Haya yanaipata Marekani sana kwa vile mwenyewe hataki kujitokeza.Anapenda kutuma.Watu wameshamjua ndio maana wanajichukulia chao pembeni.Malalamiko ni hayo hayo Iraq na Afghanistan.Labda Kuna ufisadi.
Kwamba zingine zinaenda kuuzwa pembezoni kinyemela,mzigo unaofika Ukraine unaofika robo TU.
Alafu eti unakalisha taklol ndo uki fyatue yaani unakuwa umestarehe kabisaa ........Kijisilaha hicho ndo cha kupigana na Russia au zimbabwe??
Wamepewa nafasi ya kujisalimisha,hawataki,Kamanda wa majeshi ya Ukraine yaliyojichimbia kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma amemuomba papa Francis wa Vaticana asaidie kuokoa maisha yao.
Amesikika kwenye vidio akilalamika kuwa wamebakiwa na masaa machache tu huku akitilia maanani nyongeza ya muda wa kujisalimisha uliotolewa na Urusi huku na wao wakiwa wameishiwa na chakula na silaha na vile vile kuzingirwa kwenye njia zote za kutokea.
Huyo kamanda zaidi ya kuomba msaada kwa papa ili waokolewe amewaomba viongozi wote duniani kusaidia kuondoka salama eneo hilo hata ikiwa watapelekwa nchi nyengine ya mbali.
ttps://www.bbc.com/news/live/world-europe-61157670
Hawa jamaa wana mafunzo makali Sana,Ajab tangu waingie mzigoni sjawah sikia Ukraine wamebahatika kukamata chechen walau m1 tu dadeki [emoji3][emoji3]
Wanadhani Kuna nchi inaweza kuja kuwaokoa?Sasa si wajisalimishe, vinginevyo wataishia humo.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Chechen wanatoa dozi wewe,Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Au labda wanataka akawape Upako wa mwisho kabla ya kukata roho kwa njaa ama kombora.Labda wanataka Papa aende akawaombee misa takatifu ya maziko kabla ya kifo Chao[emoji28]
Kudadeki[emoji28]Kiwanda kinafumuliwa muda hu
Hivi wewe unawatete hao walaaniwa!!?Hali hairidhishi. Marekani si mwanachama wa mapatano kuhusu ICC haitambui mamlaka yake. ICC iliandaa kesi dhidi ya jeshi la Uingereza; ingawa hawakuweza kumaliza angalau walichukua hatua za kwanza.
Marekani ilifuata sheria zake mara chache na kuhukumu wanajeshi walioshiriki katika jinai (mfano: Mahmudiya, Abu Greib).
Je una mifano kwamba Urusi imewahi kupeleka wanajeshi mahakamani kwa mauaji au mateso ya watu raia?
Soma kuhusu kesi ya Uingereza:
"In December 2020, the ICC’s Office of the Prosecutor decided to close its preliminary examination. The decision is based on the requirement in the ICC Rome Statute that a case is only admissible if a state is unable or unwilling to prosecute. The test for unwillingness must determine if a state intentionally shields perpetrators from prosecution. The OTP did not find sufficient evidence to prove such shielding by UK judicial authorities and thus closed the situation. However, the OTP confirmed the war crimes allegations made in ECCHR’s submissions and harshly criticized the overall domestic investigations, prosecutions and attacks on lawyers representing Iraqi victims. The OTP announced the possibility of reopening investigations should certain information come to light that would enable them to prove the UK is unable or unwilling to prosecute." War crimes by UK forces in Iraq
Jamaa ana morali ya vita balaa,Warlord/Mbabe wa kivita
Juwachukua raia na kuwaficha kwenye mahandaki unaona Ni fair?Hauna ushaidi ndio maana hatuwezi kukuamini
Tulia Putin akutie nyembe
Au S-500 au S-550 mbona patamu hapo👊👊👊Hizo ndege zote zitakuwa chakula cha S-400
Asilimia kubwa ni kutoka kwa mabwana zao. Wanaogopa wakifa hawataletewa tena misaadaInaonekana ndani ya hao Askari wa Ukrane kuna siri kubwa, maana Ukrane anavyohaha na hao Askari sio mchezo.
Hao jamaa kabla hawajaungana na urusi,Acha kuwavunjia heshima hawa watu walisha itoa makamasi Urusi sema tu walikosa msaada wa silaha kama anao pata Ukrain.
Haya sio mawazo Yako ndugu,View attachment 2194237Wadau naona nyakati za Putin zinaweza kugawanywa katika hatua kama hivi [emoji847]...
Stage ya kwanza 2000-2007.
