikubali kusurrender,
Sasa Matokeo yake ndo kama haya,
[emoji28]View attachment 2194075View attachment 2194076
Hizo ndege zote zitakuwa chakula cha S-400
Safii mda sio mrefu tanaanza kutuma salamu ado Moscow
Mkuu mpaka sasa Urusi ishashindwa vita hii,wao walikuwa na kila kitu na wameshindwa kuiangusha serikali. Je Ukraine kupata msaada wa ndege na vifaru kidogo lazma watoboe tu.Hizo ndege zote zitakuwa chakula cha S-400
Warlord/Mbabe wa kivitaKadyrov Ni mtu na nusu[emoji28]
Hauna ushaidi ndio maana hatuwezi kukuaminiUrusi anaokoa raia wa Ukraine,
Ukraine inawateka raia wake yenyewe na kuwafanya ngao
[emoji847]Warlord/Mbabe wa kivita
👍💪🐻[emoji847]View attachment 2194090