[emoji95] Putin alikuwa akijishughulisha na uokoaji wa nchi yake iliyokaribia kuanguka na kuangamia, ambapo aliiinua na akafanikiwa kuipunguzia yale madeni makubwa yaliyokua yakiikumba nchi yake.
Wakti huo Marekani iliyatazama haya yote, ikijaribu kujibu swali: Putin ni nani? Na kisha hawakuhitaji mapinduzi kwasababu hakudai kubadilisha mfumo uliokuepo, na oligarchs walioteuliwa na Wamarekani kwa ujumla walidhibiti hali hiyo.
Stage ya pili 2007-2014.
[emoji95] Operesheni ya siri ya kurudi kulitengeneza jeshi lake ilianza, Rising of Russia was still obvious kwa hivyo mnamo 2011-2013, Wamarekani waliactivate hii wanaita '5th Column', wakisukuma ajenda ya kiliberali kupitia maandamano huko Bolotnaya na kujaribu kuingilia kati uchaguzi wa rais mnamo 2012.
Tukumbuahane kidogo kua 2012 ndio mwaka Putin aliorudi madarakani kwa mara nyingine baada ya zile awam mbili za mwanzo zilizoisha mda wake 2008.
Shambulio dhidi ya Russian World kupitia Ukraine did not leave the choice to Russia, which in the crimeria spring began.
Stage ya tatu
[emoji95] Hii tunaweza sema ndio ukawa mwanzo wa kuandaa mazingira mazuri ya kurejesha ile sovereignty yao iliyokuwa imepotea huko nyuma
Hapa kuna mabadiliko kadha wa kadha yalifanyika Russia moja wapo ambayo iko noted ni referendum ya july 2020.
Stage ya nne
[emoji95] Actual return ya sovereignty na hatua hii nahisi itaisha hivi karibuni.
Sasa tuko katika awamu kali ya makabiliano kati ya hizi Great power mbili... its like Tectonic plate increasing force pressing each other, ambayo itaisha kwa tetemeko la ardhi, na sahani hizi zitapata nafasi mpya ya kuheshimiana. Hakutakuwa na sare [emoji847]
Na hali ilivyo hakika haitakuwa sawa kama mwanzo. At stake kuna US kama kiranja wa sayari, na sasa wanatumia, Including all possible levers zote nje na ndani ya Urusi.
Na ndio huu wakati wale wanawaita dormants internal agents wakiwa activated- tunawaona wakiwa na majina ya Kirusi. Hapa ndio ile unasikia sijui nani bin nani wa Russia kaandamana kumpinga Putin [emoji1]
The tools of diplomacy stop working, na nyie mashuhuda mwaona vile negotiations haikaliki mezan kueleweka... so here we know what follows... ni US kupigana na Russia to the last Ukrainian... Baada ya hapa nazan tutaingia stage ya 5.
Stage ya 5
[emoji95] Hii itakuwa kilele na the moment of truth... hapa nahisi ndipo kutazaliwa Rasm Multipolarity na Unipolarity itazikwa kandoni mwa "atlantic" [emoji847]
Haya ndio mawazo yangu kutokana na namna navoitizama hii hali.
Kabisa, wapo tu walioumia niliowaona...Hawa jamaa wana mafunzo makali Sana,
Kila sehemu walikopita wameacha gharika.
Iangalie khakiv,
iangalie kherson,
Iangalie irplin,
Iangalie Kiev kabla Putin hajasema warudishe majeshi,
Wanatoa Kichapo balaa
Nakaziamakelele mengi ayatakiwi wakutane uwanja wa vita wapasuane. propaganda azina msaada kwa hali ya sasa ilipofikia.
Ha ha ha....Alipigwa kwa kushtukiza akapoteza vifaa vyake vyote,walibak na bunduki tu,hawana kifaru wa ndege hata moja. Lakini misaada kiduchu imewafanya kumrudisha adui nyuma sana ambae ana kila takataka ya kuuwa na kuangamiza lakini bado kapigwa
USA wamedata,US Fears Ukraine Arms BLACK HOLE - Admits Kiev Information Operation
A US Defense official has reportedly admitted to CNN that the government is struggling to trace exactly where huge shipments of “lethal aid” to Kiev end up, calling their destination a “big black hole”.
The White House has apparently accepted that some arms will fall into unintended hands, as their intelligence services have “almost zero” ability to keep track of them, while admitting the importance of Kiev’s PR campaign.
“Everything [Ukrainian officials] do and say publicly is designed to help them win the war,” a source told the network. “Every interview, every Zelensky appearance broadcast is an information operation.”